tundu lissu

  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kurekodi ujumbe wa kulaani kukamatwa Tundu Lissu TikTok

    Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa Helbeth mlelwa akamatwa kwa kosa kurekodi video kukamatwa kwa Mwenyekiti Lissu. "Taarifa za hivi punde serikali ya kupitia jeshi la polisi kanda maalumu Dar es Salaam imemkamata Helbeth Mlelwa mkazi...
  2. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu; Kila atiapo mguu nguvu kubwa inatumika ila mwishoni anashinda, hatujifunzi tu?

    Nimejaribu kufuatilia harakati za Mwenyekiti Tundu Lissu na kugundua ambalo wengi hawalioni, kila ajiingizapo hashindwi na mwishoni anafanikiwa. Mifano: 1. 2010 alipogombea ubunge Rais Kikwete alitumia kampeni ya nguvu kuwa tahadharisha watu kuwa ni bora kumchagua urais Dr Slaa kuliko kumpa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

    Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Taarifa ya pamoja ya jumuiya hizo iliyosainiwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ninatoa siku 7 tu walioamuru Tundu Lissu awekwe ndani watoe amri aachiwe. Zikipita siku 7 nitafunga mlango wa toba kwao

    Habari! Mtu yeyote anayeinadi bidhaa yake either hiyo bidhaa si bora au ina kasoro au uhitaji wake katika jamii yake ni mdogo. Sina haja ya kujinadi kuwa Mimi ni nani. Kama bidhaa mbele za Mungu najijua Mimi ni bidhaa ya aina gani ndani ya Tanzania hii na ulimwengu. Ninatoa siku 7 tu kuanzia...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ameiweka Chadema kwenye mtego mbaya sana. Oneni hapa

    👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki. 👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani". 👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mhubiri mwingine atoa Unabii mzito juu ya Tundu Lissu na Tanzania

    Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo. Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao. Mimi Lord...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Siasa za Africa mashariki zina maigizo mengi ila Tundu Lissu anazichukulia serious, ajifunze kwa Raila Odinga

    Tanzania kwa mfano CCM ni chama chenye misingi na mfumo mkongwe hivyo kuondoka kwake madarakani ni hadi kizazi cha akina Jr kipite waingie akina X Musk Siasa za africa ni maigizo matupu ila uongozi wa Chadema wa sasa unataka kujitoa ufahamu na kujifanya wako serious Nashauri Watanzania...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM hawana Think Tank , wanajiendea endea tu na Kila wanavyojiendea Linawabumia, LISSU anazidi kuchanja Mbuga

    Oneni maigizo ya CCM yalivyobuma japo wao wanavyoyapanga wanakua wanahisi "Wametumia Akili kwelikweli”. Suala la Uenyekiti wa CHADEMA na Mgombea Urais Kupitia CHADEMA , maandalizi yalianza kwenye uchaguzi wa Ndani wa CHADEMA , hapa wakadhani wameshinda. Lissu akagombea Uenyekiti, CCM...
  9. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kisa cha kesi za uhaini kwa Lissu na CHADEMA ni kama ANC na Mandela

    Miaka ya 1950+ hivi chama cha ANC kule Afrika Kusini chini ya Mandela kilianza kuonesha makali kwa serikali ya makaburu. Harakati za ANC za kudai uhuru wa watu weusi zilipamba moto mno kiasi cha makaburu kukosa usingizi. Makaburu wakawaza ni namna gani wafanye kudhibiti harakati za chama hicho...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Mbunge viti maalumu adai Bwana mdogo Lissu ameishiwa sera

    Wakuu mbunge wa viti maalum eti naye anamwambia Lissu kwamba ameishiwa sera, mtu ambaye yupo bungeni ni kama kwa hisani tu. Kwanza ule utaratibu wa kuwawekea ukomo hawa viti maalum ungeanza kutekelezwa mwaka huu. Wanajisahau sana, kazi kusifia tu === Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mhe...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ansbert Ngurumo: Mwachieni Tundu Lissu, mtaaibika tena.......!!

    https://youtu.be/ndX_mdsDQgE?si=LMefkXNTILIuR2qg ➡️ Mwachieni Tundu Lissu maana hamtapata uhaini wowote katika maneno ya Tundu Lissu...! ➡️Tundu Lissu ni mwanasiasa, mpinzani wa serikali na lugha anayotumia kuikosoa serikali ndiyo lugha yake toka awamu ya 3 ya Mkapa, ya 4 Kikwete na ya 5 ya...
  12. jangoma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu aache kujitesa kwa ajili ya watanzania, ni watu wasio na shukrani

    Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake. Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kazi kubwa aliyo ifanya kwa CCM, serikali haiwezi kumfunga Lissu

    Kwanza siamini kama Lissu analala mahabusu. Na Nina uhakika Lissu hawezi kufungwa. Ndio maana mashitaka yake yamekaa kimagumashi ili ashinde kesi kirahisi. Kwa kazi kubwa ambayo Lissu ameifanya kwa kuisaidia CCM kushinda uchaguzi wa mwaka huu kirahisi, serikali haiwezi kumfunga wala kumfanyia...
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je! Tundu Lissu ni nani hasa? BBC wamchambua

    Wakuu huu ndio wasifu wa Tundu Lissu kwa mujibu wa bbc swahili.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: CHADEMA Kyela wamlilia Tundu Lissu wakati Heche akihutubia kwenye mkutano wa hadhara

    Vilio vimetawala kwenye mkutano wa CHADEMA Kyela Mjini kukamatwa kwa Tundu Lissu kwageuka Simanzi kwa wanachama.
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anazika ndoto za vijana wa CHADEMA kushika nafasi za ubunge na udiwani

    Ndoto za vijana wengi walio CHADEMA zinazikwa na Lissu. Lissu ana uhakika kwamba hawezi kushinda U-Rais. Wenzake wana uhakika wa kupambania ubunge na udiwani na hata kushinda. Kwa kuwa anajua hawezi kushinda, anazuia hata wenzake wasipate mpaka yeye apate pia. Imagine kijana kama John Mrema...
  18. Lizaboni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ametumwa kuja kuiua CHADEMA?

    Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola. Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:= 1. Kusababisha mgawanyiko ndani ya chama hicho kwa kumshambulia aliyekuwa mwenyekiti wake Freeman Mbowe kuelekea uchaguzi...
  19. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TLS yalipuka! Yalaani kukamatwa kwa Tundu Lissu, na kutoa mapendekezo

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
  20. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nilisema CHADEMA ya Lissu itakufa rasmi kabla ya 2026 na CHADEMA ya mzee Mbowe itafufuka rasmi soon!

    No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030 Tume ya Huru ya...
Back
Top Bottom