tundu lissu

  1. PreGE2025 Tundu Lissu: Tumemweleza Balozi wa Norway kuhusu hali ya kisiasa nchini na sera yetu ya "Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi"

    Wakuu, Hatimaye Tundu Lissu amefichua alifhoenda kuzungumza na Balozi wa Norway: Lissu kupitia ukurasa wake wa X amesema: "Balozi Tine Tonnes wa Norway ametukaribisha kwa mazungumzo kwenye makazi yake rasmi mjini Dar. Tumepata fursa ya kumweleza Balozi Tonnes juu ya hali ya kisiasa nchini na...
  2. PreGE2025 Tundu Lissu aendelea kusisitiza Wagombea CHADEMA, Unataka Ubunge ili iwaje? Watu wetu wanauawa kwa Risasi za Polisi!

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anasema kuwa uamuzi wa mtu kugombea Ubunge au nafasi nyingine ni wa Chama si wa mtu mmoja, na uamuzi wa Chama ni hakuna uchaguzi kama hakuna mabadiliko, hivyo yeyote anayekwenda CHADEMA ajue kwamba hakuna uchaguzi kwa...
  3. PreGE2025 Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

    Wakuu, Kumbe Heche na Lissu walikuwa na mpango wa kando kuendeleza kampeni yao ya No Reforms No Election ukiachana na kuwaambia watu walale barabarani Erythrocyte nimeanza kukuelewa sasa =================================================== Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
  4. Video: Lissu na CHADEMA kaeni na hawa wananchi wa Salasala wawafunde kuhusu maandamano. Strategy yenu ya sasa inafeli!

    Wakuu, Nadhani kupitia video ya wananchi wa Salasala, Lissu na CHADEMA kwa ujumla mnaweza kujifunza kitu. Hapa kama mnavyoona, kuna mixer ya wamama na vijana wameandamana wenyewe bila ya msukumo wowote kutoka kwa wanasiasa wakiitaka serikali iwatengenezee matuta ili kupunguza ajali za...
  5. Tundu Lissu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, BAWACHA wakiadhimisha siku ya wanawake Machi 08

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema BAWACHA, Sharifa Suleiman, amesema kuwa tarehe 8 Machi baraza hilo linatarajia kudhimisha siku ya wanawake Dar es Salaam. Hayo ameyasema leo tarehe 23 Februari 2024, wakati anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.ambapo amesema kuwa...
  6. Tetesi: Viongozi wa juu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhudhuria maombi ya kuliombea Taifa yatakayofanyika Leaders Club

    NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025 Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
  7. Hotuba ya Tundu Lissu akizungumza na viongozi na wanachama wa jimbo la Ubungo akitoa elimu ya kauli mbiu ya movement ya NO REFORMS, NO ELECTION

    https://youtu.be/5Y7PcWedUNE?si=nXAlvjXG1G6V-4Mu KWANINI NO REFORMS, NO ELECTION? Ni kwa sababu: 1. Kwa utaratibu wa kisheria, kikanuni, kikatiba na wa kiserikali, uchaguzi salama usioambatana na mauaji, huru, wa wazi na haki hauwezekani tena kufanyika ktk nchi hii.. 2. NO REFORMS, NO...
  8. PreGE2025 Tundu Lissu: Viongozi wa dini msiwaombee wezi wa uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu amesema kuwa katika kutimiza ajenda ya "No Reform No Election' chama hicho kimelenga kuwajumuisha viongozi wa dini ili nao wawe sehemu ya mabadiliko ya kisiasa nchini ikiwamo mfumo wa uchaguzi. Kupata matukio na taarifa...
  9. M

    PreGE2025 'No Reforms No, elections' ni mkakati wa Tundu Lissu tuwe walemavu kama yeye, akili za kuambiwa changanya na za kwako

    Tundu Lissu kWa sasa ni mlemavu, hiyo no reform no election ni mkakati wake ili tupambane na dola tuumizwe tuwe kana yeye, mwenzetu kila baada ya muda anaenda kucheki afya ulaya, mm hata nauli ya kwenda Temeke hospitali ntakuwa nayo? after all watoto wake Lissu wako ulaya mm wa kwangu wa...
  10. PreGE2025 Tundu Lissu: Ili tuweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa Kura!

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu akizungumzia harakati za 'No Reform No Election' amedai kuwa "Ilituweze kushinda uchaguzi lazima tuwe na bunduki kama wao. Ikulu ndio inaamua wizi wa kura" "Watu wetu wa leo ni welevu kuliko miaka 10 iliyopita, mwaka...
  11. PreGE2025 Tundu Lissu: Mungu hajasema tulale tuombe, amesema nchi yetu tuipiganie

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa hoja ya 'hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi' (no reform no election) inamaana ya kuwa uchaguzi hauwezekani tena kwa mazingira ya sasa. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
  12. J

    SI KWELI PreGE2025 Lissu asema hata akibaki mwenyewe CHADEMA itasonga. Mimi ni ''One Man Army''

    LISSU KWENYE UKURASA WAKE WA X (TWITTER) AMENENA MAZITO ASEMA HATA AKIBAKI MWENYEWE CHADEMA ITASONGA. Hayo yamekuja mara baada ya viongozi mbalimbali wa Kanda wa CHADEMA kujiuzulu kwa madai ya Chama chao (CHADEMA) kukosa Muelekeo na Kwenda kujiunga na ACT wazalendo ili kuongeza nguvu kwenye...
  13. Kisa Lissu na Katiba Mpya, CCM na CHADEMA watupiana maneno ''Vijana wa CCM wameishia kupiga makofi na kubeba mabegi"

    Amani Ayoub ambaye ni Mwenyekiti, UVCCM - UDSM Mabibo - Hostel amemkabia kwa juu na Elia Evarist ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA kisa hoja ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya 'No Reform No Election' na Katiba Mpya akidai hoja haina mashiko...
  14. Ni vigumu sana Tundu Lissu kufanikiwa kisiasa kwasababu ni mtu wa tuhuma na wala hathamini michango ya wanasiasa wenzake ndani na nje ya Chama

    Ni vigumu sana Tundu Lissu kufanikiwa kisiasa kwasababu ni mtu wa tuhuma na wala hathamini michango ya wanasiasa wenzake ndani na nje ya Chama Tundu Lissu ni mtu complicated sana na ni vigumu kufanya nae kazi na hawezi kufanikiwa kisiasa hata umfanyie jema gani hawezi kukuthamini. Pamoja na...
  15. W

    PreGE2025 Lissu asema hakuna mpasuko ndani ya CHADEMA

    Lissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30. Ameeleza pia makovu hayakosekani itatuchukua muda lakini majeraha yote yatapoa na kuisha kabisa Kupata taarifa...
  16. W

    PreGE2025 Lissu awashangaa wanaohoji ushiriki wa viongozi wa dini kwenye siasa, ameeleza kuwa sekta ya dini ina mchango mkubwa kwenye siasa

    "Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini...
  17. W

    PreGE2025 Lissu ahoji Rais anapata wapi pesa za kugawa kwa viongozi wa dini? kwa mshahara gani?

    Wakati akifanya mahojiano na ITV, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amehoji ni wapi Rais anatoa fedha za kuwapa viongozi wa dini? kwa mshahara upi? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
  18. W

    PreGE2025 Lissu amesema kuwa yeyote mwenye macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za ovyo

    "Yeyote mwenye akili na macho ya kuona anajua kuwa chaguzi za nchi hii zimekuwa za hovyo sana na ni za hovyo kwa sababu mfumo mzima wa kiutawala wa nchi hii ni mfumo wa hovyo" - Tundu lissu, Mwenyekiti CHADEMA. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
  19. W

    PreGE2025 Lissu: Tutazuia uchaguzi kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano kama hakutokuwa na mabadiliko

    Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…