tundu lissu

  1. J

    Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

    Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona. Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani. Rais Samia ambaye ndiye...
  2. Tundu Lissu: Serikali imenilipa nusu ya stahiki zangu, nikilipwa fedha za matibabu sitazirudisha kwa walionichangia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameulizwa kama Serikali imeshakamilisha malipo ya kiinua mgogo chake alichokuwa anadai, majibu yake ni haya: “Nilikuwa nadai kiinua mgogo cha miezi 44 niliyokuwa Bungeni, nimelipwa kiinua mgongo cha miezi 20 bado cha miezi 24. “Nilikuwa nadai fidia ya...
  3. D

    Kilichofanya Tundu Lissu apigwe risasi hadharani hiki hapa

    Kama ikipata wasaa wa kusoma kitabu kinaitwa "Zero Fail" (2021) utaelewa nini hasa ninachozumgumza. Kitabu hicho kinaainisha matukio ambayo Idara ya Ujasisi na Ulinzi wa Marekani imewahi ku-fail kama kifo Cha JF Kenedy. Kuna mengi katika kitabu nadhani nitayasema nikiandika Uzi kuhusu uhalisia...
  4. J

    Mbowe, Zitto, Lissu na Peter Msigwa wanakubaliana Magufuli alijenga Nidhamu Serikalini. Wakumbuke nidhamu haiji kwa kuchekeana!

    Kitu kimoja ambacho Viongozi wakuu wote wa Upinzani wanakubaliana ni kwamba hayati Magufuli aliimarisha nidhamu ya Watumishi wa Umma na nidhamu ya serikali kwa Wananchi Wote. Wanapopongeza hili wajue pia Nidhamu haiji kwa kuchekeana bali hutengenezwa kwa mfumo wa kimkakati. Ni katika...
  5. Tuk tuk trut tuuu tuuu paaa!

    😅 Kama upo vile! Yaani mtaani unakatiza, unasikia 'fyiii fyiiii fyiiiii' miluzi kibao, ukitazama nini kinaendelea, unaona mdada, kapiga baibui, ushungi na anaondoka na mikogo balaaa.....huku Ukisikia tuk tuk tru tru tuu tuuu tuu paaa! 🛵🔫yaani mlio ya bajaji na vibodaboda vilivyokosa ka...
  6. R

    Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

    Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huu uliopita. Makamu huyo nguli wa sheria na siasa bora Tanzania ametumia nafasi hiyo kuwapongeza watanzania waliokiunga mkono chama hicho kikiwa...
  7. M

    Wasaka ubunge ndani ya CHADEMA waanza kumzidi nguvu Tundu Lissu

    Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025. Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki uchaguzi wowote ujao bila uwepo wa Katiba mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi. Mwanzoni kabisa, msimamo...
  8. S

    Lissu yuko wapi?

    Mimi ni mfuasi wa upinzani, sijui Lissu yupo wapi? Nilimsikia na kumuona alipotoka Belgium na kufanya mkutano wa hadhara hapa Dar. Baada ya hapo hajasikika tena. Nimekuja hapa JF kwa kujua nitapata majibu alipo Lissu, tafadhali naomba kujua.
  9. J

    Kufikia 2025 hata Tundu Lissu ataanza kuhubiri mema ya Hayati Magufuli, Zitto Kabwe amefungua

    Hakuna mwanasiasa ataacha kumsifia Shujaa Magufuli wakati wa kuomba kura 2025. Siyo wa CCM wala Upinzani kura zimebebwa na Nyota ya Magufuli. Wale wajanja wameanza mapema na wataongezeka zaidi na zaidi. Yesu akawaambia wale wanafunzi kamwambieni Johnthebaptist kuwa Viwete wanatembea na Vipofu...
  10. J

    Kama Tundu Lissu anajisikia salama zaidi kukaa Ubelgiji akae tusimpangie hakuna mbadala wa Uhai

    Dunia ni kijiji kinachoendeshwa kwa teknolojia Tumwache Tundu Antipas Lisu aishi sehemu anayohisi yuko salama zaidi, Tusimpangie Ameshapitia magumu mengi ikiwemo kuchungulia kaburi Dominica njema
  11. K

    Lissu na wasaliti wenzake walikuwa wanakata mkono unaowalisha? Wapoteza mvuto baada ya Magufuli kuondoka

    Tundu Lissu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo akamdhalilisha mpaka amelala umauti hakuwahi kumuomba msamaha. Lakini cha kushangaza sana Sana kwa utu...
  12. T

    Kwa sasa CHADEMA kuendelea kuwekeza kwa Tundu Lissu ni kupoteza muda

    Siwafundishi kuhusu siasa ila ni bora kama chama kilichokuwa na kinachoishilia katika ushawishi wake kwa wananchi! Iko haja viongozi wandamizi kuketi ili kupiga hesabu za chama kinapashwa kiwe na mwelekeo upi! Ni ukweli kabisa na kila mwenye jicho la mwewe aliyeko Chadema! Hatazami akaona kama...
  13. Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

    Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium. Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa...
  14. J

    Sikubaliani na Tundu Lissu kwa sababu Mbowe ni maarufu kuliko CHADEMA. Hata Magufuli na Maalim Seif walivizidi vyama vyao!

    Nakubaliana na Tundu Lissu kwamba yeye ndio mdogo kuliko Chadema na wanategemeana. Ila siyo kweli kwamba mtu hawezi kuwa maarufu kuliko Taasisi. Mifano ni mingi tu wapo akina Nyerere na Magufuli kule CCM. Maalim Seif kule ACT Wazalendo. Chama pale Simba SC. Mbowe hapo Chadema nk.
  15. B

    Tundu Lissu: CCM niliachana nayo nilipojiunga chuo kikuu

    14 February 2023 TUNDU LISSU AIBUA MAPYA - ''VYUMA VIMEKAZA, CCM NILIACHANA NAYO NILIPOJIUNGA CHUO KIKUU GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye amezungumza mengi juu ya muelekeo wa hali ya kisiasa nchini akigusia vyama vya siasa, katiba mpya...
  16. J

    Tundu Lissu: Msimamo wangu kuhusu vita vya Ukraine unafanana na msimamo wa Mwalimu Nyerere wakati wa vita vya Soviet Union na Czechoslovakia 1968

    Lambert alimuuliza Lissu swali la kushtukiza kuhusu msimamo wake kuhusiana na vita ya Drc na Ukraine kama angebahatika kuwa Raisi. Lissu alijibu kwa kifupi kuhusu Drc kwamba suluhisho ni kuunganisha nguvu za nchi majirani ili kupata amani nchini humo. Kuhusu vita vya Ukraine Lissu aliibua hoja...
  17. D

    Tundu Lissu aache kumsema vibaya Hayati Magufuli

    Ni muhimu sana tena sana kwa Tundu Lissu kuepuka kumsema vibaya Hayati John Magufuli katika mikutano yake. Ikumbukwe kuwa, pamoja na mapungufu machache aliyokuwa nayo kama ilivyo kwa binadamu yeyote, Hayati Magufuli ana watu wengi sana wanaomkubali mpaka sasa. Anakubalika sana kuliko hata...
  18. J

    Hapa ndipo Area D, Dodoma. Na hili ndilo geti lililoachwa wazi na walinzi kutokomea siku Lissu aliposhambuliwa

    Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D. Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana. Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo kama hii hapa chini.
  19. Tundu Lissu, Sisi wastaafu tunalia na kikokotoo kipya!! Tukumbuke kwenye hoja zako 2023 ndo hii imefika

  20. M

    Tundu Lissu kuhitaji gari lake aliloshambuliwa nalo hapa kuna mtego mkubwa na hesabu kali inachezwa

    Haya Majiniasi (Akili Kubwa) wa JamiiForums hebu njooni mtupe Ujiniasi wenu katika hili Sisi Mangumbaru (Akili Ndogo) kwani wenye Akili Kubwa wanadai katika hili kuna mahala Tundu Lissu Kawatega lakini pia kuna Hesabu Kali mno inachezwa hapa ambayo ikikosewa tu Mzanzibari atadharaulika na hatoamini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…