tvs

  1. Tachu hano

    Pikipiki ya Boxer au TvS inahitajika

    Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri Location: Mwanza NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
  2. Mamujay

    Thread maalum ya watumiaji wa Pikipiki ya TVS

    Tukutane hapa , Kwa mawazo, Changamoto Michongo n.k
  3. S

    Pikipiki Used Tvs /boxer / Toyo / Sanya inahitajika

    Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
  4. L

    INAUZWA Pikipiki TVS & Boxer

    Kwa Mahitaji ya pikipiki Aina ya TVS na Boxer BM/ BMX Tupigie 0652659775/0620617985 N.B ni kwa DSM pekee
  5. Nyuki Mdogo

    INAUZWA Tabata-Dar: Bajaj Tvs inauzwa kwa bei ndogo sana

    Bajaj ya abiria aina ya Tvs. Haina shida yoyote njoo na fundi kagua, lipa anza kuswampa Bei elekezi 1,500,000 0713096076 tuwasiliane
  6. kyesha

    Spea used za tvs ninaziuza nicheki inbox

    Tyre & limu (mbele) 95,000 Seat 50000 Cheses (ina mkasi,kifua,stend, plate number na blue card) 150,000 Keria 40000 Medigadi mbele 15,000 Footrest nyuma 15,000 Bampa 15,000 Tenk 45,000 Maongezi yapo!! Vipo Songwe!! Inbox me Nakutumia popote ndani ya tz
  7. Degelingi_One

    PIKIPIKI: Bajaj Boxer 150 vs TVS 150

    Wasalaam wakuu humu ndani, Mwezi ujao natarajia kuingia dukani kuchukua chombo cha usafiri pikipiki. Kuna hivi vyuma Boxer na tvs kwa haraka haraka unaweza ukadhani ni vyuma sawa. Lakini wataalamu na wazoefu wanavijua vema kipi kinamzidi mwenzake. Naomba ushauri wenu ipi ni nzuri hasa...
  8. B

    INAUZWA Nauza pikipiki used TVS 125 Gia 4 Kwa 1.3m

    TVS hio. Cc 125 gia 4. Imetumika mwaka mmoja. Full document. Bei 1.3mil. Iko Nyakato Mwanza Piga 0623865841 tuongee biashara.
  9. Isaack Newton

    Anaejua bei ya pikipiki TVS 125 anijuze.

    Habari wakuu Nahitaji kununua pikpiki aina ya TVS 125 kwa matumizi yangu binafsi. Anaejua bei yake kwa sasa anijuze tafadhali.
  10. Ramon Abbas

    INAUZWA Pikipiki TVS no CQB inauzwa Mwanza Mjini

    TVS hio. Cc 150 gia 4. Imetumika mwaka mmoja. Full document. Bei 1.8 mil. Iko nyakato Mwanza Piga 0713096076 tuongee biashara achana na comments.
  11. K

    INAUZWA Nauza Bajaji ya TVS King

    Habari zenu, nauza Bajaji ya kijani Aina ya TV's king, iko mikocheni na iko kwenye Hali nzuri Sana na inavibali vyote na inafanya kazi to a Uber na bolt. Bei ni milioni mbili na laki nne (2.4 million). Mawasiliano 0620704530. NB- Hii ni Bajaj yangu hivyo haina udalali.
  12. Orketeemi

    Naomba kujua bei za pikipiki TVS na Boxer

    Wakuu kwema? Naomba mwenye kujua anijuze bei za pikipiki aina tofaut tofaut za brand ya TVS na za Brand ya Boxer Kwa DSM au Mwanza. Natanguliza shukrani.
  13. Ramon Abbas

    INAUZWA Pikipiki TVS 125 Gia 4 kwa laki 6 tu. Dar es Salaam

    inahitaji betri tu ambayo inauzwa Tsh 25,000 Bima imeisha Tvs 125 Gia 4 iko mbagala. karibu tufanye biashara
  14. N

    Injini gani ya pikipiki mchina inaweza kaa kwenye pikipiki aina ya TVS

    Pole na kazi wakuu!! Msaada katika Hilo tafadhali
  15. Nibiru

    Pikipiki mpya ya TVS inahitajika

    Salaam wakuu, Pikipiki aina ya TVS mpya inahitajika kwa Dar es Salaam soon as possible. Msaada wenu please.
  16. Mtu Asiyejulikana

    Sababu za Ubora katika Makundi ya Brands za TVs hizi

    Nimegawa Brands katika makundi mawili. Kundi A na kundi B. Nimezingatia ukongwe au Umaarufu duniani katika makundi haya na Bei zake. A. Samsung Panasonic Sony Hitachi JVC LG SANYO ( TCL na HISENSE ? ) B. TCL HISENSE BOSS STAR X Mr. UK HOMETECH ABORDER SINGSUNG ITEL ZUHNE Jambo jingine. Je...
  17. Analogia Malenga

    TCRA: Utoaji wa Leseni za Maudhui Mtandaoni umesitishwa hadi Juni 30, 2021

    Mkuu wa TCRA Kanda ya Ziwa, Mhandisi Mihayo akizungumza kwenye Usiku wa Waandishi wa Habari na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza. Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha utoaji wa leseni za Maudhui Mtandaoni kwa muda kuanzia...
  18. Mwita Mtu Mrefu

    INAUZWA PIKIPIKI AINA YA TVS cc 150 kwa 1.3 mil

    Hello jf Hiki chombo kina kina document zote za umiliki Chombo kinafanya kazi vizuri Karibu tufanye biashara 0744033555 Loc: Dar es salaam
  19. E

    Wapi Arusha naweza kuchongesha funguo ya bajaji aina ya TVS?

    Habari, Kwa Arusha ni wapi nnaezakupata mtu anayechongesha funguo za TVS, nimepoteza mmoja nikabaki na mmoja
  20. Mwita Mtu Mrefu

    INAUZWA pikipiki TVS namba C inauzwa: Mbagala Dar es Salaam

    TVS cc 125 Full docs of ownership Haina tatizo lolote la kiufundi, engine haijawahi funguliwa. Bei: 1.5 milion Tshs Mbagala Dar Call 0744033555
Back
Top Bottom