uandishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

    Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Uandishi wa habari wa waandishi wa Tanzania, hasa viji Tv vya mitandaoni ni aibu ya taaluma ya uandishi wa habari. A Nobel profession!

    Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika. 1. Msiba mkubwa watokea 2. Kimeumana Mabibo 3.Heche amaliza kazi 4. Kimenuka 5...and much more of this type! Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
  3. JamiiForums Tanzania Balile: Mwandishi unasema una hofu, hofu ya nini? Mtaua uandishi

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewakosoa baadhi ya waandishi wa habari na wadau kwa kujenga mtazamo wa hofu unaoua taaluma ya uandishi wa habari badala ya kutumia fursa na sheria zilizopo kupata taarifa. Amezungumza hayo katika maadhimisho ya Siku ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania "Soft Censorship" Inavyonyonga Uandishi Huru Tanzania: Pascal Mayalla Kama Mfano wa Kifani (Case Study) wa Udhibiti Mpya wa Kiutawala

    Mvutano wa kijenetiki kati ya uandishi wa habari huru na mamlaka za dola nchini Tanzania unaendelea kushika kasi mpya, ukionyesha mageuzi makubwa ya kimbinu. Uhusiano huu wenye migogoro sasa unajidhihirisha wazi kupitia hatua za hivi karibuni za kiutawala dhidi ya mwanahabari, mchambuzi mkongwe...
  5. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Ningekuwa Bodi ya ithibati, kila Mwandishi aliyegombea kupitia chama asingerudi kwenye Uandishi

    Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
  6. JamiiForums Tanzania Fursa ya Fellowship ya Miezi 9 kwa Waandishi wa Habari wanaopendelea uandishi wenye maslahi kwa umma (PIJ)

    Je, wewe ni Mwandishi wa Habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (PIJ)? Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki: https://fellowship.utpc.or.tz/auth Tafadhali soma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza...
  7. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uandishi wa magazeti nchini na mfumo wa magazeti ya Asubuhi News upi unafaa kuzingatiwa Tanzania

    Haya ndio magazeti ya Asubuhi News, nini Cha kujifunza.
  8. JamiiForums Tanzania Manara ana ithibati ya uandishi au kwa sababu yuko CCM ni ruksa?

    Maamuzi mengi ya Taasisi za kudhibiti yanakua na double standard, huyu jamaa wote tunajua kua yuko CCM na anatumika kuhoji Viongozi wa kiasiasa na pengine kuzungumzia siasa, Kiuandishi hii imekaaje ? Tueleweshane taratibu msifoke.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Paschal Mayalla - Sasa upo kwenye reli ya Uandishi wa Habari ni si uchawa tena

    Umeongea kwa ufasaha, utulivu na hoja zenye mashiko, jambo linalodhihirisha si tu uwezo wako wa kujieleza bali pia upeo wako wa kufikiri kwa kina. Ni wazi kuwa umejiandaa kwa umakini mkubwa; umechambua mada kwa ustadi na kuwasilisha ujumbe kwa namna ya hali ya juu sana. Mtiririko wa mawazo yako...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Tz acheni uandishi wa kijiweni

    Mara Kimewaka, mara kimenuka Mara àmlipua fulani Mara ya.... kufa mtu Mara..... kufuru Uandishi gani huu wa maneno ya kijiweni, ya kihuni
  11. JamiiForums Tanzania Uandishi Maandazi ndani ya Clouds FM

    Leo ni siku ya mchezo wa mwisho wa kundi la AFCON, mjadala mkubwa haupo tena uwanjani bali pia kwenye vyombo vya habari. Leo asubuhi baadhi ya waandishi wa Clouds FM wamejikuta wakilaumiwa kwa kile kinachoonekana kama kulazimisha matumaini yasiyo na msingi kwa Watanzania. Asubuhi ya leo kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Vyombo vya nje vifuate taratibu za uandishi, walichofanya CNN, Al Jazeera na wengine sio sawa, ni ukiukwaji wa makusudi

    Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika. Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na...
  14. JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Ufalme wa Marvel: Uandishi Uliopoteza Mwelekeo

    Miaka ya mwanzoni mwa 2010 ilikuwa zama za dhahabu kwa mashabiki wa filamu za Marvel Cinematic Universe (MCU). Kila filamu iliyotoka ilikuwa tukio la kusisimua. Kuanzia Iron Man (2008), The Avengers (2012), hadi Avengers: Endgame (2019). Marvel ilijenga himaya ya hadithi zilizochanganya...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira,wenye vipaji vya uandishi wa habari

    Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu yake ya vipindi vya runinga. Kwa mujibu wa tangazo lao , jumla ya nafasi 6. Habari za Burudani & Udaku – nafasi 4 Masuala ya Kijamii – nafasi 2 Miongoni mwa sifa...
  16. JamiiForums Tanzania Vigezo na masharti ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu vyawekwa hadharani

    Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la kukuza lugha ya Kiswahili na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere. Ameeleza hayo kwenye kikao na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM rekebisheni uandishi wa Vyeti, mnatukosesha fursa kwenye Ajira Portal!

    Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal. Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa...
  18. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati yawataka waandishi wa habari kujisajili ili watambuliwe rasmi

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card). Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
  19. JamiiForums Tanzania Sifa ya Uandishi

    [Chorus] Sifa ya Uandishi Tunga bila Sifa Nikifa na Sifa nzuri Ni Sifa kwa alionisifu Mistari 16 Uvumi unasikika Lini mistari ya Mhuni itakwisha? Tungo zaidi ya Sifa Mdundo wa Kibabe Mikunjo ya Kimista Gumzo za Kipambe Nachana Kisha naepuka lana Kichwani ni mtindo wa Rap Nimeusuka toka zama...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Web Scraping na Akili Bandia (AI) katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi Tanzania

    Utangulizi Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania kukumbatia Akili Bandia (AI) kama zana muhimu ya kuimarisha kazi zao. Kauli hii ya uthibitisho kutoka ngazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…