Ni muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa.
Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania iliamua kutumia mbinu zenye kuhatarisha maisha, kama kuruhusu mikusanyiko ya watu, kutokupima watu corona...