tvs

  1. K

    Ni nani anawalipa Online TVs ili washushe Clips za Emmanuel Nchimbi kupigiwa makofi? Ili iweje?

    Hivi karibuni Februari 28, 2026 wakati wa Msiba wa Hayati Polycarp Kadinali Pengo kila mtu anakumbuka kilichotokea kuhusu suala ya kupigiwa au kutopigiwa makofi kwa wanasiasa. Baadhi ya Viongozi wastaafu walipigiwa sana makofi na waaumini lakini wale waliopo madarakani kwa sasa hali ilikuwa...
  2. Keyboard_Warrior

    USA: Venezuela vs Iran

    Oya, ina maana USA wameshindwa kurudia kile walichokifanya Venezuela kwa Iran? Yaani wameshindwa kwenda na makomando wao wa Delta force kumnyakua Ayatollah kama walivyomnyakua Maduro? Daaaaah!!!
  3. jay-millions

    Pikipiki kali na imara sana 2026 ni Haojue express na Tvs 125

    Kama unahitaji pikipiki kwa usafiri binafsi au kubeba abiria chukua Haojue Express Plus au TVS 125 Na ukihitaji pikipiki ya kubebea mizigo shambani chukua Haojue 125 Mninga utafurahia usafiri wako, nimependekeza hizo kwasababu zifuatazo 1. Ni rahisi kuuza hata ukiwa umeitumia kwa mda mrefu 2...
  4. kafuta ambele

    Nahitaji Pikipiki TVS 125 HLX

    Kama kichwa kinavojieleza nipo DSM Ofa yangu milioni moja na laki sita za kitanzania 1600000.
  5. Adolph Jr

    Je, engine za TVS za kununua madukani ni sawa na zinazokuja na chombo ikiwa mpya?

    Kumekucha na makucha yake.. Ni muda Tena nimekuja na wazo la kuboresha usafiri wangu TVS baada ya kuona mafundi wamezidi kuchokonoa engine. Ninampango wa kununua engine mpya ya TVS dukani nifunge cc125 ila Nina wasi wasi isije ikawa kama vifaa vingine vya mipira maana 80% ni fake. Je vipi...
  6. Five55

    VIDEO: Ona Sam Sasali alivyopàmbana na Kafulila TVs zikiwa Live " Hizo namba za ukuaji wa uchumi zinafaida gani kwa mwananchi wa kawaida?"

    Mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha Clouds Media Sam Sasali akimuhoji Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika Mdahalo wa The Cafe Talk alikuwa na haya ya kusema, Kwanza mtangazaji Sam Sasali alitaka kujua uhalisia wa tarakimu za ukuaji...
  7. Mwafrika mmoja

    Nauza pikipiki - TVS STAR 125 "EHD" 🔥🔥🔥

    Karibu ujipatie pikipiki hii new condition TVS STAR 125 "EHD" 🔥🔥🔥 Unaipata kwa 1,850,000/= Tu Napatikana Mbezi Beach, DAR. CALL/WHATSAPP 0683535699
  8. J

    Bajaji used TVs no D zinauzwa bei nzuri zipo Dar

    Bajaji Tvs no DGK inauzwa , kwa sasa IPO inafanya kazi mbezi Bei 3M Contact: 0675336219
  9. Carlos The Jackal

    Bungeni liko Live, Online TVs Viewers hawazii 100 Kwa Kila TV , TUNDU LISSU Yuko Live, Online TVs Viewers ni zaidi ya 2k Kwa Kila TV

    Hata kama mtafumba macho na kuweka pamba masikioni , Ukweli utabaki palepale .
  10. Mad Max

    Hyundai na TVS waungana kutengeneza "Bajaji" za umeme. Zimekaa Unyama sana!

    Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private. Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing. Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
  11. Mad Max

    Makampuni na Mawakala wa pikipiki za TVS, Hero, Bajaj nk, mnatukosea sana Watanzania!

    Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda. Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania? Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi. Kwamba hatuwezi...
  12. nipo online

    Napenda pikipiki TVS lakini eneo nililopo wateja wanapenda BOXER. Naomba ushauri.

    Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
  13. Carlos The Jackal

    Online TVs zote uchaguzi TLS, Mtangazaji ni Mmoja , nini maana yake?

    Kwanza itakua ni wendawazimu mkubwa Kwa WATU tunaowaita Mawakili kua Wala Rushwa na Kupokea Rushwa ili mradi kura wampigie mtu anayetakiwa na Serikali. Pili, Ni Ujinga wa kiwango Cha juu sana ikiwa Serikali itahitaji Kuiongoza TLS. Tatu, Hili la Online TVs zote kua na Mtangazaji Mmoja, ni...
  14. A

    Msaada: Bajaji Tvs zinauzwa bei gani?

    Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante.
  15. MomB

    Miliki pikipiki yako ya TVS

    Tunauza pikipiki zote za tvs kwa bei nafuu sana. Tvs 125 4 gear utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 2 na laki tisa tu. Tvs 125 gear 5 utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 3 na laki moja tu. Tvs King ya mafuta utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 9 na laki 9 tu, Tvs king ya...
  16. L

    Bajaji TVS Apache 1604v 2020 Brown inauzwa 3.2million kazi kwenu.kwa mawasiliano piga 0695022051

    Habarini Wana JF kwa anaetaka kuanza biashara ya bajaji Karibu sana bajaji inauzwa na ipo vzr sana bei ni 3.2 million tu
  17. X

    Boda boda namba D inauzwa. TVS

    imeuzwa!!
  18. chris emex

    INAUZWA Pikipiki ya TVS inauzwa

    TVS DKS 1.35m Maelewano yapo Piga 0628 880 380 Iko poa sana Maelewano yapo, wahi hii offer kuicheki bureeee Engine haijaguswaa.
  19. L

    Kwenye pikipiki aina ya TVS, tatizo la kutochaji battery linasababishwa na nini?

    Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
Back
Top Bottom