Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo
"Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu...
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.
"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo...
Mapema leo Juni 16, 2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini na Kesi ya kuchapisha uongo Mtandaoni zinazomkabili ikiwa ni mara ya tatu kwa sasa kufika Mahakamani kusikiliza kesi yake
===
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha...
https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye
Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki...
-Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa)
-Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii.
Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa.
Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:-
1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8
Asema:
1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
"Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM.
Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna hii tutatarajia aipende CHADEMA inayosema No reforms No...
Mimi nimetafakari na kujiuliza, je, tatizo la CHADEMA ni chama na sera zake au pengine ni uwepo wa Tundu Lissu kwenye chama hicho na misimamo yake?
Hili linahitaji mjadala mpana sana kwa sababu CHADEMA ni taasisi inayoishi—Lissu atakuwemo na kutoka; pengine ataenda DP, au ataacha siasa, au...
Ukiwa na moyo safi Mungu hukupa baraka ya kuyaona yajayo hata kama kwa wakati husika utakuwa huelewi unachooneshwa ama kuelewa kitakachotokea!
Hapa Lissu alitabiri kwa usahihi hiki kinachotokea sasa kwenye siasa za Tanzania.
Msikilize.
👇
Mungu amewapa CHADEMA baraka ya kuyajua yasiyojulikana...
Asalaam alykhum, Tumsifu Yesu Kristo.
Mimi siyo mtabiri.
Nimeona wazi kabisa mchezo wa siasa siyo mzuri na hauna dini, bali dini inachukuliwa na wanasiasa kama kinga kwa wananchi wao.
Kikubwa wanasiasa hawana dini na hawaamini kama kuna Mungu, wewe angalia matendo yao.
Njoo kwenye mada sasa...
Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
Je,
walijitathimini vizuri, wakagindua na wakaona mbali na hatimae wakajiepusha na anguko la vyama vyao kama ilivyoangukia pua Chadema chini ya ungozi wa Tundu Lisu mwenyewe?
Au ni kwasasababu uropokaji, kukosa maono kwa Lisu, kukosa hekima na busara kwa huyo mtoa wito asie aminika na mwenye...
Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya
Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko...
Mimi sio mtu wa siasa kabisa. Falsafa yangu kuhusu maisha ipo tofauti kabisa na mambo ya siasa. And my life is moving in the direction of my life philosophy.
But guys am telling you, Lissu sio mtu wa kawaida. He represents a very higher and powerful entity in the realm of the spirits...
Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amevitaka vyombo vya utoaji haki nchini kuharakisha usikilizwaji wa kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuhakikisha suala hilo...
Mahakama ya Tanzania imeondoa Maudhui ya Kesi ya Tundu Lissu kwenye Akaunti ya Mtandao wake wa YouTube. Hii ina maana gani?
Ikumbukwe, zaidi ya watu 18,000 walifuatilia kesi hii 'Live' kwenye akaunti hiyo pekee ilipotajwa kwa mara ya mwisho Juni 2, 2025 huku makumi ya maelfu wakiendelea...
Kama wewe ni mtu wa kutafakari maswala ya Causal-effect relationship inaweza kuwa rahisi kuelewa kuwa Matukio ya hivi karibuni ndio chanzo cha mambo yoote haya unayoyaona.
Kwanini?
Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu.
Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri..
Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.