tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Jamhuri vs Tundu Lissu: Tafsiri ya Shahidi na Ushahidi

    1. Vita ya Tafsiri: "Shahidi" vs "Ushahidi" Hapa ndipo kiini cha pambano kilipo. Hoja ya Katuga: Anasema kifungu cha 308 kipo kumlinda mshitakiwa asishtukizwe, hivyo wanatoa taarifa (Notice) ili kuleta mambo mapya ambayo hawakuyaingiza mwanzo kwa shahidi yuleyule (ACP Mahamba). Jibu la Lissu...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mahakama ikikubali kupokea Notisi inayoongelea mauaji ya 29/10, itabidi watuambie nani aliruhusu Watanzania kuuawa

    Waheshimiwa Majaji, Wanataka tuzungumze mambo ya October 29 mtakuwa mmefungulia balaa jingine na isije ikawa shida. Mkifungua huo mlango tutaenda huko. Tutazungumzia mauaji ya kimbali na tutaulizana nani aliyeua watanzania. Hii kitu haina mashiko. Are they ready? Mimi niko tayari. Isiruhusiwe...
  3. JamiiForums Tanzania Heche: Nimezuiwa kuonana na Mwenyekiti Tundu Lissu Gereza kuu Ukonga kinyume cha sheria

    Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA "Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti… Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo. Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katuga unajisikiaje?

    Ukiwa upo katika swaumu huku ukiwapngoza mashahidi kesi ya Lissu?
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu akiwa kizimbani: Ninachukizwa na nyie mapandikizi ya Polisi mnaletwa hapa halafu mnafichwa ndani ya Kizimba

    Wakuu, Uzuri wa Lissu huwa hakwwepeshi. Yaani hanaga chujio anawachana hapo hapo Huyu shahidi kaharibu hadi Lissu kaonesha kabisa hapendezwi na kinachoendelea ========== Mhe. Lissu: umesema kwamba wewe kazi yako ni dereva wa boda boda kweli si kweli? Shahidi wa kificho P3 : kweli Mhe...
  6. JamiiForums Tanzania Februari 19: Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu inaendelea leo. Shahidi wa 12 anatarajiwa kuzungumza leo

    Wakuu, Kaeni karibu na uzi huu ili mpate updates ya kinachoendelea leo kwenye kesi ya leo Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani lakini Majaji na Mshitakiwa bado hawajaingia. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amefikishwa tena kizimbani tayari kwa kuvaana na mashahidi wa upande wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu: Wachache wahudhuria mahakamani kwa sababu ya mvua, Kesi yaahirishwa baada ya Jamhuri kuwa na shahidi mmoja

    Wakuu, Tundu akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam ambapo leo kesi ya uhaini inayomkabili itaendelea Dada wa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili mdogo ake...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu sasa aekuwa Mwanasiasa maarufu zaidi Barani Afrika

    Sijawahi kudhani baada ya Nyerere kutakuja kutokea Mtanganyika mwingine Ambaye atakuja kuwa Maarufu kwa kiwango hicho Kumbe nilikuwa nimepofushwa, Leo ni Lissu Taarifa zingine zinaeleza kwamba hakuna Mwanasiasa yoyote wa eneo la Maziwa Makuu anayemfuatia kwa karibu , hata wale wanamfuatia...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa sisi Wakristo, Tundu Lissu ni mfano hai wa umuhimu wa kuishi maisha yenye saburi

    Kwenye Biblia Takatifu, waraka wa Pili wa Petro 1:5-6, imeandikwa hivi: ... katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maanifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa ... . Neno "saburi" kwenye Biblia, limekuwa likitumika kumaanisha...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atinga na bakuli la chakula Mahakamani

    Wakuu Leo Lissu ametinga na chakula kizimbani na kusema maneno haya, "Una chakula cha kutosha kila kheri" Wakili Peter Kibatala akizungumza na Lissu kabla ya kesi kuendelea hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
  11. JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri wasiopungua watatu wangojewa

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo, Februari 17, 2026, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam. Leo kesi hiyo itaendelea kusikilizwa mfululizo katika hatua ya ushahidi, ambapo tayari mashahidi wanane wa Jamhuri wameshatoa...
  12. JamiiForums Tanzania Anachofanya Tundu Lissu ni Udhalilishaji mkubwa sana kwa Serikali na Jeshi la Polisi. Azuiwe asiendelee

    Baada ya kuwa namsikiliza Tundu Lissu kwenye hii kesi yake. Nimegundua mambo mengi sana. Nimeona huyu jamaa sasa ndo anafanya Uhaini na Ugaidi live kabisa. Yaani Serikali yote anaivua nguo. Yote kuanzia Juu kabisa mpaka hapo anaonesha kuwa majority hawana akili na ni vilaza sana. Inashangaza...
  13. JamiiForums Tanzania Quick question

    Wikend kama hii umeamua kuitoa out familia yako. Let's say umewapeleka mlimani city hivi. Katika mizunguko mle ndani, watoto zako wa kike wanaomba uwapitishe washroom. Mkifika, wanaingia ndani. Kidogo unaliona shoga mbavu linaelekea toilet walipo wanao
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afanywa Mtaji na Vijana wa CHADEMA?

    Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya ku question mambo ambayo ni critical ila wanaweza kuelekeza Matusi ya kila aina kwa Rais wa Jamuhuri...
  15. JamiiForums Tanzania JeTanzania Inahitaji Shujaa Kama Jerry Rawlings au Tundu Lissu Anatosha?

    Habari za Wakati huu; Kuna mambo ukiyatazama kwa mbali na hata kwa ukaribu huwezi kuelewa kabisa. 1. La kwanza ni hili la Tundu Lisu.Tundu Lisu amewekwa Gerezani takribani Mwaka mmoja.Amewekwa Mahabusu.Kesi yake inaonekana kabisa ni kesi isiyo na mashiko wala msingi.Ni kesi ya kubumba.Swali ni...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Watu wanahoji maridhiano, unaridhiana na nani? CHADEMA siyo tuvyama hutu twa mfukoni

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata mwenyekiti wako kwa kesi ya uongo.” Kauli hiyo ameitoa akielezea msimamo wa chama chake kuhusu wito wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu | Shahidi wa Siri (P6): Lissu alisema tunakwenda kuvuruga uchaguzi na kukinukisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, ljumaa Februari 13, 2026 inatarajiwa kuendelea na Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika kesi ya uhaini inayomkabili Kesi Yenye Na. 19605/2025 inayosikilizwa mbele ya jopo la Majaji watatu...
  18. JamiiForums Tanzania Suala la Lissu kunyimwa chakula na Magereza limegusa na kuumiza wengi

    Hivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui? Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana na timu kubwa ya Mawakili wa serikali na chakula unamnyima? Hivi watu wakishangilia vifo vya watu...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aachiwe huru sasa!

    Tanzania ilijengwa juu ya misingi ya haki, usawa, na heshima ya uhai wa binadamu. Lakini ni lazima tujiulize kwa ujasiri: Je, bado misingi hiyo inaheshimiwa? Je, Taifa linaweza kusonga mbele wakati haki inapokanyagwa, sauti kunyamazishwa, na uhai kudharauliwa? Leo, suala la kuachiwa huru kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ni uoga wa Oktoba 29, 2025 au nini kimebadilisha ukatili wa polisi kwa wafuasi wa CHADEMA Mahakamani?

    Tofauti na mwaka 2025 wakati kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu imeanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam na baadaye Mahakama Kuu jijini humo, mwaka 2026 kesi hiyo imeanza bila vitendo vya ukatili wa polisi kwa wafuasi wa chama hicho wanaohudhuria. Lissu alikamatwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…