tume ya jaji chande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yaikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, yadai ni njama za kuficha ukweli, yataka uchunguzi wa kimataifa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla wake ripoti iliyowasilishwa leo tarehe 23 April 2026 na Tume hiyo chini ya Jaji Mohamed Chande...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Ni sisi tuliopoteza watoto wetu, haiwezekani asiye Mtanzania awe na uchungu zaidi yetu

    Rais Samia akipokea ripoti amesema; "Kwa desturi ya waungwana, linapotokea jambo la hasara na kuumiza mioyo, matarajio ni kufarijiwa badala ya kuzodolewa kwa vyovyote vile. Kwa vyovyote vile, walioumizwa na tukio lile ni sisi Watanzania. Ni sisi tuliopoteza watoto wetu, ni sisi tuliopoteza ndugu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Leo ndio siku ambayo Tume ya Jaji Chande inapanga kuwasilisha taarifa yao ya uchunguzi (findings) kuhusu vurugu na yale yaliyotokea siku ya Uchaguzi M

    Tume ilipewa majukumu 6 kwa mujibu wa hadidu za rejea (ToRs) mara baada ya kuundwa kwake ambazo ni; 1. Kuchunguza na kubainisha chanzo halisi cha ghasia zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 na katika siku chache zilizofuata; 2. Kuchunguza madhumuni ya msingi...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge: Nina imani kubwa na Tume ya Jaji Chande. Ripoti ya kesho itaenda 'kuponya' Watanzania

    Wakuu, Nakumbuka hata kipindi kile cha Uchaguzi MaCCM yalitumia mbinu hizi hizi za kutumia watu maarufu kuhalalisha Uchaguzi ila kilichotokea hadi leo hawaamini Ni lini CCM itakubali kwamba Generation imebadilika and that kutumia watu maarufu ilikuwa ni trick ya zamani sana ambayo sasa hivi...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kesho si siku ya kawaida: Ripoti ya Jaji Chande yabisha hodi. Joto limezidi kupanda

    Kesho, tarehe 23 Aprili 2025, si tarehe ya kupita kimya kimya kwenye kalenda ya taifa—ni siku ya maamuzi, siku ya ukweli, na huenda ikawa siku ya kutikisa mizizi ya siasa za nchi yetu. Ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande hatimaye inawekwa hadharani, na tayari upepo wake...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Taswira kubwa ambayo naiona hapa ni namna gani tunaiambia dunia kwamba tuna uwezo

    Taswira kubwa ambayo naiona hapa ni namna gani tunaiambia dunia kwamba tuna uwezo wa kushughulikia changamoto zetu na kuzipatia ufumbuzi. Jaji Mkuu Mstaafu Wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma Mjumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Chande kujikita katika madhara tu na siyo Makosa, walioikataa waliona mbali sana

    Guys guys Kweli waliosema hii tume ni sawa na mwanaume ajichunguze mwenyewe kama ana mchepuko imedhihirika wazi wazi kabisa. Hii tume inatarajia kutuletea madhara tu wala si kusema nani aliokosea ah aha haha ha 😆 😄 😅 . Sasa kama haitaiona Makosa si yatajirudia tena? Yaanai KUTEKA. KUUA na...
  9. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nshala: Tume ya Jaji Chande kuchunguza matukio ya Oktoba 29 ni batili na haramu tokea ilipoundwa, chochote kitakochotolewa nayo ni batili

    ANAANDIKA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA DR. Rugemeleza Kwa vyovyote itakavyotolewa na kusema Tume ya Jaji Chande Othmani Juu ya Vurugu na Mauaji ya October 29, 2025 ni batili na haramu tokea ilipoundwa. Kwa sababu zifuatazo: 1.⁠ ⁠Imeundwa na Samia Suluhu Hassani ambaye ndiye mtuhumiwa namba...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Danadana za Tume ya Jaji Chande na matokeo yanayotarajiwa

    Tangu Tume ya Uchunguzi wa matukiuo ya Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ilipoanzishwa Novemba 20, 2025, watu waliitilia shaka utendaji wake na kwamba haiwezi kuwa huru. Tume hiyo inaongozwa na Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akisaidiwa na wajumbe saba (7): Profesa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LHRC: Tume iache danadana; Watanzania wanahitaji uwajibikaji

    Siku chache baada ya taarifa ya Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuongezewa muda kwa mara ya pili, baadhi ya wadau wa masuala ya utawala bora na haki za binadamu, wakiongozwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Twaweza...
  13. L

    JamiiForums Tanzania UN yaonyesha tena matumaini makubwa Tume ya Jaji Chande

    Geneva, Uswisi: Msimamizi maalumu wa Umoja wa Mataifa (UN), Gina Romero, ameisifu Tanzania kwa kuunda Tume huru ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba, kuwa ni uthibitisho kujali haki za binadamu. Gina aliisifu Tanzania mjini Geneva, Uswisi, Machi 12, alipofanya majumuisho ya mada kuhusu: Ukweli na...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi watanda, Tume ya Jaji Chande ikikamilisha ripoti yake

    Wakati muda wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ikikaribia mwishoni katika uchunguzi na kutoa ripoti yake, Watanzania wana kiu ya kuona ripiti hiyo itakuja na majibu gani. Tume hiyo iliundwa Novemba 20, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kuwepo kwa...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waeleza matumaini yake kwa Tume ya Jaji Chande

    Mtaalamu Maalum wa United Nations kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani na kujumuika, Gina Romero, ameipongeza Tanzania kwa kuunda tume huru ya uchunguzi kuhusu matukio ya vurugu ya Oktoba, akisema hatua hiyo inaonyesha dhamira ya nchi hiyo kulinda haki za binadamu. Romero alitoa kauli...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa: Ikitokea Umeitwa Mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani?

    Wanabodi, Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Nilipendekeza iundwe Tume ya Kijaji, ingepunguza kelele za ICC kuliko tume ya Rais matukio ya Oktoba 29, 2025

    "Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji. Sasa kama ilivyo mambo mengi labda haikueleweka tangu Tanzania iundwe haijawai kuunda na tume ya kijaji...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ACT Wazalendo, ilikutana na Tume ya Jaji Chande na wakaomba isipigwe picha?

    Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yakutana na Jaji Warioba kujadili matukio ya Uchaguzi wa 2025

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba. Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika...
  20. K

    JamiiForums Tanzania ITV: Waliopigwa risasi na kuuwawa mnamo tarehe 29 Oktoba 2025 hawakuwa waandamaji - Tume ya Jaji Chande

    Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
Back
Top Bottom