tundu lissu

  1. Ushauri: Ondoa Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Wakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei, Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can make it. Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha...
  2. Historia fupi ya maisha ya shule ya Tundu Lissu

    Tundu Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 na alisoma shule ya msingi Mahambe, Singida. Katika miaka yake yote saba shuleni hapo, Lissu hakukubali hata mara moja kuamka alfajiri saa 11 kuwahi namba na daima aligomea kulima mashamba ya walimu, kuwachotea maji na kazi za namna hiyo kwani kwake...
  3. Karibu uraiani Tundu Antiphas Mughwai Lissu, heshima iliyoje kwako DPP Mwakitalu

    Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO. Pili nimpongeze Mtanganyika mwenzangu na rais wa tatu ajaye ( Baada ya huyu kudumu Kwa muda mfupi atafata...
  4. Ushauri kwa DPP: Kwa Ushahidi wa Shahidi wako wa kwanza Kesi ya Uchochezi ya Tundu Lissu, Nolle ni busara kuliko Serikali kuvuliwa nguo hadharani

    Silvester Mwakitalu. Sidhani kama kesi zilizofunguliwa dhidi ya Tundu Lissu zilipata baraka zako za kitaalam kabla ya kuwasilishwa Mahakamani. Nasema haya kwa sababu nakujua vizuri. Wewe ni mtu muungwana na mlokole sana. Leo napenda kukushauri, kwa namna Shahidi wako wa kwanza alivyoanza...
  5. Voices From Within:Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini? CHADEMA Kushiriki Uchaguzi?

    Wanabodi Hili ni Bandiko la Voices from within,hivyo naomba kulianza kwa disclaimer Leo saa hizi,ni usiku mkubwa!,hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweli, achilia hizi mamlaka za kuja na...
  6. R

    Tundu Lissu usihofu, Ibada haizuiliki, Hekalu ni mwili wako, Madhabahu ni moyo wako. Endellea kuabudu

    Salaam, Shalom! Nimesikia nabii Tundu Lissu akilalamika kupokwa haki yake ya kuabudu, hii SI kweli. Agano la kale, watu iliwabidi kusafiri Hadi Yerusalemu kwenda kuabudu, Agano jipya mambo yamebadilika. Mungu anaabudiwa Katika njia illiyoboreshwa zaidi. Wamwabuduo halisi, imewapasa...
  7. Lissu sio mtu wa kawaida. Hii ni zawadi ya kipekee kabisa Mungu alitupatia watanzania katika taifa letu

    Tunaweza kutofautiana kimtazamo, lakini hatuwezi kubishania ukweli wa wazi. Kama kuna zawadi ya kipekee kabisa ya mtu wa kutupigania na kushinda kwenye siasa, sheria, haki na maendeleo ambayo watanzania tulipewa na mwenyezi Mungu katika miaka 60 tangu kuundwa kwa taifa la Tanzania (Tanganyika)...
  8. M

    Maandiko yametimia: Kama wanautendea mti mbichi namna hii, je mti mkavu

    Je wafungwa wasio na hadhi ya kitaifa wanatendewaje huki jela? Ikiwa public figure kama Lissu anatendewa namna hii, je wanyonge wasio na mbele wala nyuma?
  9. Muachieni Tundu Lissu. Dola lazima ijue, LISSU ni Mpinzani kwelikweli yaan Mpinzani kwelikweli

    Dola lazima ijue, LISSU ni Mpinzani kwelikweli yaan Mpinzani kwelikweli , LISSU sio Dalali Mbowe , huyu jamaa ni mwingine kabisa, na jinsi navyomuona, LISSU ni MTU mwenye Nguvu Fulani ya uungu Ndani yake !!. Nilitegemea Kwa mwingine, Alie liee yaan aseme 'Sasa Mh Hakimu, nalala sehem mbaya...
  10. PreGE2025 Mfanyie mtu vyote sio kumzuia Kusali Kwa anayofanyiwa Lissu, ni zaidi ya kuvunja Katiba

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewekwa Haki kwa Watanzania wote kuwa na uhuru wa kuabudu na kufanya Ibada. Tanzania pamoja na kutokuwa na dini ila Wananchi wake wamepewa Haki ya kuabudu na kufanya Ibada na Sheria Kuu ya Nchi ambayo ni Katiba. Sio hivyo ili kuweka msisitizo wa...
  11. PreGE2025 Afisa Polisi, Shahidi wa Jamhuri: Niliona matamshi haya yanaleta vurugu, nikaipakua video ya Lissu na kuiwasilisha kwa mamlaka

    Afisa Polisi, aliyefika kutoa ushahidi upande wa Jamhuri katika kesi ya uchapishaji wa taarifa za uongo mtandaoni inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa, Tundu Lissu, ameeleza sababu za kuipakua video ya Lissu aliyokuwa akiizungumza. Fuatilia hapa: Shauri la jinai namba 8606/2025 Jamhuri vs...
  12. Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

    Mpende mchukie The guy is truly gifted. Huyu jamaa sio wa sayari hii. Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu. Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa. Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi...
  13. PreGE2025 POTOSHI Lissu hana imani na mawakili wake 30, awaita wasaliti

    ====== wakuu Ni kweli kwamba Tundu Lissu amewaita mawakili wake wasaliti?
  14. PreGE2025 Waandishi wa Habari watolewa nje ya chumba cha Mahakama kunakosikilizwa kesi ya Tundu Lissu Kisutu

    Katika hali isiyo ya kawaida mahakamani, leo Juni 16,2025 Hakimu alitangulia kuingia ukumbini kabla ya mtuhumiwa, Mbunge wa zamani na Mwanasheria, Tundu Lissu. Mara baada ya Hakimu kuingia, waandishi wa habari waliokuwepo walitakiwa kutoka nje ya ukumbi ili wasipige picha wakati Lissu akiingia...
  15. Shauri la jinai namba 8606/2025 Jamhuri vs Tundu Lissu, kesi ya uchochezi na kuchapisha taarifa za uongo imehairishwa hadi Julai 01, 2025

    https://youtu.be/ZbNLPqfSiQ8 Wakuu Kesi ya uchochezi na kuchapisha taarifa za uongo inayomkabili Mwenyekiti wa chadema Tundu Lissu inaendelea muda huu. Awali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu aliiomba mahakama kumpa nafasi ya nusu saa kuweza kujadiliana na...
  16. R

    PreGE2025 Tundu Lissu alalamika kunyimwa haki ya kuabudu gerezani

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu amelalamika kunyimwa haki ya kuabudu kwa takribani siku 68 tangu alipokamatwa na kupelekwa gerezani. Lissu ametoa taarifa hiyo siku ya Jumatatu Juni 16, 2025 alipopewa nafasi ya kuzungumza katika Mahakama ya Hakimu...
  17. PreGE2025 Mahakama yakubali ombi la Tundu Lissu kujitetea mwenyewe

    Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo "Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu...
  18. W

    PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

    Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga. "Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo...
  19. R

    Tundu Lissu: Nimekuwa Mahabusu Siku 68 Mawakili wangu hawajaruhusiwa Kuniona na kuwasiliana na Mimi

    Mapema leo Juni 16, 2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini na Kesi ya kuchapisha uongo Mtandaoni zinazomkabili ikiwa ni mara ya tatu kwa sasa kufika Mahakamani kusikiliza kesi yake === Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha...
  20. B

    PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

    https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…