ubalozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hili jengo pembeni ya ubalozi wa uturuki njia ya Coco beach ni la nini/Nani?

    Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
  2. M

    Kwanini Kamwaga hakwenda Ubalozi wa Marekani kujiridhisha kama kweli Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko USA?

    CCM imezalisha vijana wa hovyo sana Sifahamu kama vijana wengi wa CCM wanalogwa ama vipi Kama suala ni Polepole kasema Uwongo, je hili la Tanzania kuipiku uchumi Marekani ni la kweli?
  3. Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
  4. Israel kuzindua ofisi ya Ubalozi huko Zambia!!!

    Waziri wa Mambo ya Nje Gideon Sa’ar ataondoka leo (Jumanne) kwa ziara ya kidiplomasia barani Afrika, ambapo atazindua Ubalozi wa Israel nchini Zambia. Akiwa nchini Zambia, Waziri Sa’ar atakutana na Rais Hakainde Hichilema, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mulambo Haimbe, na...
  5. Orodha ya Mashujaa waliovuliwa hadhi ya ubalozi wakitetea maslahi ya Tanganyika

    1. Dk Wilbroad Slaa 2. Humphrey Polepole 3. Marehemu Kasanga Tumbo 4. Marehemu Kasela Bantu. 5..... Wengine nikikumbuka nitawataja. Hawa wote walivuliwa kwa kutetea maslahi ya umma wa Tanganyika.
  6. Kuku wa Polepole alikula 'punje' nne za ubalozi. Sasa anatapa tapa

    Wengi hawajui ugomvi wa Polepole na Samia unatoka wapi! Ni hivi. Ili Polepole aachie ubunge, alipewa ubalozi kwa kipindi sawa na cha ubunge, ambapo ubalozi wake ungekoma, mara baada ya bunge kuvunjwa. Kwa hiyo Polepole kujiuzulu ilikuwa ni kulia timing asije akakaa hadi astaafishwe, Jambo...
  7. A

    KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  8. Afungua na kuendesha ubalozi bandia India kwa miaka 7

    Special Task Force (STF) ya Uttar Pradesh imevamia ubalozi bandia ulioendeshwa na Harshvardhan Jain tangu 2017. Aliwadanganya watu kwa ahadi za kazi za njena kufanya biashara haramu ya pesa (hawala). Vilivyokamatwa: Plati za kidiplomasia, pasipoti bandia (12) Rs 44 lakh taslimu, sarafu za...
  9. Polepole avuliwe hadhi ya Ubalozi, hastahili tena!

    Mamlaka zimvue hadhi ya Ubalozi Mheshimiwa Polepole kwa kukiuka misingi ya Wana diplomasia - Vienna Convention on Diplomatic Relations (1964). Abaki kwenye UHANAHARAKATI uchwara.
  10. Lilikuwa kosa la kimfumo kumpa Polepole ubalozi Cuba

    Nimemsikiliza professor wa shule ya uongozi , chuma cha mjerumani ndugu" slowslow ", kwa Kujiamini kwake na namna alivyojipanga kusukuma kete zake. Niwazi mtu huyu alipata zaidi ya uzoefu wa kisiasa alipokuwa katika utumishi wake pale Cuba, huyu sio yule Polepole mchelemchele. Huyu wa sasa ni...
  11. Kutoka Ubalozi hadi mkimbizi wa kisiasa: Rekodi nyingine mpya ya Polepole

    Ndani ya wiki moja amejitengenezea rekodi mbili 1. Kujiuzulu nafasi yake ya kuteuliwa na rais Kama balozi nje ya nchi... Imeichukua Tanganyika miaka 62 na ushee kupata tukio Kama hili 2. Kuwa mkimbizi wa kisiasa akitokea kwenye nafasi ya ubalozi.. Mwenzake aliyejiuzulu nafasi hiyo miaka 62...
  12. S

    Jambo nina uhakika nalo ni kwamba kuna team imeundwa iko busy kutafuta namna ya kumchafua Polepole, usishangae ukisikia kaiba fedha za ubalozi Cuba!

    Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
  13. R

    Kuna kitu nimegundua: Millard Ayo hajaripoti habari za Humphrey Polepole kujizulu Ubalozi

    Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu.. Kama ni kweli, kwanini ? I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
  14. Samia kumfutia hadhi ya ubalozi Polepole kama ilivyokuwa kwa Slaa?

    Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama. Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72. Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
  15. Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden Unawaalika kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Stockholm - Sweden Unawaalika kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 52 Sunday Sundbyberg Tarehe: Julai 5, 2025 Muda: Saa 7:00 Mchana - Saa 1:00 Jioni Burudani: Saa 1:00 Jioni - Saa 4:00 Usiku
  16. U

    Australia yafunga ubalozi Tehran yaambia maafisa na wategemezi wao kuondoka Iran na imesitisha shughuli zake zor ubalozi wa Tehran,

    Australia yafunga ubalozi Tehran yawaambia maafisa na wategemezi wao kuondoka Iran na imesitisha shughuli zake za ubalozi wa Tehran, Australia imefunga ubalozi wake wa Tehran na kuamuru maafisa kuondoka Iran, serikali inasema, ikitoa "hali ya usalama inayozorota." Inaungana na msururu wa...
  17. Kwanini hakuna ubalozi wa Uingereza hapa nchini wakati Sisi ni koloni lake?

    Sina uhakika ila nachokijua Sisi tuna ubalozi wa marekani tu nadhani mambo kama visa yanafanyikia Nairobi kwanini wakati Sisi ni koloni la Uingereza.
  18. Ombi: Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania hela mnazotoa kwa Serikali ku support Demokrasia zipelekeni kwa Chadema baada ya Msajili kusitisha ruzuku

    Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani. Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
  19. Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  20. Wakenya washangazwa na Ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuwa katika Jengo la Kibiashara

    Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu. Baada serikali ya Kenya kuimarisha ulinzi katika ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi, Wakenya wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…