tundu antipas lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu Mgonjwa kwanini anahangaika?

    Kwa mara ya kwanza CHADEMA imekubali kwamba Tundu Lissu ni mgonjwa na anatumia dawa. Wamekubali hili baada ya Lissu kukamatwa na kukaa saa 24 bila kutumia dawa zake. Inakuwaje mtu huyu ambaye ni mgonjwa anayerudi nchini Ubelgiji mara kwa mara kupata matibabu mnamtanguliza mbele katika jambo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akimuita Mbowe na uongozi wake kufanya mazungumzo ya masaibu yaliyowapata utamshauri vipi Mbowe?

    Swali ili limetokana na lawama ambazo watu wamekuwa wakizitoa kwa Freeman Mbowe kuwa kwanini alikwenda kwenye maridhiano na kwanini alipotoka jela alikubali kwenda Ikulu kwa Rais Samia. Kila mmoja ametoa mawazo yake na walio wengi bila sababu (reason). Sasa kwa hili la kuwaweka jela/mahabusu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mawakili wa Tanzania hatuwafikii Mawakili wa Kenya kwa hatua 100

    Wakili Msomi Tundu Antipas Lissu amesema Mawakili wa Tanzania hawawafikii Mawakili wa Kenya kwa hatua 100 Source: Mwanzo TV Plus. Soma zaidi: Uchaguzi wa Rais TLS: Nani kuibuka kidedea Urais TLS 2024?
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
  5. Synonyms MP

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda chama kipya cha Lissu kikasheheni watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof. Safari, Mnyika, Heche, Wenje na wale wote waliotoka CHADEMA kwa figisu

    Wasalaam, JF. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla ya kuanza harakati Tanzania nzima. Tayari baadhi ya watu waadilifu kama Dkt. Slaa, Prof...
  6. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

    Pafukapo moshi ujue kuna moto, Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti. Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama...
  7. Informer

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu: Historia na harakati zake katika siasa za Tanzania...

    Ndugu wana JF, Kwa kipindi hiki nimeona nivyema tukajikumbusha historia ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, akifanya mahojiano na mwadhishi wa habari Godfrey Dilunga mwaka 2011. Mtakumbuka kuwa Tundu Lissu anaendelea kujizolea umaarufu kutokana na umahili...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Leo ni miaka 6 tangu Tundu Antipas Lissu ashambuliwe kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa jasiri Tundu Antipas Lissu Zaidi soma - DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa...
  9. barafu

    JamiiForums Tanzania TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu

Back
Top Bottom