uarabuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Kwa Iran kurusha makombora Uarabuni yatakua yanajirudia yale ya Gidioni kwenye Bilblia

    Ukisoma Waamuzi 7 kuanzia 22, Wamidiani walidhamiria kuifuta Israel, wakaja wengi mno yaani kwa silaha na kwa walivyokua wamejiandaa, wangeifuta Israel isahaulike, ila Gidioni kwa idadi ya wapiganaji 300 walishtukiza na kupiga tarumbeta usiku, hao Wamidiani wakachanganyikiwa na kuanza kuchinjana...
  2. O

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  3. kibori nangai

    Mawazo: Ziara ndugu yetu Samia huko uarabuni hana hata nuru

    Ndugu wajumbe. Ukweli usemwee vizuri tuuu. Mama yenu anaweza kuwa mtanzania asiye na furaha kabisa maisha yake kwa sasa. Hata nuru inaishaa ,unaona kabisa huyu mtu ana msongo wa mawazooo. Wanasaikolojia wamsadie Mshana Jr Wewe unasemaje Senior. Mimi akinimba ushauri nitamuambi achia...
  4. ELI COHEN

    Leo ndio wabongo wanashtuka eti babu zetu waliopelekwa utumwani uarabun waliishia wapi. Historia ilifocus zaidi katika ku-vilify wazungu, inasikitisha

    Kipindi tunafundishwa kuwachukia wazungu, unyama wa uarabu ulikuwa unafukiwa, hadi hapo watu walipoanza kwenda outside of the box na kugundua zaidi y I abu shiri, kugundua kuwa babu zao walihanisiwa na kufanyika mashine za kazi hadi kufa kwao huko uarabuni, waliobakia nachoamini ni less than 1%...
  5. Troll JF

    Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  6. Dogoli kinyamkela

    Waarabu waliwapeleka wapi mababu zetu, mbona leo hatuwaoni uarabuni kama ilivyo Marekani na Ulaya

    Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe. ⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli. ⚠️Nitachambua kwa uwazi, bila kuficha wala kuchochea chuki yoyote ili unielewe vizuri,fahamu Kuwa Kuna vitu viwili...
  7. K

    Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls

    Soko la ajira uarabuni ni kuwa Ma-house boys and Ma-house girls. Halafu cha ajabu kuna viongozi serikalini wanapiga madongo na kuweka uadui kwa wana diaspora wenye kazi za maana huko USA na EU wenyewe wanatafutia vijana wetu kazi za mahouse girls na wahouse boys. Kazi zinazohitaji elimu unakuta...
  8. M

    Ukipewa nafasi ya kuchagua kuishi kati ya Marekani, Ulaya, Uarabuni na hapa Tanzania utapendelea wapi

    Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha. Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki hapa hapa Bongo. Zingatia mafanikio ya kiuchumi, mahusiano ya kijamii, uhuru wa kujieleza, uhuru wa...
  9. Yoda

    PostGE2025 Tanzania haina cha kujifunza uarabuni UAE katika demokrasia na uongozi

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akiwa na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed walifanya mazungumzo na Spika wa Bunge la umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Saqr Bhogash katika ofisi za...
  10. Mhaya

    Waislamu waziba barabara Canada wakishinikiza Palestina iachwe huru, watu wahoji kwanini wasiende kuandamana huko uarabuni

    Nchi nyingi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikikariwa na jamii ya watu wa Dini ya kikristo, Nazungumzia Amerika Kaskazini, Amerika Kusini na Ulaya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la waarabu kutoka Mashariki ya Kati na Waafrika ambao upeleka tamaduni zao katika nchi hizo na...
  11. ELI COHEN

    Kulikoni hii trend ya X ya watu kutoka uarabuni kupinga kikundi cha Muslim Brotherhood

    Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
  12. Yoda

    Uchache wa idadi ya raia nimSababu kuu za nchi za uarabuni zenye maisha mazuri kwa raia wengi bila utawala bora

    Watu wengi wasiopenda demokrasia kila mara hupenda kutolea mifano ya nchi za uarabuni zenye raia wenye maisha bora sana kiuchumi pasipo kuwepo na utawala bora kwenye nchi zao. Watu wa haina hii hawazingatii mambo mawili kuhusu hizi nchi ambayo ni Utajiri mkubwa wa mafuta na gesi na idadi ndogo...
  13. MFALME WETU

    uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

    Ugonile, Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu. Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza. NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa. AVAILABLE POSITIONS...
  14. Khanji kapoor

    Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

    Hadi waarabu hawamtaki CR7 ? Hili swali ndio linatrend uko duniani How comes arabs kick out CR7 Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati Mtumbuizaji mahiri anajua wakati sahihi wa kuachia jukwaa CR7 hakujua wakati sahihi Ronaldo hakutakiwa kwenda...
  15. ufalmedigital

    Ukweli woe kuhusu kazi za ndani uarabuni huu hapa

    KAZI ZA NDANI UARABUNI – FULL INFO Chanzo: chuosmart.com Inahusu nchi kama: Saudi Arabia, UAE (Dubai), Qatar, Oman, Kuwait, Bahrain 1. Maana ya Kazi za Ndani Uarabuni Ni kazi zinazofanywa majumbani na wanawake au wanaume walioajiriwa kusaidia shughuli kama: Kufua, kupika, kusafisha...
  16. ELI COHEN

    Wakomonisti wa JF walijua Trump anafeli hii vita ya makato wakati mwamba yupo Uarabuni anasaini deals tena kwa kuhumizwa

    Nyie muendelee kukubali kuchukuliwa tu vibanda vyenu vya umachinga na wakina jet li🤣
  17. Yoda

    Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

    Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
  18. C

    Ngoma za asili ya Uarabuni ni kivutio duniani

    Hii Ngoma inaitwaje? Utamaduni wa Kiarabu unajumuiaha Ngoma, Chakula na Watu.
  19. Mhaya

    MDAU: Kwanini ni nadra kuona watu wakipeperusha bendera ya Palestina kwenye nchi za Uarabuni tofauti na wanavyofanya Ulaya au Marekani?

    Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya Kiislamu kama Dubai (UAE), Saudi Arabia, Qatar, na kwingineko, lakini wanafanya hivyo wakiwa nchi...
  20. Yoda

    Elimu gani ni bora zaidi kati ya elimu ya Magharibi na ile ya Uarabuni?

    Hili swali limekuja baada ya kumuona huyu mwanamama Fatma Karume aliyesoma London School of Economics(LSE) akiposti kwa juhudi kubwa sana posti nyingi nyingi huko twitter kuiweka elimu ya uarabuni katika mizani sawa na elimu ya Magharibi huku akilalamika wanaoujua elimu ya Magharibi kutokujua...
Back
Top Bottom