Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Inasemakana Ikulu ya Samia ilituma wasaidizi wake tena Gereza la Ukonga kuonana na Tundu Lissu
Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba mama yao yupo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano.
Mhe. Lissu aliwauliza: "....Anisamehe kwa kosa gani wakati...
Naanza kuona ujinga mkubwa sana kupigania maiti ambayo haijitambui
Mh Lissu, wewe ni shujaa sana tena sana na mpaka sasa hakuna binadamu yeyote Tanzania tangu nchi yetu kujipatia uhuru wake atakayefananishwa na wewe
Ila leo nimeamka vibaya, nimeamka nikiwa na huzuni kubwa kukuhusu, unaumia...
Kuna mtu makini sina shaka nae anasema waliotaka kumtoa uhai Lissu ni wale team mtandao walitumia chance ya kutokuelewana kwa Magufuli na Lissu wakataka kumtoa uhai Lissu wapate nafasi ya kumchonganisha Magufuli na wananchi maana na Lissu ni kipenzi cha wananchi ilo halina ubishi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimetangaza kuwa Umoja wa Mataifa kupitia Kikundi Kazi chake kimetoa uamuzi unaoitaka Tanzania kumuachia huru mara moja na kulipa fidia Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma...
1. Vita ya Tafsiri: "Shahidi" vs "Ushahidi"
Hapa ndipo kiini cha pambano kilipo.
Hoja ya Katuga: Anasema kifungu cha 308 kipo kumlinda mshitakiwa asishtukizwe, hivyo wanatoa taarifa (Notice) ili kuleta mambo mapya ambayo hawakuyaingiza mwanzo kwa shahidi yuleyule (ACP Mahamba).
Jibu la Lissu...
Nini kimewachosha mapema hivyo na kuwafanya kukata tamaa?
Au ni kwasababu ya nanma kibaraka lisu navyojitetea kilezy na kuashiria wazi kabisa kwamba hatoboi?
Ni wazi muungwana amechoka kimwili na kiakili, na kabisa nae amekata tamaa na anaona wazi kutiwa hatiani. Gharama za ubinafsi zinamtesa...
Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya ku question mambo ambayo ni critical ila wanaweza kuelekeza Matusi ya kila aina kwa Rais wa Jamuhuri...
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na...
Unaweza nawe kunisaidia kushangaa na kujiuliza maswali ninayojiuliza mimi kila inapofika wakati wa mchezo
Tundu ni moja tuu lakini ufundi mwingi, MB wen we kibao, style kamala zote! Hivi haya yote ni ili upate nini wakati shimo ni lile lile moja?
Mchezo huu wa gofu huwa unanifikirisha na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa...
https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_
HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma
Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida...
Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
Habari! Toka jumamosi iliyopita nikiwa safarini toka Nyumbani Tanzania Kwenda Ughaibuni niliko jishikiza kimaisha as Diaspora najisikia Ndani yangu kumuombea TUNDU A. LISSU.
Mimi sio mwanasiasa na Sina itikadi ya chama chochote Kile ila ninachojua Tundu Lissu ni Mmoja wa watu ambao Mungu...
Kuna chaka ambalo linataka kutumika katika maridhiano la kumuahidi Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu Tundu Lissu kama sehemu ya kumpoza na kurudisha imani ya Jumuiya ya Kimataifa ambayo kwa kika siku inayokwenda wanazidi kukaza kamba.
Hili chaka ka kuzawadia watu Umakamu wa Rais au Uwaziri Mkuu...
D.Trump (USA)- wafungwa wa kisiasa waliofungwa na communist maduro wameanza kuachiwa, thanks to D.Trump, ni swala la muda tu hata akina Tundu Lisu watafikiwa, tusife moyo to fight evil ...
Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani si kwa sababu watawala waliomweka huko wanataka aendelee kuwa gerezani.
Kubaki gerezani kwa Tundu Lissu sasa hivi kunawatesa sana watawala, laiti kama wangekuwa na njia ya kumwondoa huko bila ya kuonekana kuwa wameshindwa kumdhibiti wangefanya hivyo...
Ukweli upo wazi kuwa watu waliuwawa ili wanaCCM wanamtandao waendelee kuiba rasimali za nchi.
Kiongozi mkuu wa CCM akiri wazi kuwa hatukupoteza ndugu zetu kwa kufariki by natural death ila kwa sababu watu walishaukataa utawala wa CCM.
Tundu Lissu aachiwe sababu hakuna kesi. Mahakama iishasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.