Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chma cha Demorasia na Maendeleo (CHADEMA)Taifa, Tundu Lissu, imepangwa kusikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Septemba 8, 2025 katika hatua ya kusoma hoja za awali.
Taarifa hiyo, iliyotolewa na Wakili Gaston Shundo Garubindi...
Masikini wangezidi kua Masikini, Matajiri wangezidi kua Matajiri
Shughuli za Kisiasa zingepigwa Marufuku baada ya Uhapisho wake .
Rasilimali za Nchi zingesombwa Kwa Kasi ya Hypersonic .
Makanisa yangefungiwa zaidi .
Utekaji na Mauaji, Hapa ndo uspime, kuanzia 2026 tungeshuhudia
Nawaambia...
Tarehe hiyo Imelazimika kupangwa "kinguvu" baada ya kelele za Wadau wa Hapa JF na kwingineko.
Kiukweli hawakutaka kabisa kupanga Tarehe Mwezi huu, Tunataka Lissu any'ongwe kabla ya Samia hajaapishwa, si ni mhaini, mnajibaraguza nini sasa?
Shukrani kwa Wadau wa Dunia nzima waliopambania Jambo...
TUndu Antiphas Lissu: Kipindi cha kampeni 2020, NRNE Ngorongoro nk👇🏻👇🏻👇🏻
https://youtu.be/UjhUlWn9AWw?si=AjaMF-uSY3zahosL
Samia Suluhu Hassan: Katika maeneo tofauti tofauti: Bariadi, Morogoro nk👇🏻👇🏻👇🏻
Kesi Yangu ya Uhalifu wa Uhaini ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania
Na Tundu Lissu
28 Agosti 2025
Uhaini unastahili adhabu ya kifo. Serikali inalenga sio tu kumuua mtu, bali pia kuua wazo: wazo kwamba Watanzania wanastahili uchaguzi huru na wa haki, viongozi wanaowajibika, na nchi...
Kwa mwaka mmoja tu uliopita, mtu angekuambia CHADEMA itakuwa kama ilivyo leo ungebisha sana. CHADEMA imefanya some strategic blunders ambazo zimekigharimu chama pakubwa.
Moja nikubadili uongozi wa juu katika mwaka wa uchaguzi, hata kama sababu zilikuwepo.
Pili, u-one man show wa kiongozi Tundu...
Sasa inatosha muachie Lissu..................Muachieni Lissu
Na marisasi yoooooooooooooooooooooooooooooote mwilini......hamuoni huruma!
Mbona Mtume (SAW) an advocate huruma kwa wenzenu?
Kwa sasa siasa na uongozi si kwa ajili ya nchi tena, ni kama ajira au biashara nyingine, Serikali ilio madarakani imeajiri watu wengi ambao ajira zao zinatokana na chama kilicho madarakani, kwa sababu hii, na baada ya kuona kua wanaweza fanya chochote kwenye figisu na hakuna impact, ni ngumu...
Wanamiliki fedha zote, wanamiliki vyombo vyote, wanamiliki Taasisi zote, wanamiliki mali nyingi lakini bado wanakuogopa. Bado unawatisha na wanatishika.
Atukuzwe Mungu mkuu aliyekupa uwezo huo.
Mungu aliyeanzisha nia hiyo ya ukombozi wa Nchi hii ndani yako, yeye mwenyewe na akaikamilishe nia...
Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi...
Hamjambo!
Lisu anasifika kwa Umahiri katika taaluma yake ya sheria. Hivyo kusema Lisu ana akili za kisheria hutokuwa umekosea.
Lisu anapenda ukweli jambo ambalo linamfanya aitwe roporopo na Mahasimu wake au watu ambao anagusa interests zao.
Lisu anapenda kupigania Haki, huo inamfanya awe...
Wanabodi
Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi.
Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
Raisi wa TLS na huyo Kadinali wa Katoliki watakuwa wamempa Mama hii advantage bila wao kujua.
Kumuachia Lissu bila kuonekana kuna watu wamemuomba Mama ingekuwa ni fedheha kwa watawala kuwa wamesalimu amri kutokana na pressure iliyopo na zaid Lissu hakusalimu amri
Subirini kuona Lissu anaachiwa...
Swali gumu la BAWACHA kwa Polepole, "Tutajie pia waliompiga Lissu risasi, tunakushukuru kwa mambo mengi unayotuambia"
===
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amemshambulia vikali aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP.
Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za...
Ukiwa unaitaka imwachie akakae na mkewe, nataka kukujulisha Polepole yakuwa Tundu Lissu hapiganii Haki ya KUWA huru akakae mkewe yeye anapigania awe huru tuingie BARABARANI tukaitoe CCM madarakani.over
Ukome kumtamka, au ukimtamka mtamke kwa adabu
Wakuu,
Hii hapa video kipindi Lissu alipokuwa anaongelea kuhusu mikataba ya madini ambayo Kikwete akiwa Waziri alisaini kabla hajawa Rais akisema anapaswa kuwajibika kwenye mikataba hiyo kwani aliisani kipindi ambacho siyo Rais, hivyo anaweza kushatakiwa kwakuwa hakuwa na kinga ya Urais...
Mwentekiti wa CHADEMA Taifa alipohutubia Wananchi wa Bamba Bay akataja kuhusu Makaa ya Mawe, hii ilikuwa Aprili 9, 2025, kilichofuata baada ya hapo....
Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao.
Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako na kiongozi wake kuu Bw. Tundu Lissu yupo jela. Hii...
"....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi hii, Ninaamini Kesi hii haiwezi kuisha kwenye mkondo wa kisheria, Kesi hii ni ya Kisiasa, Hivyo...