tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kifo au ugonjwa wa kiongozi yeyote haufichiki. Tuambieni alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika, 'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki! Kufichaficha kunaleta hisia mbaya za mchezo mchafu dhidi yake. Jisafisheni! Tuambieni aliko Makamu wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu azungumza kwenye msiba wa Askofu Kweka

    Salaam, Shalom! Mh Tundu Lissu alipopewa nafasi kuzungumza katika msiba wa Askofu Kweka, ameeleza yafuatayo kumhusu Marehemu Askofu Kweka akiquote wasifu wake kuwa. Marehemu Askofu Kweka alisoma chuo Cha chama pale Kivukoni mwaka 1969 katika masuala ya siasa na uongozi, hivyo aliyajua ipasavyo...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Tundu Lissu washiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Kweka

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Viongozi wakuu wa CHADEMA, Tundu Lissu na Freeman Mbowe leo 06/12/2023 Wamebahatika kuwa miongoni mwa watu waliohudhuria Ibada ya mazishi ya Askofu Kweka . Akizungumza kwa Taabu kwenye ibada hiyo kutokana na kujawa na Majonzi makubwa, Freeman Mbowe amemtaja...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Israel ni watu makatili. Hamas wana haki ya kujilinda kwa wanavyofanyiwa

    Akiongea na radio ya Arusha Tundu Lissu amewashtumu Isreal kwa wanaofanyia watu wa Gaza sio ubinaadam na ukatili. Alisema mtu mwenye akili timamu hawezi kuwaunga mkono Isreal. Audio ya Mahojiano hayo nitayaweka hivi Punde. Audio inatembea ktk mitandao ya kijamii ikiwemo ktk magroup ya whatsup...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

    Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aweka bayana uhusiano wa CHADEMA na siasa za Kenya

    Nairobi, Kenya https://m.youtube.com/watch?v=UVkbMVnUkZw 2017 Uhuru Kenyatta na William Ruto 2015 Odinga na urafiki wake na Magufuli Odinga kuunga mkono siasa za mabavu za Magufuli Kabla ya hapo 2010 - 2012 ODM Raila Odinga Busara za Odinga Detention Siasa za kuumizana N.k
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

    Ni dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote). Hata...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awasili Kituo kikuu cha Polisi Arusha

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameripoti kwenye kituo Kikuu cha Polisi Arusha Mjini , kwa ajili ya kuendelea kutoa maelezo kutokana na kile kinachoitwa kufanya mikutano bila Kibali huko Ngorongoro Mwezi septemba . Ameambatana na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Chake .
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jibu kwa Tundu Lissu: Njia nzuri ya kuzuia uchaguzi ni kuruhusu uchaguzi ufanyike

    Kuna mada iliyowasilishwa humu JF ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA kaeleza kwamba endapo Katiba Mpya haitapatikana kabla ya chaguzi zinazofuata 2024/2025, juhudi za kuzuia uchaguzi huo usiwepo zitatumika kuuzuia. Kauli hii imesikika kwa muda kitambo sasa, tokea ndani ya chama hicho...
  10. K

    JamiiForums Tanzania U-CCM ni zaidi ya anaoujua Tundu Lissu na wapinzani. Nasimama na CCM kwenye demokrasia

    Ninakifahamu vizuri Chama Cha Mapinduzi na kila ninaposikia kinaelezwa tofauti na ninavyokifahamu hususani na wapinzani nawaza mengi sana lakini mwishowe nahitimisha mawazo yangu kwa kusema ni suala la muda kabla hawajaufahamu ukweli. Ninatambua U CCM sio falsafa ya kila mtu na waliobahatika...
  11. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA kuna tabia za ovyo zimeanza kujengeka kwa baadhi ya watu; ukikosolewa unasema umetukanwa unatuma chawa kushambulia. Kwanini?

    Baada ya kuibuka Mnyukano ndani ya Chama na sintofahamu mbalimbali baina ya Viongozi wa chama na Baadhi ya Wanachama. Jambo hilo limemuibua Makamu Mwenyekiti Bara akielezea sintofahamu hizo. Hali hii imetokana na wiki kuibuka mnyukano kati ya Mariastella na martin na Ntobi kurushina maneno...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atoa muhadhara chuo kikuu cha Darla Moore School of Business, University of South Carolina juu ya Uongozi Afrika

    25 October 2023 Columbia, South Carolina United States Tundu Lissu |Guest Lecturer Corruption, Darla Moore School of Business, University of South Carolina https://m.youtube.com/watch?v=IYfoTqmzPv0 Guest Speaker Hon. Tundu Antipas Lissu, a trained lawyer graduated from the University of Dar...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuanza ziara ya kikazi Marekani

    Taarifa iliyotolewa na Chama chake hii hapa . Mara baada ya Ziara hii iliyopewa jina la "Lissu USA Tour 2023" na ambayo imetajwa kuwa ya lazima na muhimu , ataondoka USA kwa Ndege Maalum mpaka Songwe kwa ajili ya Oparesheni 255 ya Chama chake Kanda ya Nyasa .
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tunduli Lissu kurejea wakati wowote kuanzia kesho Oktoba 6, 2023

    Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi wanaohudhuria mikutano yake. Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu alivyofanana sana na Hayati Magufuli

    Jamanieeh sio mimi ninayesema haya bali watu wa kitaaa. Sasa watu wameanza kutafuta Mbadala wa Dkt. Magufuli na wengine wakisema hakuna wasiwasi Tundu Lissu yupo mambo yatakuwa sawa. Kwamba ni suala la muda tu Watanzania wavumilie haya yatapita. Wanawafananisha Tundu Lissu na D John Magufuli...
  16. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Oktoba 2020 Ukituma meseji yenye Jina la Tundu Lissu ilikuwa haiendi

    Tujikimbushe kidogo zahama zilizotukuta. Sijui kilitokea kirusi gani kwenye jina la Tundu Lissu wakati wa kampeni za Lala Salama ilikuwa ukituma ujumbe mfupi kwenye mitandao ya simu aina zote ujumbe ule ulikuwa haupelekwi hewani au haumfikii mlengwa. Mathalani unachati na rafiki yako kwamba...
  17. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu huondoka nchini bila kuaga?

    Tangu Tundu Lissu tangu arudi nchini hii nadhani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kusema sababu yoyote hali hii sidhani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya urais. Maoni yangu ni vyema awe...
  18. Maan

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tundu Lissu hakuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Magufuli kwa kipengele cha kuwa namba 2 katika kura za Wananchi

    Ili kuepuka kuwa na Rais ambae hakutokana na kuchaguliwa na wananchi ilipaswa kupewa nafasi yule aliye shika nafasi ya pili. Alafu Rais Samia angetumika kuongoza nchi kwa kipindi kifupi hadi pale Rais atakapo tawazwa kisha aachie nafasi ya Urais ambayo alishikili baada ya Rais aliye madarakani...
  19. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu vs Zitto Kabwe - nani ana uwezo wa kiuongozi?

    Salaàm! Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi. Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye...
  20. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

    Huko nyuma tuliwahi kumchambua Tundu Antipas Lissu na kuhitimisha siyo presidential material. Amekuwa akiropoka ropoka hovyo bila kupima athari za kauli zake na mbaya zaidi mbali ya kunyanyapaa wapinzani wake wa kisiasa pia hana majibu ya matatizo yaliyopo. Ukikosoa kwamba mkakati huu haufai...
Back
Top Bottom