tundu lissu

  1. Tundu Lissu: Turufu pekee iliyobaki kwa Rais Samia

    Najua hamtaniamini. Najua mpo mtakaobisha vya kutosha na kutisha. Mtapaniki kuliko pikipiki ya kutumia kiki. Lakini, nawaambia jambo hili. Ni jambo geni na kubwa lakini muhimu na linalowezekana kwenye siasa za sasa. Siasa za sasa zinahitaji amshaamsha. Haifichiki tena kuwa mambo ndani ya CCM...
  2. GE2025 Mchungaji Arusha amwombea Lissu

    Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Ngaramtoni mkoani Arusha, ameendesha maombi maalum Julai 23, 2025 kwa ajili ya viongozi wa CHADEMA, akimjumuisha Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Tundu Lissu. Katika maombi hayo, Mchungaji Karao alimuomba...
  3. Nakuuliza Samia vipi adui wako ni Tundu Lissu ?

    Samia alitumia kila aina ya ufedhuli kuibomoa Chadema. Amewaweka lockdown viongozi wa Chadema hakuna kwenda nje, amewanyima ruzuku, ameanzisha migogoro uchawara na kubwa zaidi amempa Lissu Bogous Charges. Mungu si athuman malipo ni hapa hapa. Samia ndani mwake anakabiliwa na upinzani mkubwa...
  4. GE2025 Madeleka: Niliunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu hakusema atazuia uchaguzi, kama angesema hivyo kabla, nisingemuunga mkono

    Wakili Peter Madeleka akihojiwa na Jambo TV amesema, "Wakati namuunga mkono ili Tundu Lissu achaguliwe na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama, hakuna mahala popote alisema atazuia Uchaguzi akiingia madarakani, na kama angelisema hivyo mimi nisingemuunga mkono."
  5. Kama wanaibiana wao kwa wao kura za ndani CHADEMA ya Lissu ingenusilika?

    Kwanza kabisa walikiuka katiba maana mgombea wa urais amehudumu vipindi viwili vilivyowekwa kwa mujibu wa katiba. Mbaya zaidi hata kwenye chaguzi za ndani wanaibiana kur Taifa hili linahitaji katiba mpya ili kudhibiti huu uozo. Naamanisha wizi wa kura
  6. Ni yeye hakuna mwingine, bora jana kuliko kesho

    Wasalaam. Ukweli mchungu ni kwamba babu kikwete ndie kinara wa mikataba mibovu inayolinyonya taifa enzi ya utawala wake na utawala huu wa sasa. Na sasa kajipenyeza chamani ba serikali kakalia kiti cha dereva na soon kuna kutumbukia bondeni. Ushahidi huu hapa.
  7. Ni kweli kiapo cha kutunza siri kinakuwekea mpaka kuusema uhuni wa wahuni wanaoichafua nchi

    1. Ni kweli kiapo cha siri kinampiga spana kumwaga Michele kwenye kuku... 2. Kwani akiwapa wasio na viapo hivyo na kuachilia mabomu haya ili nchi ipone, kuna ubaya kisheria wananzengo..? 3. Kwa hali ilivyo sasa, ili kuuponya uhai wa Binti Kiziwi, ni lazima tu wahuni wanataka kuliangamiza taifa...
  8. B

    Nimetafakari nikaona hakuna kitakachomzuia Tundu Lissu Kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Historia huwa haidanganyi. Insha Allah Tunamuombea atoke salama kwa jina la Mwenyezi Mungu, Allakhuakbar. Mh Tundu Lissu amepigana vita vingi. Hakuna kitakachomzuia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  9. Tetesi: Humphrey Polepole kumtembelea Tundu Lissu gerezani. Je wataenda kuteta nini?

    Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu. Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa mwenzake. Je watajadili nini?
  10. Samia na Mbowe hand shaking.: Je hii ni dhihaka, dharau na kejeli dhidi ya CHADEMA na Tundu Lissu?

    Katika mazingira ambayo, Tundu Lissu, mwenyekiti wa Chadema yupo gerezani akishtakiwa kwa makosa ya uhaini (ambapo ikiwa atatiwa hatiani hukumu yake itakuwa ni kunyongwa hadi kufa) huku dunia nzima ikilaani kukamatwa kwake na kupiga kelele aachiwe huru mara moja, na hapo hapo CHADEMA ikiwa...
  11. GE2025 Mahakama yafafanua zuio la CHADEMA, zuio linawahusisha Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili (2) ambao ni John Heche wa...
  12. Je DPP anataaka kutumia AI kwenye kesi ya TUNDU LISSU?

    Katika dunia ya AI Artficial Intelligence(Akili Umbe) Mambo mengi yanafanywa na AI ikiwa hata majibizano. Kuficha sura, sauti na utambulisho wa mashahidi katika kesi zinazomkabili Lissu kuna hatari ya kutumia artificial intelligence au mamluki wengine. Korti ya karne AI ikatae kuficha...
  13. Kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Haijawahi kutokea. Yageuka kuwa biashara nono. Wananchi wanalipa viingilio kwenye mabanda umiza kuifuatilia kupitia TV!

    https://youtu.be/QluC2lIyj9k?si=oubNv3EMJB1I7xo6 Hivi ndivyo unavyoweza kusema kuwa, sijawahi kuona wakati wowote kuwa, kesi ya uhaini wa Tundu Lissu, sasa yageuka kuwa biashara nono mitaani kwa wafanyabiashara wa kuonesha mipira kwenye vibanda umiza... Wananchi wasio na TV au bando kwenye simu...
  14. Mahakama Kuu kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Tundu Lissu Agosti 12, 2025

    Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
  15. TUNDU LISSU: Safari ya Mchoma Mwiba wa Mfumo, Msimamo Usioyumba, na Ndoto ya Tanzania Mpya

    Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 katika kijiji cha Mahambe, wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida. Alikulia katika familia ya kawaida ya wakulima, ambapo maadili ya elimu, nidhamu na haki vilikuwa msingi wa malezi yake. Elimu yake ilianza Mahambe Primary School...
  16. GE2025 Shauri la Lissu kupinga mashahidi wa Jamhuri kufichwa kutolewa Agosti 12,2025

    Wakuu! Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo tena anapanda kizimbani, Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya shauri lake la maombi ya jinai alilolifungua mahakamani hapo. ‎Lissu anakabiliwa na kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo katika...
  17. Matukio & maonevu 8 yanayofanana ya donald Trump na Lissu yaliyosababisha Trump kuweka historia adimu ya kurudi ikulu ya Marekani. Lissu ataweza?

    Wanajf, Mwaka juzi na mwaka Jana nilifuatilia uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2024 kwa miaka miwili mfululizo. Na sasa nafuatilia uchaguzi wa hapa kwetu Tanzania. Nimegundua kuwa Kuna matukio 8 yanayofanana kwenye Kesi na Figisu za Trump na Lissu. Mambo hayo yalisababisha Trump kuweka...
  18. Ninasema na nitasema daima, Mchawi wa Maendeleo ya Tanzania ni Serikali ya CCM, Mwenendo wa Shauri la Tundu Lissu unathibitisha haya

    Uhuru wa mfumo wa haki ni moja ya kigezo muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa lolote lile. Ukipima kwenye mzani, mataifa yaliyo na mfumo huru wa haki yameonesha kuwa na maendeleo ya uhakika yasiyotetereka miaka na miaka. India, Brazil, Korea Kusini, Sweden, Norway, Finland, Marekani, Uingereza...
  19. GE2025 Vibanda umiza vya Tarime vyajaa, kufuatilia Kesi ya Tundu Lissu

    Wakuu! Tarime mkoani Mara, limeshuhudia kundi la Wananchi mbalimbali wakiwa ndani ya Banda maarufu la "Juma Kahawa" linalopatikana Kata ya Bomani mtaa wa National Housing wilayani Tarime wakifuatilia mubashara kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inayoendelea kusikilizwa...
  20. GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…