Salaam, Shalom!
Mnasema wanaume ni majasiri, kuna mwanamke mmoja aliishangaza Dunia.
Mchawi huyu alikuwa mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa mchawi sugu, alikuwa amemtia limbwata mfalme,
Mchawi huyu akauwa manabii wote nchini pake manabii wa Mungu aliye hai, waliopona kuuwawa walifichwa mapangoni...