NUSURA YA CHADEMA ILIKUWA NI LISSU KUSHINDA TU.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Isingekuwa rahisi kwa watu wa Lissu kuungana na Mbowe kama Mbowe angeshinda lakini ni rahisi kwa watu wa Mbowe kumuunga mkono Lissu, na huenda wameshamuunga mkono hadi sasa.
Lissu, Heche,Lema na watu wao...
Amani iwe nanyi wanabodi.
Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii.
Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA hiyo."
===================================
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumatano...
Ndugu zangu Watanzania,
Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake.
Ushindi huo umeniumiza,kunisikitisha ,kunihuzunisha na kunisononesha sana. Ni ushindi ambao unaiweka CHADEMA...
Hili limeleta maswali mengi pande zote mbili. Kuwa kuna pandikizi la akina Tundu Lissu lilikuwa upande wa Mbowe. Watu wengi wamejiuliza je alikuwa Bonny Bonge au nani?
Emmanuel Ntobi, kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ametoa pongezi kwa Mwenyekiti mpya wa chama hicho, Tundu Lissu, kutokana na ushindi wake wa nafasi ya uenyekiti wa taifa.
Kupitia chapisho lake katika mtandao wa X, Ntobi pia amemshukuru Freeman Mbowe, Mwenyekiti aliyemaliza...
Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa kauli yake ya kwanza baada ya Mpinzani wake Freemn Mbowe kukubali matokeo hata kabla hawajafika ukumbini, kwa kutweet.
Lissu amesema wameweka a golden satndard, ambapo chama chochote nchini wameambiwa kama wanawaweza wafikie...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,...
Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia .
Wadau mnaoitakia mema...
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi...
Chama cha ACT Wazalendo kimeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kumpongeza Tundu Lissu kufuatia ushindi wake kama Mwenyekiti wa CHADEMA, nafasi ambayo pia inamfanya kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).
Pia, Soma: Pongezi mbalimbali za viongozi kwa Ushindi wa Tundu Lissu kuwa...
Niwe muwazi, Tangu viongozi mbalimbali CHADEMA walivyoanza kukiri kwamba bila katiba mpya hawawezi kuchukua uongozi wa nchi kusema kweli imani yangu na mapenzi yangu kwa chama hichi imeporomoka sana maana nilikua najiuliza kichwani .... "Miaka yote hii wana "front" mgombea urais walikuwa...
Hayawi hayawi yamekuwa, Licha ya matarajio makubwa kutokana na ushindi huo, nawaona CHADEMA wanaenda kukomba wabunge wengi kwenye uchaguzi mkuu.
Hii inatokana na furaha ya wananchi wengi wanachama na wasio wanachama kufurahia ushindi wa Tundu.
Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Msigwa ameandika...
Naiona Tanzania ya kipekee sana baada ya Tundu Antipass Lissu kushinda uenyekiti Chadema.
Tundu Antipass Lissu aliyesoma shule ya vipaji maalum ya Ilboru na akasoma Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadae nchini Uingereza amethibitisha kuwa yeye ni zawadi ya kipekee kwa Watanzania...
Tundu Lissu - Mwenyekiti mpya CHADEMA 2025 - 2029
John Heche Makamu Makamu Mwenyekiti mpya 2025 - 2029
Hongereni sana ndugu zetu Tundu Lissu na John Heche.
Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi
Kwa ushindi wenu huu, hamwezi kujua ni...
Hongoreni wana Chadema Kwa kufanya uchaguzi Kwa utulivu na amani ,
Wadau wengi walikuwa wakiandika juu ya ushindi wa Lisu humu mitandaoni na maoni ya wengi yalikuwa yanaonesha kuwa Lisu atashinda.
Baadhi walikuwa wana wabeza eti wanasema haya akisi uhalisia kwakuwa watu wengi hawatumii...
Wakuu
Viongozi mbalimbali wameendelea kutuma salamu za pongezi kwa Tundu Lissu baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa.
Kupitia ukurasa wake wa X, Luhaga Mpina amesifu namna CHADEMA wameweza kumpata Mwenyekiti wao.
Ameandika “Hivi ndivyo mwenyekiti wa chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.