tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Bila Tundu Lissu Kuachiliwa na CHADEMA Kuruhusiwa, uhalali wa Rais Samia Suluhu utahojiwa

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni kweli. Rais Samia anaweza kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 tena kwa kishindo kweli kweli. Ni kweli. Mamilioni ya wanachama, mashabikiki na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wataenda kutiki kwenye sanduku la kura na kumpa kura Rais na kuandika historia ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kwani CHADEMA mna mpango gani mbona kama siwaelewi? Mnawezaje kuendelea kumuachia Mwenyekiti chini ya mafisi wakati mna jeshi kubwa?

    Kazi ya makamo mwenyekiti badala ya mwenyekiti wetu Tundu Lissu ni kutuambia hatuna imani na majaji,mahakimu pia hatuna imani na serikali ya Samia. Kisha tuambiwe hatima ya mwenyekiti unatuachia sisi wananchi tuamue cha kufanya.
  3. JamiiForums Tanzania Zijue Star Chamber Courts: Mahakama za siri na mantiki zake kisiasa dhidi ya Tundu Lissu

    1. Utangulizi: Maana ya Star Chamber Courts Star Chamber Courts zilikuwa ni aina ya mahakama za kifalme zilizokuwepo England kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17. Mahakama hizi zilikuwa na utaratibu wa kusikiliza mashauri ya kipekee kwa siri (closed-door trials), hasa yale yaliyohusu masuala ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Humphrey Polepole, muda wa kufanya Reform bado upo na Tundu Lissu aachiewe

    Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake. Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache, basi muachie huru Lissu

    Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache ukiwemo wewe, lakini ukimuachie huru Lissu tutakuwa na uhalali wa mjadala wa taifa, lakini mjadala auwezi kufanikiwa kama kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ayupo. Amesema Polepole
  6. JamiiForums Tanzania Sakata la kesi ya uhaini wa Tundu Lissu Askofu Kalikawe L. Bagonza: Mashahidi wa siri, si pigo kwa Lissu pekee, ni pigo la umma wote na mahakama!

    Na Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu ! Tumepigwa Wote. Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua na umma...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Viongozi mliopewa dhamana ni vyema mtumike huku mkijua kuna kifo muda wowote, na kifo hakichagui mtawala na asiye mtawala

    Ndugu zangu Viongozi mliopewa dhamana ni vyema mtumike huku mkijua kuna kifo muda wowote, na kifo hakichagui mtawala na asiye mtawala. Tambo na maneno ya shombo alizokuwa akimtolea na kumtendea Tundu Lissu, Ndugai asingejua kama anaweza kutangulia mbele ya haki na kumuacha Tundu Lissu mwenye...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini. Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeriko Nyerere: CHADEMA Imekufa, Kubali kataa nuna lakini huo ndiyo ukweli, Niliwaambia Chama hiki mkimpa Tundu Lissu haitafika miezi mitatu

    Baada ya aliyekua kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Yeriko Nyerere, kutangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Agosti 6, 2025 makao makuu ya Chaumma yaliyopo Biafra Kinondoni jijini Dar es Salaam, ametoa madai kuhusu kuanguka kwa CHADEMA
  10. JamiiForums Tanzania Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

    Wakuu Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi. Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu. Yaani ni kama...
  11. JamiiForums Tanzania Tusimunee Huruma Tundu Lissu Tuone aibu kwa kutokuwajibika katika nafasi zetu

    Alikoswa koswa kwa Risasi....Sasa tunataka akoswe koswe na Kitanzi..... Kuficha mashahidi ni utaratibu wa nadra unaoruhusiwa tu pale ambapo mazingira ya kesi yanaonyesha wazi uwepo wa tishio la moja kwa moja kwa usalama wa shahidi au chanzo cha taarifa (source) na hata hivyo, chanzo hicho...
  12. JamiiForums Tanzania Je mpina akisimama na wasukuma, Tundu Lissu awe kati, Dr Samia angetoboa?

    Jibu swali hapo juu tu
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka

    Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka. Mmekataa demokrasia na haki, sasa mnategemea nini, ni mwehu pekee anaye amini kukataa demokrasia na haki alafu aje kupata haki. Ni wakati sasa wa mabadiliko sisi wote ni watanzania kwanini tuwe vilaza kiasa hiki haya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Siri ya Tundu Lissu mpeni onyo Mama Samia

    Kwa maono ya imani yangu na niliyo ona wakati nasali Lissu hata yeye hajui lakini anatumika na Mungu narudia hata yeye hajui hili. Sasa wakati wa Magufuli msije kufikiria alikuwa kichaa kukataa dawa za covid, kutukana na kukebehi ma Padre kwa kutaka watu wajihadhari na covid. Yale yalikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa kimila asema Wamasai wote ni CCM, Wamasai wenyewe wampinga vikali, mmoja asema 'Mimi ni Tundu Lissu damudamu'

    Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Tundu Lissu aheshimu taratibu za Mahakamani vinginevyo kila cku mtakuwa mnalalamika

    Kwanza Mahakama inamheshimu sana Lissu maana angekuwa mtu Kama mm kwa yale maneno yasiyo na staha mahakamani wengine tungeshakula behind the bars miezi sita kwa contempt of court lakini anachukuliwa poa Mahakama imemaliza kesi Lissu ameshakabidhiwa magerza, nyie mnataka kupiga stori naye wap na...
  19. JamiiForums Tanzania Kimewaka! Mawakili wa Tundu Lissu waunguruma kwa ukali, watoa kauli nzito ya unyama unaofanywa kwa Lissu

    Umoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu wameeleza hali anayopitia gerezani huku Mahakama ikishindwa kufanya maamuzi Mawakili hao wameeleza kitendo kilichotokea wakati wa kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Lissu Julai 30,2025 katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu ambapo...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA yalaani askari magereza kumsukuma mwenyekiti Tundu Lissu

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapaza sauti kwa hasira na huzuni kubwa kulaani vikali kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekelezwa na askari wa magereza, ambaye alimshambulia kwa kumsukuma kwa nguvu na kumuangusha Mwenyekiti wa Chama Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…