tundu lisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Tundu Lissu ni kama Nyerere, wakati anapigania uhuru watanzania wengi walikuwa wajinga hata alipotetea demokrasia asilimia 20 walimwelewa Nyerere

    Takwimu ziko wazi kipindi Nyerere anapigania uhuru asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wajinga Kuwatetea kundi lenye watu wajinga wanaijiita machawa au mazuzu ni gharama kubwa sana. Nyerere alifanya kazi ngumu sana kuongoza kundi la watu wajinga kuhusu uhuru Aliutumia Kwa bidiii kipaji...
  2. H

    Katuga na Mawakili wenzake wa Serikali waombe darasa la kufundishwa Sheria na Bingwa wa Sheria na mpigania haki wa pekee Tundu Lissu

    Kesi bandia ya uhaini dhidi ya Tundu Lisu imezidi kuweka wazi unafiki, ushetani na ujinga wa mawakili wa Serikali, jeshi la polisi na wale wendawazimu waandaaji wa kesi za mchongo. Tumeshuhudia jinsi mashahidi polisi wakidhalilika mbele ya mahakama wanapobanwa na Mtaalam wa sheria Tundu Lisu...
  3. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini wafuasi wa Tundu Lisu hawajai tena mahakamani, kuzua vurugu na kuchochea fujo kwenye viwanja vya mahakama kama ilivyozoeleka?

    Nini kimewachosha mapema hivyo na kuwafanya kukata tamaa? Au ni kwasababu ya nanma kibaraka lisu navyojitetea kilezy na kuashiria wazi kabisa kwamba hatoboi? Ni wazi muungwana amechoka kimwili na kiakili, na kabisa nae amekata tamaa na anaona wazi kutiwa hatiani. Gharama za ubinafsi zinamtesa...
  4. Tlaatlaah

    Body language na facial expression zinaeleza wazi kwamba Lissu amekata tamaa, licha ya kujaribu kulazimisha furaha na ujasiri ambao ni wazi hana

    Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused. Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na...
  5. Kijakazi

    akina Tundu Lisu wa venezuela waanza kuachiwa!

    D.Trump (USA)- wafungwa wa kisiasa waliofungwa na communist maduro wameanza kuachiwa, thanks to D.Trump, ni swala la muda tu hata akina Tundu Lisu watafikiwa, tusife moyo to fight evil ...
  6. Hance Mtanashati

    Nini kinachofanya ndugu Tundu Lissu mpaka sasa awe mahabusu na kesi inashindwa kuendelea?

    Binafsi kwa mawazo yangu naona ni ubabe wa watawala kwamba utafanya nini, ndani tunakuweka na kesi haisikilizwi mpaka tutakapoamua wenyewe. Hii dhambi kiukweli itakuja kuwatafuna sana. Madaraka yasi ondoe roho ya utu. Mheshimiwa Tundu Lisu kuna watu wengi sana wapo nyuma yake wanamtegemea...
  7. THE BIG SHOW

    Tunaomba Mahakama isitishe kusikiliza shauri la uhaini dhidi ya Tundu Lissu hadi tume ya Rais itapokamilisha kazi yake

    Friends and Our Enemies , Sote tunajua na tunakubali ya kwamba zile fujo na vurugu zilizotokea tareh 29.10.2025 zilihamasishwa na kupangwa na makundi mbali mbali kama TEC na wanasiasa kama Lisu bila kuwasahau washirika wao wengine wanaharakati diaspora njaa. Sasa,kwa kuwa Mh Rais ameshaunda...
  8. lutemi

    Kesi ya Tundu LISU imekupa fundisho gani na kama angekuwa Rais wa Tanganyika kungekuwa na utawala upi bora?

    ### Mambo makuu kumi ambayo kesi ya Tundu Lissu imenifundisha kama Mtanganyika: 1. Udhaifu wa mihimili ya serikali: Kesi hii inaonyesha jinsi polisi, mahakama na upande wa mashtaka vinavyoweza kutumika kisiasa badala ya kutenda haki. 2. Ukandamizaji wa kisiasa: Mashtaka ya uhaini yanatumiwa...
  9. Hance Mtanashati

    Nini kinasababisha mpaka sasa Tundu Lisu asalie mahabusu? Maana ilibidi atoke November 3

    Tundu Lisu ilibidi aachiwe tangu November 3 baada ya samia kuapishwa . Naona umepita mwezi sasa tunaona kimya, kesi haisikilizwi na yeye bado hajaachiwa. Au je mamlaka husika wanaona nchi bado haijakaa sawa kutokana na hofu ya maandamano au wanahisi atakuwa chachu ya watu kuandamana akiingia...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    PostGE2025 Tundu Lissu hata akiachiwa kwa sasa haina maana yoyote. Too late

    Hamjambo wote! 1. Ndugu zangu Watanzania, mnakumbuka miezi ya nyuma kidogo niliandika nyuzi takribani tatu mfululizo nikiisihi serikali kumiachia Tundu Antipas Lisu. 2. Nafikiri wengi wenu mnakumbuka. Niliandika vile kutokana na sababu kuna Jambo na mambo mengi niliyaona katika spiritual...
  11. adriz

    Kutokana na Maelezo ya Tundu Lissu, Mwalimu Nyerere ndio chanzo cha utawala mbovu unaoendelea Afrika Mashariki

    Moja kwa moja. Nilikuwa natazama kwa umakini YouTube hoja za Lisu wakati alipoalikwa kuongea katika kongamano Moja katika chuo cha Makerere Uganda. Kutokana na Maelezo yake alimsifia Mwalimu kwa jitihada zake za ukombozi Afrika , kutopenda ufisadi na kujilimbikizia Mali Kisha akaenda kwenye...
  12. mwehu ndama

    Tundu Lissu aliliona hili, hatimae Leo tunaishi katika maneno yake

    Alikua mbele ya muda
  13. sergio 5

    TUndu Lissu hutoa wapi taarifa?

    Jana mahakamani
  14. Superbug

    Awamu ya kwanza haikumnyonga Bibi Titi Mohamed. Je, ya sita itamnyonga Tundu Lissu ikiwa atatiwa hatiani?

    Naomba niulize wajuvi na wajuzi wa mambo ni kweli wanawake wana huruma sana kimaumbile sasa swali langu Nyerere hakumnyonga bibi Titi Mohamed; Je, awamu hii itamnyonga Tundu Lissu mkatoliki? Tena hapa kuna mbadilishano wa dini na jinsia.
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo. Lilikuwa Ombi la heshima na...
  16. Tlaatlaah

    Tundu Lissu hatokuja kuwa na sifa wala vigezo vya kikatiba kuwa mgombea urais wa Tanazania tena

    Na hiyo itakua ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, kwamba Tundu Lissu atakua hana tena haki na atakua amepoteza kabi fursa, sifa na vigezo vya kisheria kugombea nafasi hiyo nyeti kitafa.🐒 Mungu Ibariki Tanzania.
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Mchezo wa kurushiana Risasi utahitaji Bullet Proof vest au kujificha huku unashambulia; Kwako Tundu Lisu baada ya kutoka usifanye kama Kina Mdude Chad

    Hamjambo Wote! Mwezi septemba unaoanza kesho utakuwa na hekaheka nyingi sana. Mambo mengi makubwa yanatarajiwa kutokea. Ni mwezi ambao Wagombea na mahasimu wao wanatakiwa kujihami zaidi na kujilinda huku wakifanya mashambulizi ya kushtukiza ya kimkakati. Wagombea Wapya katika nafasi mpya kama...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    GE2025 Kabla ya Septemba 7 Serikali itakuwa imemuachia Tundu Lissu. Kete hiyo itabadili uelekeo wa siasa za Tanzania. Je, Chadema kushiriki?

    Hamjambo! Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto.. Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
  19. R

    Tuhuma za Polepole zisipuuzwe, yawezakuwa Tundu Lisu ameandikishwa pia kwenye Daftari la Mpiga kura, je itakuwaje?

    Salaam, Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi. Nawashauri CDM nao wafanye utafiti, isijekuwa Lissu mtuhumiwa wa uhaini naye ameandikishwa kutiki...
  20. Tlaatlaah

    Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

    Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
Back
Top Bottom