tume huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watendaji wa Uchaguzi Mkuu wametakiwa kuitumia elimu baada ya kumaliza mafunzo yaliyoandaliwa na Tume Huru ya Taifa

    Watendaji wa Uchaguzi Mkuu wametakiwa kuitumia ipasavyo elimu waliyoipata katika mafunzo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi ikiwalenga waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchagyuzi ngazi ya jimbo. Rai hiyo imetolewa na mratibu wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Magdalena Rwebangira ametoa wito kwa Watendaji wa uchaguzi kuzingatia sheria, kanuni na miongozo

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia mchakato wa uchaguzi nchini Akizungumza akiwa Tabora wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji wa...
  3. 888I

    JamiiForums Tanzania GE2025 "Tutalinda Kura 2025" — Lakini Kwa Mfumo Huu? Hebu Tuache Kujidanganya

    Katika taifa ambalo mgombea kama Boniface Mwabukusi — sasa ni Rais wa TLS — anasimulia jinsi kura zake zilivyokusanywa, kupuuzwa, na mwisho kuchomwa moto huku akiambiwa “nenda ukalalamike popote,” mtu yeyote anayesema atalinda kura 2025 bila kutanguliza mabadiliko ya sheria na mfumo, ama...
  4. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Nani anadhani Nchimbi ndo tumaini lililobaki?

    Kwenye nchi ni lazima kuwe na watu ambao hata sisi tukipotoka wote bado wao watabaki kuwa tumaini letu kwa mawazo, ushauri, miongozo na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa. Maslahi ya taifa siku zote hushinda maslahi binafsi hivyo hivyo tunatambua kipi ni sahihi kwa kufanyika kwa sasa...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabadiliko wanayoyataka Watanzania ni kuwa katiba ambayo italeta tume huru ya uchaguzi na Wakurugenzi wa Halmashauri kutosimamia uchaguzi

    Alichosema Mwanasheria mkuu wa serikali juu ya No reform no election sio sahihi. Sababu mabadiliko ya sheria za uchaguzi yaliyofanyika 2024 hayajakidhi vigezo vya kuwa na tume huru ya uchaguzi. Tume huru ya uchaguzi ni ka ile ya Kenya ambapo mwenyekiti wake hateuliwi na rais. Uchaguzi hauwezi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini 'CCM' hawataki Tume Huru ya Uchaguzi wakati wana wanachama milioni kumi na tatu?

    Wasalaam ndugu. Sina kona kona nyingi cha msingi naomba kuelimishwa kwanini chama tawala na serikali yake hawataki tume huru ya uchaguzi? Juzi kati chama hicho kilitoa taarifa kuwa kina jumla ya wanachama milioni kumi na tatu. Pia kinajinasibu kuwa kimefanya mambo mengi ya maendeleo nchini...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Je baada ya kuwepo tume huru CHADEMA watakuwa na pendekezo jengine la kupigania?

    No Reform No Election ni dhamira ya fujo na Machafuko,nauliza tu ikiwa CCM ikakubali kuanzishwa tume huru je,CHADEMA itakuwa la lengine la kunadi sera zake?? Kuna nadharia tunaaminishwa lakini ukweli halisi hauendani na kinachozungumzwa. UZITAYAri
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA kinaomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kukijumuisha Chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu wa kihistoa Oktoba 2025 sasa?

    Chadema wameungundua nini sasa hata kiwatume viongozi wa dini na jumuiya ya kimataifa kuwaomba tume huru ya Taifa ya uchaguzi kuijumuisha chadema kwenye mchakato wa uchaguzi uliosalia kwa maana ya kwamba chadema nayo iwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, hali ya kua chama hicho hakina sifa na...
  9. 888I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) boresheni haya kwa huu muda uliobakia

    (Sehemu ya Pili – Mapendekezo ya Maboresho ya Kimuundo na Kiutendaji) 1. Uteuzi wa Viongozi wa INEC Kwa sasa, Rais ndiye mwenye mamlaka ya kuteua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, na Makamishna wa Tume. Hii inaleta wasiwasi kuhusu uhuru wa Tume, hasa ikizingatiwa kuwa Rais ni kiongozi wa chama...
  10. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yatoa wito kwa tume huru ya uchaguzi kuondoa zuio na utayari wa chama kushiriki uchaguzi mkuu 2025

  11. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu: Tume Huru ya Uchaguzi imeshatuambia uchaguzi upo, chama kinachotaka kwenda kiende

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wananchi kuwa makini na kauli zinazotolewa na watu mbalimbali kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, akisisitiza umuhimu wa kuchuja maneno na kulinda mshikamano wa taifa. Akizungumza katika mkutano wa hadhara leo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lini INEC itatangaza vyama vitakavyoshiriki uchaguzi?

    Naisubiri kwa hamu siku hiyo kujua vyama gani vitashiriki uchaguzi na vile havitashiriki uchaguzi. Mwaka huu Mimi na familia yangu tutashiriki kikamilifu kwenda kupiga kura ni haki ya kikatiba. Chama Cha kutukana watu naomba mtulie Mkinitukana nawatukana na Mimi. Mimi siyo mnyonge kama G55
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nyie Vyama vingine Upinzani , Huu mwaka ni Wa kuwapa Tume huru, CCM hawakubaliki. unganeni

    Ombi langu kwenu, Huu mwaka msiuache , msiuache ukapita Huu mwaka, CCM imebanwa na Mlango, inapumlia Mashine . Hizo nafasi 35 za kupewa, hazilingani na Nafasi ambazo mngepata baada ya Tume huru. Ukweli ni kwamba ni Asilimia 2 tu ya wabunge wa CCM ambao wakigombea katika Tume huru Mpya...
  14. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mwambegele kuzungumza na vyombo vya Habari, leo Mei 12, 2025

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, Mei 12, 2025 atazungumza na Vyombo vya Habari. Ngoja tusikie atasema nini. Je, ni kuhusu CHADEMA kujitoa, Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, mgawanyo wa majimbo au nao wameikubali no reforms no...
  15. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Ajira Tume Huru ya Uchaguzi ni kweli au utapeli?

    Salamu naomba wajuvi wa mambo mtusaidie hili kuna jumbe zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na link ya ajira za tume huru ya uchaguzi nimejaribu kuingia kwenye link tajwa ila naona kama inakuwa na utaratibu ambao sio wa kawaida kwani kuna sehemu inasema share to your contacts...
  16. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Bob Chacha Wangwe anasema wanao ondoka CDM hata kungkuwa na tume huru, haoni haoni wa kushinda

    Kuna ukweli hapa, sioni wa kushinda hata udiwani achilia mbali Ubunge.
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deus Kibamba: Katiba inasema Itakuwa ni marufuku kwa watu wanao husika na uchaguzi kujiunga na chama chochote cha siasa

    Mwanazuoni na mchambuzi wa masuala ya siasa, Deus Kibamba amesema kuwa kitendo cha mmoja wa Makamishna wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa na historia ya kuwa kiongozi mwandamizi wa chama cha siasa kunaweza waondolea wananchi imani juu ya usimamiaji haki kwenye uchaguzi. Kibamba...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki undeni (Parallel) tallying centre ili kujiridhisha na matokeo ya Tume Huru

    1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Jenerali Joseph Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani. 2...
  19. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, yaanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu la pili

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC Jaji Jacob Mwambegele amesema tume hiyo imeanza awamu ya pili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ikihusisha mikoa 15 mzunguko wa kwanza huku huku akiwataka wananchi ambao hawakuboresha taarifa zao awamu ya kwanza watumie nafasi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Lema na darasa la tume huru kwa vitendo ili lieleweke vizuri kwetu kijijini

    Katika jitihada za kuonesha ubaya wa tume inayoitwa huru, Lema anatoa somo maridhawa ili watu hata wa level ya chini wamuelewe. Nimeipenda sana
Back
Top Bottom