tundu lissu

  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Rugemeleza Nshala: Serikali haina uhakika kama Tundu Lissu katenda kosa la uhaini au la. Wanaendelea kuchunguza, halipo mahakamani

    https://youtu.be/mzQEeiy4TjE?si=fkKNag_Pg0wJdYU_ ➡Kumbe Lissu ameshitakiwa kwa makosa matatu tu ambayo upelelezi wake umekamilika... ➡Kosa la "TREASON" ama "UHAINI" limewekwa "just by the way" tu kwa kuwa hata aliyeandaa shitaka hilo (serikali) naye anasema "bado hana uhakika" kwa kuwa...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwalimu 1958, Fidel Castro 1953 na Tundu Lissu 2025

    KESI YA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE No. 2207/58, KESI YA FIDEL CASTRO 1953 NA KESI YA TUNDU LISSU Nimeamka na Maktaba. Kwa haraka haraka nimepitia kijuujuu vitabu hivi viwili vya watu maarufu duniani - Mwalimu Julius Nyerere na Fidel Castro wa Cuba wakishtakiwa na serikali zao zilizokuwa...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania JasusiTV: Kukamatwa kwa Tundu Lissu, kufunguliwa shitata la uhaini kwampaisha. Vyombo 200+ vya habari duniani vyaripoti CNN, BBC, REUTERS, ALJAZIRA et

    https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb ➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini.. ➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo CCN, SKYNEWS, AlJazira, BBC, Bloomberg, Lebanon News, vimeripoti tukio hili si ktk mtazamo wa kuwa ana...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu azidi kutabiriwa kama mjumbe wa Mungu kuikomboa Tanzania!

    Sikiliza huu unabii kutoka kwa mchungaji maarufu hapa Tanzania: Note: anayeshindana na lissu atakwenda na maji
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali

    Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu...
  6. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video interview: Huyu ndiye Tundu Lissu wa machozi, damu na jasho na misimamo ya haki

    https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD In brief: ➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward... ➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Demokrasia wa Afrika: Tunatoa wito Tundu Lissu aachiwe, Umoja wa Afrika na SADC ingilieni

    Umoja wa Demokrasia wa Afrika unatoa wito kwa kuachiliwa mara moja kwa Mhe. Tundu Lissu. Mashtaka ya uhaini kwa kusukuma mageuzi ya uchaguzi? Hili ni janga kwa demokrasia yetu. Tunazihimiza @_AfricanUnion, SADC na asasi za kiraia kuchukua hatua. ======= The Democracy Union of Africa calls for...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taarifa ya Chadema kuhusiana na kukamatwa kwa Mwenyekiti wake Tundu Lissu na Kubambikwa kesi ya Uhaini

    Jisomee Mwenyewe
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazelendo wawataka polisi wamuachie huru Tundu Lissu bila masharti

    "Kukamatwa kwa ndugu Lissu ni muendelezo wa kukosa ustahimilivu wa dola na serikali, ni shambulio la wazi la demokrasia ya vyama vya upinzani, natumia nafasi hii kulitaka jeshi la polisi kumuachia maraa moja bila masharti yoyote ndugu Tundu Lissu" - Isihaka Mchinjita, Waziri Mkuu kivuli, ACT...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni rahisi kuzungumza maneno pasipo kutambua kwamba matendo yake ni magumu sana, unaposema utazuia uchaguzi lazima ujitathimini una nguvu kiasi gani

    Ni rahisi kuzungumza maneno pasipo kutambua kwamba matendo yake ni magumu sana, unaposema utazuia uchaguzi lazima ujitathimini una nguvu kiasi gani Unaposema utazuia uchaguzi lazima utambue kauli hiyo ipo kinyume na Sheria za eneo fulani kwa tafsiri nyingine kwamba lazima utambue unakinzana na...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Zile pesa alizochangisha Tundu Lissu kwenye kibakuli pale Mbinga nani aliondoka nazo na zilikuwa kiasi gani?

    Pale Songea baada ya hali ya kiuchmi kua ngumu kidogo kwa msafara wa chadema Songea, kama kawaida ya tabia yake ya kuomba omba, Tundu Lisu aliomba kuchangiwa pocket money kidogo na wananchi wa Songea, na kibakuli kikapitishwa na pesa zikachangwa na wananchi. Je, baada ya Lisu kukamatwa, ni nani...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msukuma: Kuna fukuto la kumuondoa Tundu Lissu CHADEMA

    Mbunge wa Geita Vijijini, Mhe. Joseph Musukuma, amesema kuwa kampeni ya No Reforms No Election inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haina nafasi ya kufanikiwa kwa sababu haina uwezo wa kuzuia uchaguzi mkuu. Aidha, amedai kuwa kuna mipango inayoendelea ndani ya chama hicho...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu

    Waswahili wanasema siku ya kufa nyani miti yote uteleza. Msemo huu unaweza kuuchukulia kawaida ila kiukweli haya ndo yanayokikumba Chama cha Mapinduzi mwaka huu Ukisoma hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu ya upande wa Jamhuri, kama wewe ni Mwanasheria uliyesoma Sheria na kuielewa...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusali sana: Kukamatwa na Kushtakiwa Tundu Lissu Kuelekea Pasaka ni tukio lingine lenye Unabii Mzito kwa Tanzania

    Leo tukiwa tunaelekea Alhamis Kuu, Ijumaa Kuu pamoja na na Pasaka, Mwanasiasa Mashuhuri nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu amefikishwa Mahakamani Jijiji Dar es Salaam na kushtakiwa kwa Makosa ya Uongo na Kutunga ya Uhaini pamoja na Uchochezi. Tundu Lissu ameshtakiwa kutenda makosa haya na...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Laiti Lissu angesikiliza mawaidha ya wakongwe wa siasa walio G-55, leo angekuwa anawasuka wagombea wake tayari kwa ushindi mzito

    Katika moja ya ushauri wa G-55 kwa Lissu ilikuwa ni kwamba kitendo cha kuzuia uchaguzi kinaweza kufanya wanachama watende makosa ya jinai. Lissu kwa ujuaji au kiburi, akawaita G-55 wajinga, naona sasa anavuna alichopanda
  16. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Kwa kiasi fulani wafuasi wa Tundu Lisu wanafanana na wafuasi wa Yesu kristo wa Kwenye Biblia!

    Kwa kiasi fulani wafuasi wa Tundu Lisu wanafanana na wafuasi wa Yesu kristo wa Kwenye biblia! Kulingana na stori za kwenye biblia na pia video za maigizo ya maisha ya Yesu kristo za BRIAN DEACON ni kwamba Yesu alikuwa akifanya mikutano mingi ya hadhara ndani ya miji ya Yerusalemu na Galilaya...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu imepigwa kalenda hadi Aprili 24, 2025. Lissu alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka 3 ikiwemo uhaini na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kufanya 'CRITICAL THINKING' kuwa sababu ya Kukamatwa kwa Tundu Lissu ni Kuchochea Uchaguzi kutofanyika na Watu kutokupiga Kura

    Kila siku nasema hapa kuwa CCM + Serikali tulieni na tafuteni Watu wenye kujua KUFIKIRI vyema ili wawe Wanawashauri katika Mambo mengi ya Kimsingi (hasa ya Siasa na Matukio) kwani kuna Maamuzi mengi yanatoka Ngazi za Juu kwenda kwa Upinzani / Wapinzani ukiyapima kama Mtu MWEREVU unaona kabisa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Tundu Lissu afikishwa Mahakama ya Kisutu muda huu

    Awali Askari walikuwa wakizuia wafuasi kuingia kwenye chumba chama Mahakama baada ya kutokea kwa mabishano na baina ya baadhi ya wafuasi wa CHADEMA na Askari Polisi. Soma Pia: Jeshi la Polisi Ruvuma latoa tamko kuhusu kukamatwa kwa Lissu, ni sababu ya Uchochezi Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amekamatwa huku Zay Lissa na Manara wametrend ghafla! Focus Watanzania, Focus!

    Wakuu, Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa...
Back
Top Bottom