Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,051
- 36,809
- Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje?
- Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haitetereki?
- Tupe suggestion ya movie mpya au series zitusaidie kusukuma weekend.
- Weka picha inayoreflect mwezi April na mwaka 2026 so far na isindikize na maneno ya wahenga
- Kuna habari yoyote ambayo imekushtua, kukushangaza, kukusikitisha au kukufundisha?
Mbali na ripoti ya tume, binafsi kuna habari nimeisoma CNN imenifanya nijisikie vibaya kuhusu wanaume wanaofundishana online jinsi ya kuwaingilia wake zao wakiwa usingizini. Ni kweli hampewi tendo la ndoa mpaka mnawalevya wake zenu? au ni tabia za ubakaji ambazo baadhi ya wanaume wanazo? umeshawahi kusikia mkasa kama huu kwa Tanzania?