Hakuna marefu yasiyo na ncha - karibu tuzogoe!

Hakuna marefu yasiyo na ncha - karibu tuzogoe!

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
14,633
Reaction score
35,426
Wiki imekua ndefu na mpaka tumalize huu mwaka tutaona mengi.
  1. Hali ya kisiasa ilivyo Tanzania kwa sasa inakupa hisia zipi?
  2. Vipi nini kimekufurahisha au kimekukera wiki hii?
  3. Matarajio na malengo yako ya mwaka 2025 yanaendaje? unatoboa?
  4. Muulize mwanaJF yoyote swali la kizushi, utajibiwa.
 
16818-heart-attack-illustration.jpg
 
Back
Top Bottom