tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Tindo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mubashara Clouds FM: Tundu Lissu, Zitto Kabwe wakichambua Tume Huru ya Uchaguzi

    Tundu Lissu yuko mubashara Clouds FM, akichambua kuhusu Tume hii ya uchaguzi. Atakuwepo hadi saa 3 asubuhi, wapo na Zitto Kabwe na Onesmo Ole Ngurumwa. Tusikilize uchambuzi makini.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa X: Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa ndugu Lissu anatarajia kuondoka na kuihama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa.hii ni baada ya kutoridhika na mwenendo na aina ya siasa zinazoendeshwa na ndugu Mbowe. Lissu anaamini kuwa masuala mbalimbali ambayo CHADEMA inayahitaji hasa suala la katiba mpya...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Sheria ya Mpira inasemaje juu ya goli la Yanga? Je, kuna uwezekano wa kufungua kesi?

  5. 4

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Tundu Lissu?

    Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi? Binafsi kama mwananchi na kama mfuasi wake ni haki yangu jua alipo maana na ni siku zimepita kidogo simsikii wapi alipo...
  6. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Leo katika historia kutoka Kwa Tundu Antipas Lisu dhidi ya "Dikteta Uchwara"

    Strong leader. Ujumbe wa Lissu: Wandugu wapendwa. Ninaandika haya nikiwa nyumbani kwangu Dodoma. Najiandaa kwenda mahakamani kwa ajili ya uamuzi wa Mahakama Kuu juu ya kesi ya kutaka kuzuia Uchaguzi wa TLS. Ninawapa taarifa kwamba nimefuatwa nyumbani na askari wawili kutoka ofisi ya RPC...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na Azim Dewji

    Mfadhili wa Zamani wa Simba na Mfanyabiashara wa Tanzania , Mnyaturu wa Singida , Azim Dewji , amekutana na Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , katika kilichoitwa Kikao cha dharula , kilichofanyika kwenye Hotel moja ya Nyota 5 Jijini DSM . Lissu na Dewji wamezungumza mengi likiwemo la...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

    Hivi ndivyo alivyoandika kwa ufupi Toa Maoni yako . "President Ali Hassan Mwinyi, who died on Thursday & was laid to rest yesterday was a kindly man. When I was gunned down in Sep. '17 & rushed to Nairobi for treatment, Mzee Mwinyi and Mama Sitti came to The Nairobi Hospital to wish me...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anataka biashara zifungwe na magari yazuiwe siku ya maandamano ya CHADEMA

    Kutoka Jambo Tv, Lissu anasema wakiwa wanaandamana inatakiwa polisi wafunge barabara na biashara zifungwe ili kupisha maandamano hayo
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika mahojiano ya Tundu Lissu Star TV leo Februari 16, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=IqmxT2cZNSM Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu yupo Star TV muda huu akifanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha The Big Ajenda. Fuatana nami katika uzi huu ambao utamulika baadhi ya hoja zinazoibuka: TUNDU LISSU KUHUSU LOWASSA NA KESI YA UFISADI DPP...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hatujazuia mahojiano ya Tundu Lissu, Wasafi FM

    Serikali imeona kupitia vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii kuhusu taarifa za Wasafi FM kuzuia mahojiano kati ya Makamu Mwenyekiti, wa CHADEMA na kutoa taarifa kuwa maamuzi hayo yametokana na maelekezo kutoka juu. Tangu kuingia kwa Serikali ya Awamu ya Sita kazini, jambo la...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tundu Lissu usihudhurie Interview nyingine itakayopangwa na WASAFI FM

    Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  14. Tindo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

    Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho. Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amjibu Kinana kuhusu ruzuku, asema hawahongeki

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana juu ya mambo aliyoyaongea jana kuhusu Ruzuku n.k ANGALIA VIDEO HAPA Written by Mjanja M1 ✍️ 📹 JamboTv
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lisu Mgombea Urais CHADEMA akifanya mdahalo na Mgombea Urais wa CCM 2025 Dunia itasimama kwa muda

    Kwa mfano Tundu Lisu uandaliwe Mdahalo na Mgombea Urais wa CCM na iwe live unategemea kuna TV itaacha kuonyesha huo mchuano ? Pamoja na kwamba tunatamani ,je hivi vyama viwili vitaruhusu kutokea kwa mdahalo huo? Kama haitaruhusu unadhani kwanini itakuwa ngumu kuruhusu msuguano huu wa fikra?
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Nitakuwepo tarehe 24 Dar es Salaam na nitashiriki maandamano

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu amelazimika kukatisha kuangalia Afcon huko Ivory Coast ili kuwahi maandamano ya Amani yaliyotangazwa na Chama chake , yatakayofanyika tarehe 24/01/2024 mapema asubuhi. Akizungumza na vyombo vya habari vya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afuta jasho kwa kutumia bendera ya Taifa uwanjani Ivory Cost; ni Mtanzania anayevuja jasho kwa uzalendo mkubwa

    Tundu Lissu ni mmoja wa Watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa. Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu Akiwa uwanjani ameonekana akivuja jasho kali kwa presha na uchungu kwa timu yetu hadi kufikia...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anasema Tanzania itarudi na kombe la AFCON 2024. Tuungane kwenye mambo ya kitaifa

    Mhe. Tundu Lisu anapasha misuli michuano ya Afrika huko Ivory Cost. Kauli mbiu yake ni moja tu TUTARUDI NA KOMBE. Nimefurahi sana kumwona yeye na familia yake wameungana na vijana wetu. Amefanya nijifunze kwamba kwamba mambo ya kitaifa mzalendo namba moja ni huyu Bwana. Anapigania rasilimali...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kifo au ugonjwa wa kiongozi yeyote haufichiki. Tuambieni alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika, 'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa...
Back
Top Bottom