tundu lissu

  1. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Tegemea hili kutokea juu ya Tundu Lissu hivi punde

    Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha. Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu ametolewa gerezani Keko na kupelekwa kusikojulikana. Nilikuwa nasubiria kujilizisha kutoka Deep source...
  2. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Lissu

    Wakuu habari zenu hapa. Sijawahi kuandaa na kuandika uzi hapa. Ila huu uzi uwe maalumu kwa ajili ya kumuombea ndugu yetu, mzalendo, mpenda haki na mpenda sheria na mpenda mabadiliko yenye faida kwa taifa hili. Si mwingine bali ni #NIYEYE Mhe/Ndugu Tindu A Lissu. Naanza na sala kutoka nafsini...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

    Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison. Not so sure where exactly is he being taken ——— UPDATE: My insider indicates that he has been moved to Ukonga TUNATAKA KUJUA ALIPO MHE TUNDU LISSU Leo Ijumaa, Aprili 18, 2025, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bado siku mbili tu za rehema kwa watesi wa Lissu

    Hello! Mpaka keshokutwa saa 5 na dk 59 usiku au 23:59 tarehe 20, Aprili kama Lissu hataachiwa nitafunga mlango wa rehema kwa watesi wake. Nitaufunga kabisa na hautafunguliwa tena. Kama Lissu amefanya uhaini kwa Taifa hili basi hukumu ya Mungu itaenda kwake ndani ya hizo siku 7 lakini haki ya...
  5. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

    Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe. Soma pia https://www.jamiiforums.com/threads/mabalozi-wa-marekani-na-jumuiya-ya-ulaya-waliopo-tanzania-watahudhuria-kesi-ya-uhaini-inayomkabili-tundu-lissu.2329878/ Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema amesema Tundu Lissu hataki Vikao vya Gizani ni bora anyongwe

    Godbless Lema afichua maneno aliyoambiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alipoenda kumtembelea Mahabusu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wote tukutane Kisutu tarehe 24 kwa Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho na Wananchi kwa ujumla kufika kwa wingi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu siku ambayo Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu atafikishwa Mahakamani April 24 kwa ajili ya kusikiliza...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini wa "Tundu Lissu vs Jamhuri" na "Uhaini wa Shadrack, Meshack & Abednego vs Jamhuri ya Babel chini ya Mfalme Nebukadneza" (Daniel 3:1-30)

    ➡Kwa msomaji mzuri wa Biblia anaikumbuka kesi hii maarufu iliyorekodiwa ktk kitabu kitakatifu - Neno la Mungu (Biblia) katika kitabu cha Daniel sura ya 3 mstari wa 1 - 30... ➡Ofcoz ni kesi iliyojengwa ktk msingi wa sheria mbaya na ovu dhidi ya wenye HAKI. Maofisa serikalini (i .e mawaziri...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe amjulia hali Tundu Lissu, Wateta kwa saa moja Gerezani

    Wakuu! Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL? === Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu anasema haogopi kufa ilikuwaje hadi akamkimbia Magufuli? Jeła sio kuzuri tusidanganyane

    Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa. Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena. Sasa mtu...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89

    Uvunjifu wa amani ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu, hasa Kifungu cha 89. Inahusisha kutumia lugha ya matusi, ugomvi, au kuleta fujo zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Iwapo watapatikana na hatia, wahalifu wanaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miezi sita, bila chaguo la kulipa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: 'Nipo tayari kunyongwa hadi kufa, siogopi' aisisitiza No reforms, No election iendelee

    Kutoka gerezani Keko, Tundu Lissu akiwa kolokoloni ametuma ujumbe kwa umma kupitia kwa Goddess Lema kuwa yeye haigopi na yupo tayari kunyongwa hadi kufa kama atakutwa na hatia. Pia amesisitiza no reforms, no election iendelelee. Kwa kauli hizi nadhani serikali ya ccm ielewe Tundu Lissu hana cha...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zaidi ya Mawakili Wasomi 800 wanatarajiwa kushiriki Kesi ya Tundu Lissu hapo Tar 24 Aprili 2025.

    Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake. Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi. Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025. Angalizo: Mawakili...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Frank Nyalusi: Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Iringa mjini , Frank Nyalusi amefunguka katika mahojiano na Shamba fm kupitia kipindi cha Amka na Shamba. "Tumegundua wazi watu wote waliopewa kesi za uhaini walikuja kuwa Marais. I swear to God mimi ni mkristo Tundu Lissu atakuja...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ukimya balonzi za nje zilizopo hapa nchini na kutokulaani tukio la kukamatwa Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini.

    Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Covid 19, Salome Makamba amesisitiza alichofanya Lissu ni kinyume na sheria za nchi. Asema G55 'wasichukuliwe poa'

    Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba, amesema kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ataendelea kuwa hivyo hadi atakapotoa taarifa rasmi ya kuondoka. Kauli hii ameitoa leo, Aprili 15, 2025, nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, alipokuwa akizungumza na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Tundu Lissu na Chadema: Waathirika wa Siasa za Unafiki na Ukaidi wa Sheria

    Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jingu: Wananchi hawapo tayari kukinukisha, Chadema itafeli

    "Mwenyekiti wa Chama Taifa, anazungukwa na genge la watu wasiokuwa na uwezo. Nao wakimpelekea ushauri kama yaliyotokea kwenye uchaguzi, wanampelekea ushauri mfukuze fulani. Na yeye anakubali kwa sababu gani. Ni kwa sababu hana watu sahihi wa kumshauri katika mambo ya ujenzi wa chama," Makamu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kurekodi ujumbe wa kulaani kukamatwa Tundu Lissu TikTok

    Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa Helbeth mlelwa akamatwa kwa kosa kurekodi video kukamatwa kwa Mwenyekiti Lissu. "Taarifa za hivi punde serikali ya kupitia jeshi la polisi kanda maalumu Dar es Salaam imemkamata Helbeth Mlelwa mkazi...
  20. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu; Kila atiapo mguu nguvu kubwa inatumika ila mwishoni anashinda, hatujifunzi tu?

    Nimejaribu kufuatilia harakati za Mwenyekiti Tundu Lissu na kugundua ambalo wengi hawalioni, kila ajiingizapo hashindwi na mwishoni anafanikiwa. Mifano: 1. 2010 alipogombea ubunge Rais Kikwete alitumia kampeni ya nguvu kuwa tahadharisha watu kuwa ni bora kumchagua urais Dr Slaa kuliko kumpa...
Back
Top Bottom