tundu lissu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angeshirikiana na Tundu Lissu Mafisadi na wala rushwa wengeisha. Maendeleo fasta

    Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana. Jambo la pili ambalo tunakubaliana sote kwa pamoja ni kuwa Mh Adv Tundu Lissu alitia fora ktk vipindi vyote vya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ni lazima Sophia Mjema awe na timu makini ya kujibu hoja za Tundu Lissu pale Uenezi, sisi wengine tutamsaidia huku JF

    Kujibu hoja za nguli wa siasa chokonozi nchini Tundu Antipas Lissu kunahitaji watu makini sana. Namshauri Sophia Mjema asitegemee Chawa bali atengeneze timu yake makini. Tumekuwa likizo ya miaka 7 hivyo tutegemee mengi kutoka upinzani.
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu sio Fidel Castro, sio Che Guevara, sio Kwame Nkrumah wala si Nelson Mandela

    Tundu Lissu ni mwanasiasa anayerudi nchini Tanzania kula bata baada ya matakwa yake yote kutimizwa, utakuta kuna mtu anamsubiri Tundu Lissu akiamini ni mpinzani, la hasha, Tundu Lissu anarudi nchini Tanzania baada ya yale yote aliyoyapigania katika harakati zake kutimizwa na Hayati Rais...
  4. JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

    Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi). Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tundu Lissu kuanzisha chama cha siasa kwa masilahi mapana ya Taifa

    Habari JF, Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT Wazalendo ya Zitto ni wapinzani? Au CUF ya Lipumba ni wapinzani? Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc, na katika hawa Tundu Lissu...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Martin Luther Jr wa Tanzania ambae ni tatizo kubwa la Rais Samia na CCM yake. Tumuunge mkono

    Huyu Bwana kwa hakika ndiye tatizo kubwa Kwa Rais Samia na CCM yake. Ametangaza kuwa, Sasa anarudi nchini kwake baada ya kukaa uhamishoni nchini Ubelgiji kwa takribani miaka karibu 6 Ssasa. Tena kaweka wazi kuwa anakuja kujiunga na wenzake CHADEMA na wengine kupambania demokrasia, uhuru na...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana kipi hasa katika CV yake zaidi ya kuropokwa tu na makelele ya uanaharakati

    Wasalaam Niende moja kwa moja hivi huyu mtu wa kawaida sana kama Tundu Lissu ana nini hasa?hana cv yoyote hapa Tanzania hajawahi kutrend na uibuaji wa kashfa wala hoja yoyote ya kifisadi, maana zaidi ya kuwa kibaraka wa mabeberu na undumila kuwili hana lolote la maana. CV ya Lissu ni...
  8. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari Luqman Maloto afungua kesi dhidi ya DCI na DPP kisa Tundu Lissu, Azory Gwanda na Ben Saanane

    Mwanahabari Luqman Maloto, amefungua kesi ya jinai No. 5/2023 dhidi ya DCI na DPP Mahakama Kuu, Dar es Salaam, akiiomba itamke ofisi hizo zimeshindwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na wasiojulikana ikiwemo kushambuliwa Tundu Lissu, kupotea Azory Gwanda na Ben Saanane. Chanzo: MwanaHalisi...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu. "Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CHADEMA, comrade Tundu Lissu mbona upo kimya kwenye maridhiano?

    Wanaukumbi. SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu. Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani. Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu. Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma? Kikwete hakuwaita wapinzani...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

    Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa ha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo. Mapema asubuhi, mawakili akiwamo Fatma Karume walizuiliwa kuonana naye huku Jeshi la Polisi...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema rudini nchini, mbona mnang'ang'ania kwa wazungu?

    Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia. Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

    Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi. Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania MIGA italifilisi taifa. Serikali imsikilize Nguli wa Sheria na Hekima Tundu Lissu

    Nianze kwa kunukuu maneno ya Nabii na Mtume Josefat Mwingira. " He is a victor' you can not conquer a Victor" Tundu ni Mshindi, ona anavyopendwa na kushangiliwa na watu wengi akiwa hana hata chombo chochote cha habari lakini wananchi wanajua alipo na mikutano yake. You can not make him fell...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mali ikikamatwa, isipokombolewa ni ruksa kupigwa mnada

    Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia. Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ziara ya Tundu Lissu huko Ulaya inafaida kwake na kikundi cha watu wachache na si kwa Watanzania

    Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi. Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani...
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alipowaambia kuhusu makinikia, walimdharau. Yako wapi sasa?

    Jamaa mara baada ya kuwachanachana CCM, saa saba za mchana siku hiyo ya tarehe 7/9/2017 akapigwa risasi mchana kweupe. Mungu Mwenyezi alimnusuru na kifo yu hai leo, bila shaka huyu ndiye Rais ajaye wa Tanganyika. Pamoja na jaribio la serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kutaka kumuua mkosoaji...
  18. JamiiForums Tanzania JIKUMBUSHE (VIDEO): Tundu Lissu akisambaratisha hoja za watetezi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar usio na ridhaa ya wananchi

    Anaanza kwa kukaribishwa na "Hangaya" kwa sauti nyororo ya Kizanzibari... Lakini all in all, nasema..; Huyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...! Lakini ndo hivyo tena. Ukweli uliofichwa kwa nia ovu, ukifichuliwa na kuwekwa wazi, huwaudhi waliokuwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amjibu Biswalo Mganga kuhusu madai yake kuwa ni kosa la jinai kuongeza maneno kwenye Wimbo wa Taifa

    Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote. Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo? Chanzo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amjibu Biswalo Miganga kuhusu kudai ni kosa la jinai kuongeza maneno kwenye Wimbo wa Taifa

    Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote. Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo?gaga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…