uasi

An ion source is a device that creates atomic and molecular ions. Ion sources are used to form ions for mass spectrometers, optical emission spectrometers, particle accelerators, ion implanters and ion engines.

View More On Wikipedia.org
  1. Suzy Elias

    Panya road: Kikundi cha uasi kinachopiga jaramba

    Kwa sasa huenda kisiwashughulishe sana mafisadi CCM na kwa sababu wanashiba na kulindwa na mabunduki watakipuuza hicho kikundi. Ukweli ni kwamba panya road wakipata mfadhili na watu wa kuwapanga vyema ki mkakati kitakuwa ndicho kikundi sahihi cha kuitoa CCM madarakani.
  2. Mshana Jr

    Uasi mkubwa unakuja CCM

    Ni uasi ambao haujapata kutokea ndani ya chama cha mapinduzi CCM.. Baada ya kukaa madarakani muda mrefu sana ni kama kuna kikundi ndani yake kimejikuta kinajiona wao ndio ELITES wa hii nchi, na lolote ama chochote kinachofanyika ni lazima kipate kibali chao. Imefika mahali kikundi hicho...
  3. kavulata

    Albert Chalamila hajafanya kosa la uasi?

    Asichukuliwe poa kwani kitendo alichofanya ndugu Chalamila kina kila dalili zote kuwa sio cha bahati mbaya na hayuko peke yake. Maongezi yake ukiyasikikiza vizuri yana kila dalili kuwa anawachochea watu wa kanda ile dhidi ya kifo cha mpendwa wetu. Bado haamini kuwa Mungu anaweza kufanya vile...
Back
Top Bottom