tukubali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Tukubali tumezidiwa tujifunze kutoka Kenya

    Tukubali tumeziwa tujifunze kutoka Kenya. Badala ya kuweka ushindani usio na sababu na majirani zetu na ndugu zetu wa Kenya kama taifa tungenufaika kwa kujifunza mazuri na kuacha mabaya badala ya kijidanganya kwamba tumewazidi. kuna mambo machache ya kujifunza 1. Katiba Mpya: Kenya pamoja na...
  2. Tukubali utawala wetu umeshindwa, umetuangusha, umejiangusha na kutia aibu

    Kwa yaliyotokea Tanzania mwaka jana ambapo, kwa mara ya pilli, watawala wetu wachovu na hovyo waliua watu wetu tokana na maandamano ya Oktaba 29 na kinachoendelea kwa sasa, ni dhahiri utawala wetu umechoka, umeshindwa, na hata kufulia. Umejaribu kutulisha udini uchwara na kushindwa. Umejaribu...
  3. Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  4. Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  5. Tukubali kuendelea kuuawa na majanjawidi wa CCM kama kuku au tujitetee?

    Kuanzia siku ya uchaguzi hadi leo Taifa limekumbwa na taharuki kuu kwenye eneo la kiusalama . Hakuna kinachoumiza moyo kama raia kupigwa na risasi walizozinunua kwa Kodi zao wenyewe ,haukuna kinachoumiza moyo kama raia kuanza kuishi kwa mashaka kwenye Taifa lao. Siku ya uchaguzi na baada ya...
  6. Hapa CCM tumekosea. Tukubali na tujirekebishe

    Na wenzetu tuwasombee watu wa kwenda kwenye Mikutano yao. It isnt fair kuwaacha ukiwa. Kama ambavyo tunajaza kwetu na Chauma nao wajaziwe watu. Tusiwanyanyapae wametusaidia sana.
  7. Tukubali tukatae, kutoshiriki mapenzi ni chanzo kikubwa Cha ugonjwa wa Afya akili

    Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo. Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla. Tukubaliane waanga wengi ni wao Muhimbili...
  8. H

    Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

    Habarini, Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini. Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
  9. Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  10. M

    Lissu ni kiboko kubali au kataa

    Ameshitakiwa katika mashitaka ya uhaini, ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali. Hajatetemeka, wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo...
  11. Ushauri , Sisi watu weusi mambo ya uongozi hatuyawezi tukubali nafasi kama Rais , mawaziri na makatibu wawe ni wazungu .

    Wakuu . Mimi nimetembea duniani kote USA UK France German N.k Tukubali tu kuwa sisi watu weusi mambo ya kutawala nchi hatuyawezi Ila tunachoweza ni kuwa chini ya utawala wa MTU Fulani . We are not organized Angalia nchi Kama Venezuela haina , Gas , haina mafuta Ila ni moja ya richest...
  12. Tumefanya hii kampeni ila lazima tukubali tunawajibu wakiingia barabarani kivyovyote vile

    Hawa jamaa wameshajilimbikizia mimali na kadri miaka inavyozidi kwenda wanazidi kutesa wananchi ni wajibu wetu sisi kama wananchi kuingia barabarani kivyovyote vile na hii ndio njia rasmi ya kudai haki mtandaoni tumeshawaweza ni mda wa kuingia barabarani na tutashinda tu wataobaki salama...
  13. M

    Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.

    Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike...
  14. Tukubali kukosoana tukiwa wamoja

    Tupo katika wakati mgumu kama taifa kwa sasa hususani kuhusu uzalendo. Japo sio mwana CCM kwa sasa lakini kuna jambo la kujifunza kwa M.W.L JK. Nyerere. Wakati Rais mstaafu wa Zambia Dr. Kaunda alipo wekwa remanded Rais mpya wa Zambia Frederick Chiluba. Jumuhiya kimataifa zilimpa jukumu rais...
  15. M

    Ndoa na mahusiano

    Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali anakiacha katika hali gani Yaani mwanamke sasa hivi anataka uhuru wa kiuchumi atatumia kila mbinu...
  16. Tukubali tukatae Yanga ni Walozi wakubwa

    Hapo juzi kulitoka Taarifa kwa Umma kwamba Yanga wamehama Chamazi kuja KMC Complex , hiyo ni baada ya Baadhi ya Video zao za Ulozi nje ya Uwanja kusambaa, na hata Zile Bomba za Sindano pia kusambazwa kwa Wingi. Unajua kwanini naamini kwamba Yanga ni Walozi, mechi za Simba Lazima aje kitofauti...
  17. Mambo Huisha,, Yawe mazuri hata kwa kiasi gani. Binadamu tukubali tu.

    Jambo lolote lile zuri, Unaloliona leo litafika mwisho tu. Tukubaliane na hali ili maisha yendelee. Wanaume tukubali tu. So usiwekeze sana nguvu na mali kwa mwanamke wako hata kama unamuona mzuri na mrembo kiasi gani.. Wanawake msiweke akili zenu na kujikita sana kwenye kuhudumiwa intensively...
  18. Tukubali tukatae, ila anayeiweza Wizara ya Afya ni Dr Faustine Ndugulile tu

    Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania. Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata...
  19. Je, Yanga tuinusuru Simba isipotee kama miaka ya 80 au tukubali kuhamishia upinzani kwa Azam(mtoto wa miaka ya 2008)

    Wakuu hasa mashabiki wa Yanga the Galactic of jangwani hali ndio kama mnavyoiona hapo Msimbazi ambapo mawazo ya team ni kama yamefika mwisho na rasmi mtani wetu wa mda mrefu sana anatumbukia shimoni. Kimsingi ni mdogo wetu wa kitambo Sasa CPWA Issa kaitisha press mbele ya frame usiku kaanza...
  20. SoC04 Tanzania tukitaka kuendelea tukubali ukweli mchungu na tuanze moja

    Habari za muda huu ndugu zangu watanzania, nimewaza sana na kutafakari ni wapi kama taifa tunaelekea maana ukweli usiopingika kuwa tunazama huku tukijifariji kuwa tupo katika njia sahihi. Tumeanguka katika nyanja nyingi lakini mie napenda niongelee moja au mbili, ambapo nitaanza na nyanja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…