tunduma

Tunduma is a town in Songwe Region, Tanzania, on the border between Tanzania and Zambia. It has border posts for both the Tanzam Highway and the TAZARA railway (for which it has a station) linking the two countries. It is located 103 km southwest of Mbeya. It is also the junction for the tarmac road which runs via Sumbawanga through the remote far western districts of Tanzania to Kasulu and Kibondo in the north-west. According to the 2012 census, it has a population of 97,562.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    Border ya Tunduma mtuambie mna maana gani, kudai cheti cha covid 19 wakati Tanzania haina covid 19?

    Border ya tunduma mtuambie mna maana gani.kudai cheti cha covid 19 wakati Tanzania haina covid 19, mamlaka mko wapi maana hakuna sehemu yoyote cheti hiki kinatakiwa si Zambia wala Zimbabwe wala souz wala Botswana nyie border ya Tanzania Tunduma cheti cha covid cha nini kimekuwa kero sana kwa...
  2. Tunduma punguzeni vifo vya mbwa kungata watoto

    Kuanzia January ukiangalia unaweza sema Tunduma ni Rukwa ama Sumbawanga maana ndio mambo yao Kwa mwezi kila mara lazima watoto wanakufa kwa kung'atwa na mbwa huko Tunduma Juzi nimesikitika sana wanalalamika wananchi mtoto wa 8 kufa toka Februari mwaka huu Na viongozi wameombwa kusaidia...
  3. Mkuu wa Mkoa wa Songwe amvaa mkandarasi Tunduma, atoa siku 7

    https://www.youtube.com/watch?v=HkDDYR59Gj4
  4. Wadau wadai msongamano wa malori Tunduma unatengenezwa, RC Chongolo aunda kamati kubaini ukweli

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameunda kamati malumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubaini sababu zinazosabaisha msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ambao umekuwa ukilalamikiwa mara kwa mara na madereva hali ambayo imekuwa kero kwa watumiaji...
  5. PreGE2025 Katibu wa BAVICHA Mtaa wa Msasani, Tunduma 'No Reforms No Election' ina mpango wa kuipendelea team Lissu

    Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu. Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana...
  6. W

    PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema amechapisha picha inayoonesha wananchi waliojitokeza mkutano wa Lissu, Machi 27, 2025 Tunduma

    Wakuu salama? Nmekutana nahii picha na nmeona watu wanasema kuwa si ya mwaka huu 2025. Uhalisia ukoje JamiiCheck?
  7. PreGE2025 Serikali yasema Mradi wa Maji wa Tunduma, Vwawa (Tsh. Bilioni 119.9) utawanufaisha Wakazi 219,309

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo , Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Tunduma, Vwawa, Kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Eng. Mwajuma Waziri, kwa niaba ya Serikali na Meneja Mradi...
  8. PreGE2025 Aweso: Mkandarasi mradi wa Maji Tunduma - Vwawa nataka ukamilike kwa wakati "ukizingua nami nakuzingua"

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemuagiza Mkandarasi Kutoka kampuni ya CCECC ya Nchini China anayetekeleza mradi wa Maji Tunduma - Vwawa kuhakikisha anakamilisha kazi kwa wakati huku akisisitiza kuwa akimzingua naye atamzingua. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  9. PreGE2025 Vikundi 150 Tunduma vyapokea bilioni 4.6 mikopo ya asilimia 10

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 kwa vikundi 150, ikiwa ni mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani kwa ajili ya vikundi...
  10. PreGE2025 Mbunge David Silinde: Anaetamani kugombea jimbo la Tunduma aje, tutamnyoosha kuliko kipindi chochote

    Mbunge wa Jimbo la Tunduma, David Silinde, amewapa ujumbe mzito wanaotamani kugombea nafasi yake katika Uchaguzi Mkuu ujao, akisisitiza kuwa maendeleo makubwa yaliyofanyika chini ya uongozi wake yanampa uhakika wa ushindi mkubwa yeye na Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza jana Februari 22...
  11. DOKEZO Wizara ya Afya ifuatilie ubora wa nyama inayouzwa Mitaa ya Mpemba – Tunduma pia wauzaji hawazingatii usafi

    Kero yangu kubwa ni kwa mamlaka inayosimamia huduma za Afya katika Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, kumekuwa na tatizo la wauzaji wa Nyama kuuza nyama zenye mashaka ya ubora na baadhi wanauza zikiwa zimeharibika. Nimefuatilia na kubaini kuwa mara nyingi nyama hizo zimekuwa zikiweka kwenye...
  12. Kamati Yapongeza Matumizi ya Mapato ya Ndani Kukamilisha Miradi Tunduma

    KAMATI YAPONGEZA MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI KUKAMILISHA MIRADI TUNDUMA. Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kutumia mapato ya Ndani kujenga shule ya Sekondari ya Uwanjani. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Justin Lazaro...
  13. KERO Songwe: Vyoo vya Stand ya Mabasi ya Tunduma ni vichafu sana

    Waungwana hivi zile pesa tunazolipa wakati wa kuingia kwenye vyoo hasa maeneo ya Stand zinafanya kazi gani? Maana vyoo vingi vya Umma vina changamoto ya usafi na ukosefu wa maji bila kusahau ubovu wa miundombinu, nimeona mara kadhaa hapa JF watu wamekuwa wakiripoti kero hiyo kisha kisha wenye...
  14. Mbeya:Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani njia ya Mbeya Tunduma wamezidi kuchukua Rushwa

    Habari waungwana,Kuna hawa Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani mkoa wa Mbeya wamezidi kuchukua Rushwa. Muda huu Niko safarini kutoka Mbeya kuelekea mkoa wa Songwe tumekutana na Askari maeneo ya Ifisi na Songwe viwandani wao kazi Yao ni kuchukua Rushwa tu. Wanasimamisha Magari lakini hakuna...
  15. LGE2024 Tunduma: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Azikwa

    Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji ya kisiasa Nchini Tanzania. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho ya Marehemu huyu, Amina Bali...
  16. LGE2024 Kada wa CHADEMA - Tunduma adaiwa kushambuliwa na kuuawa na Green Guard

    Taarifa iliyotolewa na Mwanachana wa CHADEMA, Hilda Newton imeeleza kuwa kada wa chama hicho katika mji wa Tunduma, Steve Chalamila amevamiwa nyumbani kwake na kuuawa na wanaodaiwa kuwa Green Guard. Amendika kupitia mtandao wa X "tumepata msiba mkubwa Kamanda wetu Stivu Chalamila ameuwawa...
  17. Mwili wa binti Brigette Mbembela (Pude) aliyefariki ajali ya ghorofa Kariakoo waagwa katika Kanisa la KKKT Songwe

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Novemba, 2024 ameshiriki ibada ya mazishi ya Brigette Mbembela (Pude), iliyofanyika katika Kanisa la KKKT dayosisi ya Konde, Usharika wa Tunduma Mkoani Songwe. Soma Pia...
  18. IGP: Ajali ya Shabiby Tunduma trafic aliyewahi kupiga faini bus lolote la Shabiby kuanzia Sep 2024 hadi sasa awasiliane nami

    IGP: Ajali ya Shabiby Tunduma - Ajali ya Shabiby: Inahusisha mabasi ya kampuni ya Shabiby ambayo yanatumika katika safari za Tunduma. - Faini za Trafiki: Taarifa inasema kuwa hakuna madereva wa mabasi ya Shabiby ambao wamepiga faini kuanzia Septemba 2024. - Wasiliana NAMI: Ni wito kwa watu...
  19. Basi la Shabiby lilipata ajali jana Novemba 18, 2024 Tunduma

    Basi la Kampuni ya Shabiby inayofanya safari Sumbawanga-Dodoma ilipata ajali eneo la mizani ya Nkangamo Tunduma. Kwa inavyoonekana na ni kama lilianguka lenyewe. Nitaupxate kadri taarifa zitakavyopatikana Wakuu.
  20. Bashungwa Aiagiza TANROADS Kufunga Mizani Mitatu ya Kupima Uzito wa Magari Tunduma

    BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA. 📌 Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma 📌 Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya kukamilishwa 📌 Aagiza upembuzi kufanyika ili kujenga barabara ya Mchepuo, magari yanapita kwa kupokezana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…