tunakwama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

    Hatimaye maandamano yasitishwa. Somo limeeleweka. Ruto kaona umuhimu wa kuongea. Sisi tuendelee kusubiria maembe kwenye mnazi. Raila agenda ni zile zile: Bila kukomaa itakuwa mwendo wa kulialia tu kama kwetu. Siri ya mafanikio yao ni uwepo wa nguvu ya umma ya uhakika. Pia soma > RAILA...
  2. Wake Up Call. Tanzania tunakwama wapi? Tumekubali kubuzurwa na watawala wa ovyo?

    Mods msije kufuta uzi mtakua mmenikosea (mmetukosea) haki ya kikatiba na tutafika mahakamani ikibidi. Ujerumami wanadai kuongezewa mishahara Germany 'mega strike': Public transport network halted over pay Ufaransa wanaandamana kukataa kubadilishwa sheria ya mafao...
  3. B

    Makamanda tunayo ya kujifunza kwa Raila Odinga

    Yapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu: 1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira. 2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda. 3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati. 4. Hakuna nguvu iliyo kuu...
  4. D

    Watu weusi tunakwama wapi?

    Jana France imeumizwa na watu weusi kama ilivyoumizwa england mwaka jana. Nashindwa kufahamu tatizo ni nini, siku zote pakishakuwa na mikwaju ya penalty ukiona wabantu wanasogelea sogelea mpira ni maharibiko tu yatakayotokea. Hivi ni kweli kuwa mtu mweusi amelaanika?
  5. Miaka 61 ya Uhuru: Japo Tumefanikiwa sana kielimu, shule, vyuo na wasomi (Madaktari na Maprofesa kibao), mbona bado adui ujinga yupo? Tunakwama wapi?

    Wanabodi, Makala ya Jumapili ya leo. Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
  6. Hivi sisi wala mihogo tunakwama wapi?

    Wakati wenzetu wakiendelea kuchanja mbuga huko kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, sisi wala mihogo kila siku ni visingizio na kutamba kumfunga Simba na unbeaten kwenye ligi ya mchongo. Sisi mashabiki lia lia wa mihogo fc tumechoka hii hali tunataka nasisi tuwe na mafanikio...
  7. M

    Uto wajiuliza: Tunakwama wapi, mbona wenzetu wanasonga mbele kiulaini?

    Kwanza uto sikieni: Simba siyo wenzenu! Simba ni daraja jingine kabisa! N kuikosea adabu Simba kusema ni wenzenu! Niwasaidie mnapokwama: Huku CAF hakuna cha bahasha! Huku unabebwa na uwezo wako wa soka, mmenipata?
  8. SoC02 Watanzania tunakwama hapa

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi nyingi zilizoko kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zimepiga hatua kubwa katika suala la utoaji wa elimu kwa watu wake. Kwa miaka ya hivi karibuni, tumeshubudia mabilioni ya fedha yakiwekezwa kwenye sekta ya elimu ambapo tumeona ongezeko kubwa la...
  9. Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa. Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia nitumie android studio nikainstall android studio kwenye computer nikajaribu kutengeneza weather forecast...
  10. Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri. Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani...
  11. B

    Nchi nyingine zinapowahami watu wao, sisi tunakwama wapi?

    Matatizo duniani hutokea. Ni wajibu wa Serikali kuwahami watu wake kwenye nyakati za shida: Kama si hivi serikali itakuwa na umuhimu gani? Wenzetu kama sisi hawa hapa: Kwetu pamoja dhahabu yetu kuendelea kupanda bei: Mafuta kupanda bei vilio, kwanini si vicheko Dhahabu ikipanda? Mama...
  12. B

    Siasa za chuki: Tanzania tunakwama wapi?

    Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo: "Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
  13. B

    Maridhiano: Zanzibar wanapofanikiwa, Bara tunakwama Wapi?

    Ilikuwa kwenye uzinduzi wa Maalim Seif Foundation ambapo majina mazito mazito pia yalikuwapo. Walikuwapo kina Samia, Hussein Mwinyi, Othman Massoud, Jussa nk katika wanao matter kwenye siasa za Zanzibar. Hotuba za kusisimua zikitolewa na waliokuwa mahasimu kweli kweli. Ikumbukwe tumetokea...
  14. B

    Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

    Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi: Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi. Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025? Kwanini Makalla asiwe tayari kuachia ngazi na kwenda kujiajiri? Kwanini yasipunguzwe maslahi serikalini...
  15. M

    Hivi wanaume wenzangu tunakwama wapi? Yaani unacheza upatu na mchepuko wako halafu unataka akupe hela kamili/yote

    Daah! Hii dunia ngumu sana ukiifikiria sana unaweza kulia kila siku. Maana kuna mambo mengine yanachekesha. Hivi mtu yuko serious kabisa anacheza upatu na mchepuko halafu anapanga malengo na bajeti kabisa akipokea mchezo afanye jambo fulani. Huku kuna jirani yetu kashapigwa za uso, mchezo wako...
  16. B

    Rais wa Zambia kama Rais wa Watu, Sisi Tunakwama Wapi?

    Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha: Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁. Si mnakubalika? Si...
  17. Sijui tunakwama wapi Watanzania!

    Nimekua nikisikiliza media mbalimbali kubwa duniani kama vile BBC, VIOA, DW, Aljazeera n.k ambazo zina endeshwa kwa kiingereza. Kwa muda wote huu, media hizi zimekua zikifanya coverage kubwa katika nchi nyingi barani Africa tofauti na nchi yetu, Tanzania. Nimekua nikijiuliza sana mbona kuna...
  18. B

    SoC01 Tubadili mfumo wa elimu ili tulete mageuzi nchini

    Elimu ni ukombozi wa umaskini, hii nukuu kutoka kwa baba wa Taifa mwalim Nyerere, kutokana na kwamba Elimu iwe lazima na bure kwa kila mmoja awe na haki ya kuipata ili ajikomboe kiuchumi na kifkra. Lakini leo hii tunapoizungumzia Elimu Tanzania imekua ni taasisi moja isiyokua na uwezo tena wa...
  19. ATCL tunakwama wapi katika azma yetu ya kuwahudumia wanyonge wa nchi hii?

    Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo. Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili. Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania...
  20. Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Anaandika Dotto Bulendu Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…