Ukirequest; anakuuliza kwako imesomaje? Badala ya kukujibu nakuja au karibu.
Hii si sawa, ikumbukwe sisi hatuombi hizo bonus wanazitoa wao wenyewe.
So kama bonus inafanya tukose hudumu bora zifutwe.
Au ukifika destination anaanza kuomba aongezewe nauli tofauti na kilichoandikwa. Waelimishwe...
Habari za asubuh wana JF
Mimi ni dereva natafuta gari ya kufanyia kazi tax mtandao yani bolt vigezo vyote ninavyo kama leseni, Account za tax mtandao yani uber na bolt, naombeni kazi mimi naishi Kivule Matembele ya pili Dar es Salaam, Wilaya ya Ilala.
Mawasiliano yangu ni 0758 -871 707 au...
Habari!
Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni.
Namba zangu Hizi:
0614424736
Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
Dereva Uber/Bolt
Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
Mimi ni dereva wa tax mtandaoni nina leseni yenye daraja c nina acount zote bolt, uber, little ride na farasi. Nina uzoefu wa kazi hii, gari ikiwa ya mkataba au hesabu
Mawasliano +255767630088
Habar za muda huu
Asalem aleykum,
Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber.
Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi.
Naomba...
Habari, mimi ni kijana mzoefu katika biashara ya tax mtandaoni na nina account active natafuta boss mwenye gari tufanye biashara asante.
Mawasiliano yang:
0713458555
Mdullanicholous@yahoo.com
Kwa kutumia mfumo huu wa ‘Human UBER Service’ (HUS) mtu anakuwa Na uwezo wa kwenda hadi Dodoma toka Dar ‘Virtually’ bila kusafiri, ambapo atafanya kazi zake Dodoma na kurudi Dar, muda wote hio akiwa amelala tu kwenye sofa nyumbani kwake.
Katika mfumo huu, vijana wasio na ajira huko Dodoma...
Wazee kwema?
Riding sharing Apps zipo nyingi, lakini zilizojizolea umaarufu Tanzania ni Bolt na Uber. Kwa kawaida, dereva anakua na App [Bolt Driver au Uber Driver App] hafu anaitwa na App ya mteja, kisha dereva anaenda kumchukua mteja hadi anapoenda, fresh.
Sasa Waymo [hii ni kampuni ya...
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni
-Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja
-Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria...
Wakuu, habari za muda huu. Ningeomba kujuzwa na wataalamu wa hizi kazi za taxi mtandaoni, namna gani ya kupata abiria wengi. Mimi ni mgeni kwenye hizi kazi na ningependa kupata walau abiria 10 kwa siku.
Je, nifanye kazi muda gani, siku gani na maeneo gani ili niweze kunasa abiria kwa urahisi...
Habari za muda huu waungwana.
Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya?
Natanguliza shukrani.
Habari za muda huu waungwana.
Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk.
Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara...
Uber inazidi kuwa ovyo tu bora wafunge; kwanza kuita inaweza kusearch masaa na hao dereva wake nao kama kuna ofa ndo utalalamikiwa hadi kesho kutwa.
No bora tu kila mtu aweke price yake mkubaliane km Indrive. Ila kuita tu pia shida, na dereva pia shida
Tukio la kusikitisha la kifo cha Catherine Serou, mwanamke Mamrekani, linatufundisha umuhimu wa kuchukua tahadhari zinapohusiana na usalama wako unapotumia huduma hizi. Kifo cha Catherine Serou kilitokea baada ya kupanda gari la mtu asiyejulikana, akiwa na imani kuwa ni dereva wa Uber.
Usalama...