tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Taifa ambalo watu kama Tundu Lissu na Prof. Assad wanafanyiwa fitna ili wasiongoze Taasisi na Watu haliwezi pata Maendeleo ya kweli kamwe.

    Kama wewe ni binadamu na unafikiri vizuri. Fikiria namna Prof. Assad alivyo na madini ya maana kichwani kwake, alafu fikiria kuwa mtu wa namna ile alifanyiwa fitna na kuondolewa kwenye Cheo cha Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili asiiambie ukweli Serikali mabaya yake kuhusu matumizi yasiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

    Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025. == Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

    Inamhusu Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani Tanzania aliyenusurika jaribio la mauaji 2017 (risasi 16). Akiwa uhamishoni Belgium, anawania urais 2025, akisukuma demokrasia, kupambana na ufisadi na mageuzi ya haki za binadamu. Inatoa wito wa msaada kimataifa kumkinga na vitisho. Kutoka kikundi...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Shekhe Mziwanda, na Shekhe Jongo, wanakosea kumuombea mabaya Tundu Lissu, huku wakisahau jinsi Lissu alivyotetea Mashehe wa Uamsho, na Answar Sunna

    Huu ni ushahidi ufike kwa Shekhe Mziwanda, na Shekhe Jongo. Msikilizeni Tundu Lissu akitetea Mashekhe wa Uamsho, na Answar Sunna. Je, ni uungwana Mziwanda, Jongo, na Mwaipopo, kumshambulia Tundu Lissu? https://www.youtube.com/watch?v=WcWTRjKreWc https://www.youtube.com/watch?v=0WazpC_VdZE
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Maslahi ya umma kwenye kesi hii, ni kumwachia huru asiye na hatia aende zake

    Salaam! Nabii Tundu lissu amedai ikiwa ushahidi upo na wamedai upo , basi upelekwe Mahakama kuu, Sasa DPP kudai bado hajaamua Nini kifanyike ni kinyume Cha Sheria na katiba. Maslah ya umma kwenye kesi yake ni kumwachia huru mara moja sababu hana hatia, au apelekwe Mahakama kuu ushahidi...
  7. JamiiForums Tanzania Kesi ya pili ya Uchochezi inayomkabili Tundu Lissu inaendelea mahakamani muda huu

    Wakuu, https://www.youtube.com/watch?v=6TwpERK4wFA Shauri Na. 8606/2025 la uchochezi na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa YouTube linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antiphas Lissu imeahirishwa mpaka pale mahakama kuu itakapotoa majibu hivyo shauri limeahirishwa kwa muda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na Tundu Lissu, wanasiasa waliopewa vipaji vikubwa

    Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita. Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam mwenye akili sana Tanzania, asiweza kukata tamaa na Licha ya madhila makubwa aliokumbana nayo ni mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Picha ya mwaka 2025...Mh. Tundu Antiphas Lissu atapaza sauti hata akipitishwa kwenye bonde la mauti!

    Mh. Tundu Antiphas Lissu katikati ya wasiojulikana hanyamazi! Pamoja na kumiminiwa risasi zaidi ya thelathini hakunyamaza Pamoja na kupitishwa kwenye bonde la mauti hajanyamaza Pamoja na kusubiri kunyongwa kabla ya hukumu hatanyamaza Mh. Tundu Antiphas Lissu ni mtu na nusu...NO REFORM, NO...
  10. JamiiForums Tanzania Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Hongera Sana Tundu Lissu hakika utakumbukwa vizazi na vizazi

    Ukiangalia kwenye jicho la tatu bunge kuvunjwa August 3 mwaka huu Misimamo yako isiyoyumba Sasa imeanza kuzaa matunda Mwanzo tuliwaambia wakashupaza shingo Sasa naona no reform no Election imewaingia na wametupa taulo. Ni matunda ya Tundu Lissu kusimama kidete, kukubali kuteseka kwa sababu...
  12. JamiiForums Tanzania Alivyotendewa Tundu Lissu Ukonga ni Uvunjifu Mkubwa wa Ibara 13 ya Katiba

    Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu. Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu...
  13. JamiiForums Tanzania KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE: Tundu Lissu apewa kila anachohitaji gerezani

    Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote. Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu special thread (CHADEMA CHAIRMAN)

    Wana JF kuna mahali tulipitiwa na kujisahau.. Tulipaswa kuwa na mada maalum ya Tundu Antipas Lissu. Mwanasheria nguli, mwanaharakati wa haki za binadamu na sasa mfungwa wa kisiasa wa kesi ya uhaini na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanganyika Ana historia yake maalum .. Ana mengi...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ,Bunge linaweza tunga Sheria Kwa ajili tu ya kumbana TUNDU LISSU,au kumlinda MwanaCCM fulani!!

    Fikiria unakua na Bunge ambalo Wabunge wake wanakaa kuwaza namna ya kumdhibiti TUNDU LISSU!! Au Bunge linatunga Sheria Kumlinda Kiongozi fulan wa Chama chake Maajabu yanaenda mpaka Mahakaman, Majaji wanatoa Hukumu za ajabu sababu tu zitaibeba CCM, wanasahau kua Hukumu zao hizohizo...
  16. JamiiForums Tanzania Mimi sio mtabiri, ila hebu tujadili hili kuhusu Tundu Lissu

    Hello wana Jukwaa; Kama nlivyotangulia kusema kuwa mimi sio Mtabiri, wala mfuatiliaji wa siasa kiviile na sijui mengi katika mambo ya siasa. Ila mimi huaga hata katika maisha yangu ya kawaida, hupenda sana kuunganisha Dot kwa yale yalonitokea, niloyapitia na hunipa mwanga kuwa naelekea wapi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mie nilijua Tundu Lissu yupo kwa VIP za sero

    Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa Nasema hivi kwa sababu niliwahi kufika pale Kisongo gerezani kipindi wale watuhumiwa wa mauaji ya Kimball wa Rwanda Banyamulenge wakiwa wamewekwa...
  18. JamiiForums Tanzania Prosecution or Persecution: Unpacking the Tundu Lissu Debate Igniting Tanzania's Digital Sphere

    Prosecution or Persecution: Unpacking the Tundu Lissu Debate Igniting Tanzania's Digital Sphere Introduction In Tanzania's vibrant and often contentious digital landscape, few topics have ignited as much passion and division as the legal proceedings against prominent opposition figure Tundu...
  19. JamiiForums Tanzania Makala maalumu ya historia ya Tundu Lissu: Ni hasa huyu mtu? Mambo saba (7) usiyoyajua kumhusu

    MAMBO SABA USIYO YAJUA KUHUSU TUNDU LISSU. - Courtesy: BBCSwahili.com Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu. Kwa wengi, yeye ni alama ya mapambano ya haki, demokrasia na...
  20. JamiiForums Tanzania Nyerere, Magufuli na Sasa Tundu Lissu

    Hawa ndio wataacha alama ya milele kwa Taifa la TANZANIA Watakumbukwa kwa vizazi na vizazi miaka mingi ijayo Nyerere atakumbukwa kwa uadilifu. Magufuli atakumbukwa kwa uthubutu wa kufanya. Lissu atakumbukwa kwa reform zitakazo ishi kwa vizazi na vizazi!! Mungu ibariki Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…