tunataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    Rais Donald Trump karibu sana Tanzania. Tunataka JamiiForums ifunguliwe bila masharti

    Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe. Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika nilizopewa bure nakupa wewe uziendeshe kwa sharti la kulegeza masharti ya kupata VISA ya marekani kwa...
  2. Waufukweni

    Dada wa Lissu: Lissu hapendi kificho anaongea wazi, tunataka haki, hizo 4R za Rais ziko wapi?

    Mchungaji Rose Masesa, ambaye ni Dada mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia serikali anayoiongoza kuangalia upya kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake, kwani kwa namna anavyomfahamu mara zote Tundu...
  3. R

    Mwigulu: Tunataka kero ikifika ofisi ya serikali ipatiwe ufumbuzi, wanaopuuza watatolewa kazini

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema serikali inataka wananchi wanapofikisha kero zao katika Ofisi za serikali zipatiwe ufumbuzi...
  4. DuaZaMama

    PostGE2025 CHADEMA: Tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia

    "Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito " Mh. John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 11,2025...
  5. Prof_Adventure_guide

    Vijana Tumechoka Nonsense, Tunataka Haki Sasa!

    Sisi kama vijana tumevumilia changamoto hii kwa muda mrefu sana. Tumekuwa tukinyamaza, tukifanya kazi, tukijaribu kusukuma maisha, lakini kwa kweli mambo yamezidi kupindukia. Tumefikiria sana, tumeumizwa, tumelia kimya kimya, tumefanya kila juhudi iwezekanavyo—na sasa tumefikia hatua ya kusema...
  6. tonicimmobility

    PostGE2025 Prof. Kitila: Tunataka uwekezaji unaojibu shida za Watanzania hasa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imebainisha vigezo vitano muhimu vitakavyotumika katika kuchagua sekta za kimageuzi, hasa kwa ajili ya kuchochea kipato na kuongeza ajira kwa vijana, akisisitiza kuwa utekelezaji wa...
  7. Q

    PostGE2025 Gen Z Tanzania: Tunataka Serikali ya Mpito kabla ya Maridhiano

    Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari. - Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania. - Tunawaonya watu binafsi, makundi, na wengine wanaojitokeza kushiriki katika kiinimacho cha maridhiano...
  8. Z

    PostGE2025 Tumeshuhudia mauaji makubwa Oct 29. Ni kwanini tunataka maandamano tena wakati tunajua watu watapoteza maisha?

    Sote ni mashahidi maandamano ya Oct 29 yamesababisha vifo vya raia wengi na police. Sote tuna majonzi. Kwann Bado activist wanataka tuandamane December 9 ilhali wanajua kwa vyovyote vile serikali haiwezi kupinduliwa kirahisi. Yaani mnataka kupindua serikali lakini kufa hamtaki. Kama mnataka...
  9. H

    PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
  10. Genius Man

    Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi

    Wito kwa Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi bado kidogo tushinde.
  11. Genius Man

    PostGE2025 Haiwezekani unaiba kura halafu unakuja na maridhiano. Unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza, hatutakubali tunataka nchi yetu

    Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu. Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
  12. K

    Nchimbi hapana, tunataka mtu ambaye sio mwanasiasa

    Eti wanataka wampe Nchimbi hapana tunataka mtu wa serikali ya mpito asiye na chama chochote ili tuweze kuandika katiba. Hatuwezi kumtoa Mama na kuacha mwana mtandao mbaye wenyewe ndiye wamtakae kuliko hata Samia
  13. Genius Man

    Wale aliokuwa anawapakiza kwenye mafuso nao wanasema tunataka nchi yetu

    wale aliokuwa anawapakiza kwenye mafuso nao wanasema tunataka nchi yetu
  14. Chizi Maarifa

    Viongozi Yanga tunataka mtuletee Soup na Chapati Uwanjani pamoja na Maji

    Naomba niweke hili ombi ili tuingie uwanjani mapema basi watuletee supu chapati mida ya saa 5 asubuhi. Hii itatuhamasisha sana na kutupa roho ya kuishangilia team. Pia tutaweza kuja kwa wingi uwanjani. Hersi pambania jambo hili. Maana naona kama mnajisahaulisha kuwa mashabiki tutakuja hapo...
  15. October 2pm

    Polepole bado yupo tunataka ashuhudie usaliti wa watu wake. Alifanya kazi na nyoka

    Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania...
  16. Masalu Jacob

    Jiji la Mwanza: Tunataka huduma ya mwendo kasi (Mwanza Rapid Transport)

    Habari Tanzania ! Nawaomba sana maana kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri wa Umma Mkoa wa Mwanza. Mwanza ya sasa sio ile ya zamani; maana kuna idadi kubwa sana ya watu na watu wanateseka kwa usafiri maana mwendo kasi vyombo vya usafiri ni mdogo na vyombo vingi ni chakavu sana. Wenye...
  17. Mashamba Makubwa Nalima

    Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  18. DuaZaMama

    GE2025 Samia: Tunataka maendeleo yaletwe na watu wenyewe

    "Maendeleo tunayoyataka ni maendeleo ya watu, yaletwe na watu wenyewe, yaendelezwe na watu wenyewe, yawafuate watu kule walipo. Hii ndiyo maana halisi ya uchumi jumuishi." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini
  19. Mto wa mbu

    Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

    Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na...
  20. Satirical Yet Awesome

    Naona Masheikh wamehitilafiana huku, sisi tunataka wali wao wanakichafua.

Back
Top Bottom