ubaguzi wa rangi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa Al-abeed yaani Watumwa

    Gaza kuna kitongoji cha watu weusi wengi kinaitwa al-abeed yaani "watumwa", nioneshe mahali US au israel palipo na watu weusi wengi na panaitwa SLAVES Hadi leo wanaitwa watumwa. Hata baada ya miaka kadhaa na dunia kupokea ustaarabu lakini bado wanadharaulika kwa kile walichowafanyia wenyewe.
  2. Mkalukungone Mwamba

    Rais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili

    Rais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili. Ikulu ya Marekani awali ililinda chapisho hilo, kisha ikaeleza kuwa lilitolewa na mfanyakazi mmoja. ============= President Trump removes a racist video depicting the Obamas as apes. The White House...
  3. Yoyo Zhou

    Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  4. Rorscharch

    Nashangaa Wale Wanaoshobokea Waarabu — Hivi Mnajua Kwao Hamuoi Wala Hamuolewi? Mnatambua Kwamba Kuoa na Kuolewa Nao ni Kuchafua Koo Zao na Damu Zao?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Katika zama hizi za mchanganyiko wa mitazamo na hamaki za kimatamanio, watu wengi wanajikuta wanashindwa kutofautisha kati ya upendo wa kweli na tamaa ya kimfumo. Kinachonishangaza, tena kunipa mshituko wa kifikra, ni kizazi cha sasa – wasomi, wapendeza, wa...
  5. R

    Mwafrika mmoja avuruga utulivu msiba wa Papa Francis baada ya shughuli za kuuaga mwili kusitishwa kwa muda, alalamika ubaguzi wa rangi

    Mwanaume mmoja aliyekuwa kwenye foleni ya kuaga mwili wa Papa kazua taharuki baada ya shughuli hio kusimamishwa kwa muda. foleni yote iligeuzwa lakini hali ilikuwa ni tofauti kwa mwanaume huyo mwenye asili ya kiafrika, alipiga kelele kuomba kupewa nafasi amuone Papa Francis, alipoona bado...
  6. Jidu La Mabambasi

    Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira fuatilieni hili tangazo

    Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru. Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi. ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY. Haya ni matusi kwa CCM.
  7. Manepesa

    Mo Salah hapewi mkataba mpya sababu ya ubaguzi, hakuna kingine

    Waingereza ni watu wabaguzi sana. Mashabiki wa Liverpool na wapenzi wa mpira wa miguu wanajiuliza mbona mwamba hapewi mkataba mpya Viongozi wa timu wamekaa kimya kama hawamuoni mwamba, na Yuko on [emoji91][emoji91] Nimekuja kugundua ni kwa sababu ya UAFRIKA wake tena zaidi MUARABU.. muingereza...
  8. D

    Umewahi kukutana na ubaguzi wa aina gani ulipokuwa nje ya nchi?

    Habarini, Mliowahi kutoka nje ya nchi hii basi mkuje kutuhabarisha kuhusu hili. Nini mmeona? Nini mmefanyiwa ili tunaohangaika kutoka tujue mapema. Kuna mmoja alisema yeye aliwahi kuvutwa pua kwa nguvu sana baada ya kutolewa jambo flani. Karibuni. Pia soma: Wamarekani wenye asili ya Afrika...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kubaguliwa kwa waafrika na watu weupe huenda sababu kuu ni Tabia zetu zilizo ndani ya damu zetu

    Wakuu kheri nyingi kwenu nyote. Tuanzie hapa. Miaka kadhaa iliyopita hapa kazini ulikuja uongozi mpya wa wazungu kuanzia ngazi ya gm,super hadi kwa foreman. Hawa wazungu walikuwa wametoka Mataifa tofauti tofauti kama Canda,australia na ufilipino na hata indonesia nk. Baada ya kuja basi...
  10. S

    Jinsi ubaguzi wa rangi na vita baridi vilivyochelewesha uhuru wa afrika kusini

    Afrika Kusini ilipata uhuru mwaka 1994 kutoka kwa utawala wa ubaguzi wa rangi, je ni kwanini? Miongoni mwa sababu zilizochangia ni ubaguzi wa rangi katika mataifa ya Ulaya na Marekani pamoja na vita baridi. 1. UBAGUZI WA RANGI Wapigania uhuru wa Afrika Kusini walipuuzwa walipojaribu kuomba...
  11. G

    Hakuna ubaguzi wa rangi wala mfumo dume, Democrats wameshindwa kihalali kwasababu wameiharibu mno marekani na wangeharibu zaidi wangeshinda

    Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani, Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu kaapa anaenda kuyafuta na kuyarekebisha. Mfumuko wa bei na maisha kuwa juu, vyuma vimekaza...
  12. fasiliteta

    Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

    Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza. Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao...
  13. SSH2025_2030

    Raia Afrika Kusini Wana Haki kuchukia wageni

    Weusi wamepigania Uhuru wao dhidi ya ubaguzi wa rangi (apartheid) mpaka mwanzoni mwa Miaka ya 1990s wanapata Uhuru. Baada ya hapo, wanatokea weusi wenzao toka Zimbabwe, Malawi, Nigeria, Cameroon, Tanzania, Congo na Ethiopia kwenda kugongea fursa hizo hizo Ikiwemo - saloon, maduka (madogo...
  14. oko majimaji

    Thibaut Courtois alitupiwa mfuko wenye Kinyesi

    Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi

    Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi Roy Ibonga's personal archive Kuna takriban maelfu ya watu weusi wanaoishi nchini Urusi- wakiwemo waliozaliwa nchini Urusi na baadhi wakiwa na mchanganyiko wa vizazi (machotara) ,Waafrika na wengine kutoka mataifa ya...
  16. Yoyo Zhou

    Wamarekani wenye asili ya Kiafrika bado wanakabiliwa na ubaguzi wa rangi

    Umoja wa Mataifa wiki iliyopita umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi, na kaulimbiu ya mwaka huu ni “Muongo wa Utekelezaji wa Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Asili ya Kiafrika”. Wakati jamii ya kimataifa inajitahidi kuondoa ubaguzi wa rangi, Marekani, ambayo inajiita...
  17. M

    Nafikiria kuifungulia mashtaka Serikali ya African Kusini kwa mauaji na ubaguzi wa rangi uliokithiri kwa wageni

    Habari wanajamvi. Kama kichwa Cha habari kinavyotanabaisha. Nikiwa Kama mtanzania mpenda haki na ambaye nachukia ubaguzi wa rangi na mauaji ya watu wengine Tena wasiokuwa na hatia, ninafikiria kufungua kesi mahakama ya kimataifa dhidi ya Serikali ya Afrika Kusini kwa kuwa ama makusudi/...
  18. JanguKamaJangu

    Vinicius Jr. aipongeza Sevilla kwa kumfukuza shabiki aliyeonesha ubaguzi wa rangi

    Nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior ametoa pongezi kwa Sevilla kwa kuchukua hatua haraka kumtoa na kumripoti shabiki wake kwa mamlaka kwa madai ya kumtusi kwa ubaguzi wa rangi. Taarifa ya Sevilla baada ya mchezo baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya 1-1, imeeleza "Kuna mtu alitambuliwa...
  19. R

    SoC03 Ni vyema mafundisho kama ya binadamu wa kwanza alitokana na nyani yaondolewe kwenye mitaala yetu ya elimu kwasababu yanachochea ubaguzi wa rangi

    NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI UTANGULIZI Ubaguzi wa rangi, kwa maana fupi ni hali ya kumpagua binadamu mwenzio kwasababu ya rangi yake ya ngozi. ambapo kwa mara...
  20. JanguKamaJangu

    Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

    Nyota huyo wa Real Madrid amesema hayo baada ya kutolewa kauli za kibaguzi na mashabiki wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia katika Ligi Kuu ya Hispania 'La Liga'. Baada ya mchezo huo ambao Vinicius alitolewa kwa kadi nyekundu, amesema "Ligi ambayo walicheza Ronaldinho...
Back
Top Bottom