Freeman Mbowe ni Kiongozi mzuri ila kama walivyo Wafanyabiashara wengine wote anaangalia kwanza Faida katika jambo lolote Lile na CCM iliutumia vizuri sana huu udhaifu wake.
Tundu Lisu ni tofauti yeye ni mwanaharakati na Tanzania Kwa sababu ilishajipatia Uhuru wake Kutoka Kwa Mkoloni...
Kutokana na misimamo yao na kwa kauli ya Lissu ya leo ya kusema watatumia "shuruti" kuleta mageuzi, sitashangaa watawala wakaja na plani hiyo ya kuwaweka ndani mpaka uchaguzi mkuu upite ingawa kelele zitakuwa nyingi sana.
Kwa sasa, watakuwa wanawawinda kwenye matamshi au vinginevyo mradi tu...
Lisingekuwa Vuguvugu la kumng'oa Mbowe hizi Dakika za Mwisho kwangu mimi ungeniuliza nani anastahili kuwa Mwenyekiti baada ya Mbowe ningesema ni Heche.
Leo nimewasikiliza wote(Lissu&Heche) Hotuba zao walipoingia Ofisini kwa mara ya kwanza,kimsingi ukiwasikiliza vizuri Hotuba ya Heche ndiyo...
Tundu Lissu amesema hayo baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA tokea achaguliwe kuwa mwenyekiti wa Chama hicho.
Tundu Lissu amesema kuwa tuna uchaguzi Mkuu Oktoba, na tuna No Reform No Election. Hayo mambo mawili hayaendi pamoja, kiswahili chake ni Hakuna Mabadiliko, Hakuna...
Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema
Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini
Ngoja...
Hongera Sana Tundu Lissu kwa Ushindi Wako—Lakini Changamoto Zinaanza
Timu yako ilitumia mbinu ngumu na zenye madhara kwa demokrasia nchini, hasa dhidi ya mlezi na kiongozi wenu ndani ya chama, Freeman Mbowe.
Kejeli na dharau alizofanyiwa Mbowe kupitia Lema zimewapa ushindi wa muda mfupi...
Taarifa iliyosambazwa na Chama chake kote Duniani hii hapa
Soma: Pre GE2025 - Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi
Katika vitu ambavyo vimeifanya CCM isurvive, au kupata ahueni ya kisiasa ni kwa sababu CHADEMA ya uongozi uliopita haikuchagua kuisagia kunguni CCM kisawasawa kwa wananchi juu ya kero zinazowasumbua wananchi. Wao walibaki kuongelea vitu secondary kama vile demokrasia na kuacha mambo ya maana...
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) isimayo 'no reform no election wakidai kauli hiyo ni mtazamo binafsi wa Mwenyekiti wa...
Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu.
Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake..
toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni siasa chafu na watu wenye nia njema na taifa letu hawatakiwi kuzifumbia macho.
Tanzania kuna...
Cyprian Musiba amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwarudisha wanachama wake wenye nguvu ambao wanaweza kupambana na ajenda zitakazokuwa zinaibuliwa na wapinzani kutokana na ingizo la uongozi mpya wa CHADEMA ukiongozwa na Tundu Lissu.
Soma, Pia: Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu...
Huyu Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye uchu sana na madaraka na ninawasi wasi na jinsi alivyomtuhumu Mbowe kuendesha siasa za maridhiano kama kweli ilitoka moyoni au alitaka kupata uungwaji wa mkono na watu wa aina ya mdude ambao wengi wamo CHADEMA.
Mimi si mwanachadema ila kuna wakati...
Ni ukweli ndani ya chadema wanachama wamegawanyika mapande ya kiuchaguzi na kampeni. Ninatoa ushauri rahisi wa kutibu majeraha bila nguvu kubwa kama ifuatavyo:
1. Kushughulikia saikolojia ya kushindwa na kushinda kwa wanachama kwa kuonyesha wazi kuwa ushindi ni wa chadema yote na yeye Lissu ni...
=>HOW ARE YOU GOING TO CONQUER THE MAN WITH THE SPIRIT OF VICTORY?
=> Mshindi Huwezi Kumshusha.
=> Mshindi Huwezi Kumuangamiza.
=> Mshindi Huwezi Kumtishia.
=> Mshindi Huwezi Kumshinda.
#Said, Apostle & Prophet J. Mwingira Of Efatha Church
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stevin Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria umekwisha kutokana na uchaguzi mkuu kukaribia.
Akizungumza leo, Januari 23, 2025, jijini Dodoma...
Wanaukumbi.
KUONGEA KUHUSU NINI?
Yaani Lissu, anachekesha sana. Yaani mnataka kuingia serikalini kwa mlango wa nyuma. Nyie mnataka kuongea subirini uchaguzi uishe mwezi Oktoba 2025 kwa sasa hakuna muda wa kuongea watu wako bize na kuaandaa ilani na kujipanga na uchaguzi
Juzi tu ulikuwa...
Zile presha za kupanda na kushuka ni mambo ambayo yalitawala kwenye uchaguzi.
====================
“Nilikuwa na furaha lakini kubwa zaidi nilikuwa na ahueni kuwa sasa imekwisha tumemaliza, zile heka heka zote hatimaye zimekwisha” ~ Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu ushindi wake baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.