Kwa tuliowahi kuibiwa na ma dada poa au malaya tukutane hapa

Oct 14, 2013
81
48
NDUGU ZANGU...

Mnamo mwezi wa sita mwaka huu nikiwa nchini kenya.baada ya kuzunguka katika kaunti zake kazaa kikazi nikitokea dar es salaam tanzania (si mara yangu ya kwanza kwenda kenya) nimejikuta niko kaunti ya kisumu.nimekaa katika kaunti tangu tareh 20 mwezi wa saba,nimeondoka juzi tareh 16 sep....basi bwana nikiwa hapo kisumu nikaona siku moja niende hapo maeneo ya stend ya magar ya kwenda migor kuna sehem naijua wanapatikana ma dada poa nikasuuze rungu kidogo.

Kwa kawaida mimi hua nikichukua malaya sipendi kulala nae hadi asubuhi hupatana tu kwa round then aondoke ,au kama ni kwenye chumba chake hua nagonga tu mishindo yangu halafu nasepa...sasa bwana.. nimefika maeneo yale nikaenda hotel moja jirani nikachukua room halaf ndo nikawafata walipo.

,,,,,,,KILICHOTOKEA,,,,
Niliwakuta wadada wengi kama saba hivii nikamchagua mmoja ambae yuko sawa ,tukapanda kuelekea kwa gholofa ilipo room yake.na wakati huo tukifanya negotiation,tukakubaliana short moja ni mia tatu ya kenya ..basi bwana tukafika room na akaanza kuvua then akasema nimpatie kwanza pesa.nilitoa noti mbili za 1k nikampatia moja na nyingine nikaludisha kwa mfuko.wakati huo mfuko wa kushoto nina ksh 9k na sim yangu infinix na kweny line ya safarcom kuna ksh 49k na line ya pili ni Vodacom ina tsh 1ml .sasa bwanaa!!!

Nilivua suluali yangu pale chini yeye ndo akazikusanya nguo zote pamoja na zake akaweka juu ya meza kalibu na mlango then akajitupa kwa kitanda😄😄😄 mwenzenu mimi jamani mkoko tonombe yangu ilikua imekaza kama chuma so akiri zote zilihamia kwenye hiki kichwa kidogo.nilichohakikisha tu ni mashine imevikwa CD, nikapiga game moja matata sana ...yule dada ako na mashine nzuri jamani nyie usiombe kabisa. Basi bwana nilaliza hilo bao la adabu dada akainuka faster akaniambia chukua sim yako hapo kitandani...nikiwa nashangaa ohooo mala kashapotea.mmmmh kitandani sioni sim na mimi nakumbuka sim ilikua kwa suluali..palepale kengele ya hatari kichwani kwangu ikalia nikavua kwanza li condom na kulitupia chooni nikashika suluali yangu,waaaaah!!! Suluali ni nyepesi balaa,,,nikasachi mifukoni nilichokuta ni funguo za kule hotel tu.pesa na sim vyote havipo..ndugu zanguuuu!!! Nilishuka kwa stairs kama boya hivi akiri haisomi kabisa.kitu cha samani nilichokua nacho kwa mda ule ni mbupu tu nazo zimenywea mdani imebaki ngozi tu😄😄😄 ...bwana weweeeee!!!

Nimeshuka chini nikaanza kwenda kama naelekea sokoni akili imehama..mara kuna ki dada kinanishika bega na kuniambia "kaka sim yako hii" kugeuka nikaona ni sim yangu kweli ,nikachukua sim na nikataka kudadisi dada akakimbia kuludi alikotoka.jamani nyieee!!!

Nilikua nimelowa hasa MUNGU tu alisaidia.kama kuna mwingine kakutana na masaibu ya dada poa tupe story hapa.
 
Nilishawahi ibiwa na demu mwanza pale, nilienda lounge moja inaitwa la chica kupiga msosi kucheki mpira + kupiga gambe kidogo sasa kama saa sita hv nakaribia kuondoka akaja demu mmoja hv pisi kali akaomba nimnunulie msosi na kinywaji, nikamnunulia tukaendelea kunywa hapo pamoja na stori kidogo so wakati naondoka nikampa namba yangu na hela kidogo ili akimqliza kunywa aje hotel niliyofikia, demu alikuja nikapiga vyangu 3 sasa asubuhi saa 11 wakati najiandaa kuoga ili niwahi usafiri wakati nimeenda kuoga demu alinisachi kwenye wallet akachukua noti kadhaa mm nilivyotoka nikajiqndaa nikampa noti 3 pale ingawa nilijua amechukua so nilimkaushia tu nikasepa zangu
 
Usinikumbushe mkuu.
Niko zangu O-Level, nikijisikia kuwa na demu naenda kusuuza Buguruni. Siku hiyo najivinjari na changu chaka, kumlipa baada ya kufika mbele kujisachi mfuko wa suruali wa nyuma nakuta kifungo kimekatwa na hela zote 30,000 hakuna, nikawaza nikagundua ni yule changu, alinichomolea kipindi nakojoa. Kurudi kumtafuta huku na kule sikumwona, ndiyo mitaa yake ile, anajua vichochoro vyote
 
Back
Top Bottom