tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afanywa Mtaji na Vijana wa CHADEMA?

    Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya ku question mambo ambayo ni critical ila wanaweza kuelekeza Matusi ya kila aina kwa Rais wa Jamuhuri...
  2. JamiiForums Tanzania JeTanzania Inahitaji Shujaa Kama Jerry Rawlings au Tundu Lissu Anatosha?

    Habari za Wakati huu; Kuna mambo ukiyatazama kwa mbali na hata kwa ukaribu huwezi kuelewa kabisa. 1. La kwanza ni hili la Tundu Lisu.Tundu Lisu amewekwa Gerezani takribani Mwaka mmoja.Amewekwa Mahabusu.Kesi yake inaonekana kabisa ni kesi isiyo na mashiko wala msingi.Ni kesi ya kubumba.Swali ni...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Watu wanahoji maridhiano, unaridhiana na nani? CHADEMA siyo tuvyama hutu twa mfukoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata mwenyekiti wako kwa kesi ya uongo.” Kauli hiyo ameitoa akielezea msimamo wa chama chake kuhusu wito wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu | Shahidi wa Siri (P6): Lissu alisema tunakwenda kuvuruga uchaguzi na kukinukisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, ljumaa Februari 13, 2026 inatarajiwa kuendelea na Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili Kesi Yenye Na. 19605/2025 inayosikilizwa mbele ya jopo la Majaji watatu...
  5. JamiiForums Tanzania Suala la Lissu kunyimwa chakula na Magereza limegusa na kuumiza wengi

    Hivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui? Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana na timu kubwa ya Mawakili wa serikali na chakula unamnyima? Hivi watu wakishangilia vifo vya watu...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aachiwe huru sasa!

    Tanzania ilijengwa juu ya misingi ya haki, usawa, na heshima ya uhai wa binadamu. Lakini ni lazima tujiulize kwa ujasiri: Je, bado misingi hiyo inaheshimiwa? Je, Taifa linaweza kusonga mbele wakati haki inapokanyagwa, sauti kunyamazishwa, na uhai kudharauliwa? Leo, suala la kuachiwa huru kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni uoga wa Oktoba 29, 2025 au nini kimebadilisha ukatili wa polisi kwa wafuasi wa CHADEMA Mahakamani?

    Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo imeanza bila vitendo vya ukatili wa polisi kwa wafuasi wa chama hicho wanaohudhuria. Lissu alikamatwa...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa

    Wakuu Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama iliagiza Kizimba hicho cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone Fuatilia mwenendo wa kesi...
  9. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu | Shahidi wa siri (P5): Niliona video ya Lissu akisema atakinukisha, uchaguzi mkuu hautafanyika

    Kesi ya uhaini Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu inaendelea tena leo, Alhamisi Februari 12.2026 kama ilivyo ada mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru. Jana (Jumatano, Februari 11.2026)...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026

    Mahakama imetoa uamuzi kuhusu mapingamizi matano dhidi ya Jamhuri yaliyowekwa na mshtakiwa Tundu Lissu mnamo Novemba 12, 2025, ikiwemo pingamizi kuhusu utaratibu wa usikilizwaji wa shahidi wa siri. Lissu alidai mahakamani kuwa, hata kama sheria ya ulinzi wa mashahidi ingekuwa na uhalali wa...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu, mahakama kutoa uamuzi wa mapingamizi leo Feb 11, 2026

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatano, Februari 18, 2026, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi yaliyowekwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili. Katika kesi hiyo namba 19605/2025...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama kuu, Kanda ya Dar es salaam Tarehe 11 Februari, 2026 kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Tarehe 11/02/2026 Chadema itakuwa na Kesi 3 Mahakama kuu. Kesho tarehe 11/02/2026 Mahakama kuu, Kanda ya Dar es salaam inatajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu, kufuatia pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya mashahidi wa kificho akitaka...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tutashinda, MUNGU yuko naye maana anatenda haki

    Tutashinda, atashinda, tutashinda.
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Jeshi la magereza linaongozwa na amri kutoka juu na sio sheria huko juu ni wapi juu mbinguni au ?

    Tundu Lissu: Jeshi la magereza linaongozwa na amri kutoka juu na sio sheria huko juu ni wapi juu mbinguni au ?
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Jeshi halina mamlaka yoyote ya kuzuiwa watu kukutana na ndugu, marafiki gerezani ni kinyume cha sheria

    Tundu Lissu: Jeshi halina mamlaka yoyote ya kuzuia watu kukutana na ndugu, marafiki gerezani ni kinyume cha sheria.
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: kesi ina siku zaidi ya 307 lakini imesikilizwa tu siku 14 kati ya siku hizo zote kuna kitu hakiko sawa

    Tundu Lissu: kesi ina siku zaidi ya 307 lakini imesikilizwa tu siku 14 kati ya siku hizo zote kuna kitu hakiko sawa.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ina midomo mingi, kila unalofanya linatafsiriwa

    Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

    Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
  19. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuendelea leo Februari 9, 2026

    Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Huwezi kulileta Taifa pamoja na Kiongozi wa Upinzani yuko Gerezani

    Mwanasiasa mkongwe Prof. Anna Tibaijuka, akizungumza na Salim Kikeke kwenye Kikao Na Kikeke, anaeleza kuwa ni ngumu kulileta pamoja taifa wakati kiongozi wa upinzani akiwa gerezani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…