Ukisoma Waamuzi 7 kuanzia 22, Wamidiani walidhamiria kuifuta Israel, wakaja wengi mno yaani kwa silaha na kwa walivyokua wamejiandaa, wangeifuta Israel isahaulike, ila Gidioni kwa idadi ya wapiganaji 300 walishtukiza na kupiga tarumbeta usiku, hao Wamidiani wakachanganyikiwa na kuanza kuchinjana...