tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania Apreciation post for Tundu Lissu

    Kila mtu anajua kuwa sio rahis kutoa sadaka maisha yako ili mabadiliko ya watu wengi au nchi ipatikane. Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya nyenzo na polisi Nk,ameonewa sana,akapigwa risasi na kunusurika kufa,pia amekamatwa mara nyingi na...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kama walikuwa wanataka kunikondesha, watafute utaratibu mwingine

    Tundu Lissu akiwa mahakamani, amesikika akisema; "Kama walikuwa wanataka kunikondesha, watafute utaratibu mwingine!" Mwenendo wa Kesi ya Uhaini >> Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mkurugenzi wa Mashtaka DPP na amlipe fidia kwa ucheleweshaji wa shauri lake. Lissu amesema hayo mbele ya Majaji watatu wa rufani Shimiwa Mwarija...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu alivyopandishwa Kizimbani Mahakamani

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 3, 2026, ambapo anatarajiwa kuchuana na jopo la mawakili wa Serikali kwa hoja za kisheria wakati wa usikilizwaji wa shauri...
  5. JamiiForums Tanzania Mwandambo: Lissu anarusha mikono mahakamani kujipa matumaini. Wanaomshangilia wanamuacha, anarudi gerezani peke yake

    Wakuu, Clemence Mwandambo anasema ishara ya kunyoosha ngumi juu inayotumiwa na Lissu akiwa kizimbani ni ishara ya kujipa matumaini tu, na kwamba kiongozi huyo anaonekana kupoteza nguvu na kuachwa peke yake wakati wa kurudishwa gerezani. "Yaani huyu jamaa ni mnyonge. Ni mtu aliyekata tamaa...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu kuendelea kesho Julai 3, 2026

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesho Ijumaa, Julai 3, 2026, Mahakama ya Rufani ya Tanzania itakayosikiza jijini Dar es Salaam maombi ya marejeo Na. 7440840/2026 yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Combo ya Tundu Lissu na John Heche kila Mtanzania sasa anaielewa na kuiishi kwa mustakabali na ustawi jumuishi wa nchi yetu pendwa Tanganyika

    Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwanini Tundu Lissu alimteua Mzungu bwana Robert Amsterdam kuwa mshauri wa kisheria wa CHADEMA

    Wanasheria wengi wa chadema na upinzani wanachangamoto ya kushindwa kutafsiri katiba ya Nchi. Imagine mwanasheria mzoefu hajui kuwa kwa Tanzania huwezi ukafanya mikusanyiko yyte bila kibali cha Polisi, hajui kuwa hiyo ni Sheria ya mikusanyiko (assembling act, ) ambayo imeainishwa kwenye katiba...
  9. JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE iliyobakia kwa Tundu Lissu KUFIKISHA TAARIFA za maumivu anayopitia ukonga ni NJIA ya kanisa katoliki, je Padri unae msalishaga.

    Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao. Hali hii ni tofauti sana mathalani kwa WENZETU makanisa ya kilokole wao viongozi wao uwasikiliza waumini wao. Mfano mtu kama...
  10. JamiiForums Tanzania Ewe mkiristu mkatoliki, fikilia mazingira aliyonayo Tundu Lissu mkiristu mkatoliki mwenzetu, je Askofu Rwaich una hata padri wa kumsalisha?

    Sasa labda ili tuliweke kiudini maana tukiliweka kitaifa TUNAKUTANA na mijitu kama yule shekhe sijui nani, pasipo kumsaau shekhe majini.r.i.p. Wakatoliki tunayo Nafasi ya kutafakari matendo anayotendewa mkiristu na mkatoriki mwenzetu na sisi tupo kimnya tuna maana Gani?;
  11. JamiiForums Tanzania Lissu alishawahi kuchangisha hela kwa lengo la kununulia gari jipya. Gari lilinunuliwa? Kama halikununuliwa hela za watu zipo wapi?

    Kwakweli huwa inaumiza sana pale mtu anapotumia umaarufu wake au chama chake au nafasi yake katika jamii kupora Hela na Mali za watanzania kwa makusudi yake binafsi. Mimi instinct desire Leo nahoji zilipo Hela alizochangisha tundu Lissu kwa lengo la kununulia gari zilienda wapi wakati gari...
  12. JamiiForums Tanzania CCM sitawastua tena, atakayewaokoa dhidi ya ICC ni TUNDU LISSU , Muachieni, ridhianeni naye, leteni KATIBA Mpya, Uchaguzi urudiwe upya

    Kauli Moja ya LISSU kwa US na EU na Dunia ndio pekee itakayowaokoa!. Mimi sielewi mmepigwa Upofu wa aina gani Kiasi hasikiii Wala Kuona !!. Mnajijua Mmeua MAELFU kwa MAELFU. Mnajijua mnavita dhidi ya Kanisa KATOLIKI . Mnajijua mnavita dhidi ya CHAMA KIKUUU cha Siasa Nchini, Chama...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa Tundu Lissu azungumza

    Uonevu kwa mtu ambaye katoa maisha yake kwa kutetea haki za Watanzania! Kama wewe huoni tatizo wewe ndiyo tatizo. Lissu hajawahi kuchukuwa bunduki na siku zote anashinda kwa hoja https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=TaPnMtGx3vr6r46r
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Lissu kuendelea kusalia Gerezani haina afya, Nchi haiwezi kutulia bila maridhiano

    Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa. "Na nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbukizi : Tundu Lissu akiwasha moto bunge la katiba,Chadema mna bahati kuwa na mtu adimu kama huyu

    Duniani Tundu Lissu ni mmoja tu na yuko mahabusu siyo kwamba anakosa bali maCCM hawa uwezo wa kupambana naye. Mtu aliyekaribiana na huyu huko CCM alikuwa Magufuli bahati mbaya kwa sasa hawana
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kauli ya CCM ndio kauli ya dola, ni mwendelezo wa mbinu zao kutaka kutengeneza taharuki ili chama kifungiwe kwa mara nyingine

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekanusha madai ya CCM kuwa imefanya vikao vya siri na wanaharakati wanaoishi nje ya nchi ili kupanga kufanya vurugu nchini kupitia maandamano. Madai hayo yalitolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi Juni 13, 2026...
  17. JamiiForums Tanzania Mahakama ilipoteza mwelekeo baada ya kukubali kujenga vibanda vya njiwa ndani ya Mahakama kisa tu. Tundu Lissu

    Mimi binafsi niliona mahakama imepoteza mwelekeo kitendo cha kukubali kujenga vibanda vya njiwa ndani ya mahakama kisa Tundu Lissu. Wengi wetu tulishakosa kua na imani na kitu kinaitwa Mahakama vibanda vya chips vinajengwa ndani ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11, 2026 yaahirishwa hadi Julai 6, 2026

    Kesi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11 yaahirishwa hadi tarehe 6 Julai 2026 TAARIFA KUTOKA CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri la Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwenyekiti wa CHADEMA...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Augustino Lissu, mtoto wa Tundu Lissu, ametoa ushuhuda mzito na wenye hisia kali mbele ya maofisa wa Bunge la Seneti na Congress

    Augustino Lissu, mtoto wa mwanasiasa mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, ametoa ushuhuda mzito na wenye hisia kali mbele ya maofisa wa Bunge la Seneti na Congress nchini Marekani. Akizungumza kama mtoto na si mwanasiasa, Augustino alieleza jinsi alivyokuwa katika kivuli cha...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaomba Haki itendeke kwa Tundu Lissu kama ni kusota Mahabusu kasota vya kutosha, HAKI itendeke kwake fafadhalini sana

    Kama kukaa mahabusu amekaa vya kutosha huyu TAL ni mtu mwenye familia tunaomba HAKI itendeke kama ana makosa basi sheria ifuate mkondo wake. Imetosha kueni na huruma hii dunia tunapita walikuepo watu maarufu viongozi, wakina Mandera, Nyerere lakini leo hatuko nao duniani ni sehemu ya kupita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…