tuhuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  2. JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa tuhuma za kuharibu fedha halali za Tanzania baada ya kuonekana akizifagia

    Jeshi la Polisi limemkamata Faustine Zakaria, kinyozi kwa tuhuma za kuharibu fedha halali za Tanzania baada ya kuonekana katika picha mjongeo akifagia noti alizokuwa amezitawanya sakafuni pamoja na nywele zilizotokana na shughuli za unyoaji na uchafu mwingine ndani ya saluni yake. Picha mjongeo...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kakamega: OCS akamatwa kwa tuhuma za kumbaka Msichana wa miaka 16

    Afisa mkuu wa Polisi katika Kaunti ya Kakamega amekamatwa na kuwekwa kizuizini baada ya kutuhumiwa kumuingilia kingono msichana mwenye umri wa miaka 16. Kwa mujibu wa taarifa za Polisi, OCS wa Kituo cha Polisi cha Lumakanda, Wycliff Kwendo, alidaiwa kuwaambia Wazazi wa msichana huyo kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

    Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha. Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo...
  5. JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mteja wake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia kijana mmoja anayedaiwa kuwa mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumbaka mwanamke aliyekuwa mteja wake katika Wilaya ya Mtwara. Mtuhumiwa huyo ametambulika kwa jina la Shafii Rashid, mwenye umri wa miaka 23 na mkazi wa Kijiji cha Nanguruwe...
  6. JamiiForums Tanzania Adv. Alute Mughway Lissu (kaka wa Lissu) akanusha tuhuma za rushwa ya Abdul na Samia kulazwa Sea Cliff Hotel chini ya ushenga wa Godbless Lema

    https://youtu.be/mSwjE0vLsH4?si=3rPplPdtVQr3X7j- Anasema: 1. Mara ya mwisho yeye kuwa DSM kwenye kesi ya mdogo wake ni tarehe 10 - 15/8/2026, akarudi Arusha nyumbani kwake na toka wakati huo amekuwa anaumwa na kuhudhuria matibabu ikiwemo kulazwa kwa siku 6 hospitalini... 2. Amemtaka mtu...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KSh100,000 Ili Kufuta KSh4.5M? EACC Yamnasa Afisa wa KRA Kisumu kwa Tuhuma za Hongo

    Afisa wa Kenya Revenue Authority (KRA), Hughes Obilo, amekamatwa Kisumu na Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) kwa madai ya kudai hongo ya Sh100,000 kutoka kwa kampuni ya ujenzi. Kwa mujibu wa taarifa za awali, fedha hizo zilidaiwa kuwa “facilitation” ili afisa huyo asaidie kuondoa tax...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gor Mahia Yatolewa CAF, Tuhuma za Match-Fixing Zaanza Kuibuka

    Gor Mahia imeondolewa kwenye CAF Champions League baada ya kipigo kizito cha jumla ya 7-1 dhidi ya Pyramids FC ya Misri, matokeo ambayo sasa yameibua maswali na tuhuma za match-fixing miongoni mwa baadhi ya mashabiki. K’Ogalo iliingia Cairo ikiwa nyuma kwa mabao 2-0 baada ya kupoteza mechi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

    Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
  10. JamiiForums Tanzania Mashahidi wa Lisu kutoka chadema HQ hawakua wamejiandaa ipasavyo au ni kiwewe cha kizimbani tu?

    Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua, je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga? Baada ya hukumu...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania River Kibos Chini ya Tuhuma za Uchafuzi: Wakazi Wataka NEMA Ichunguze Kibos Sugar

    Wakazi wanaoishi karibu na River Kibos, Kisumu, wanataka mamlaka kutoa majibu kuhusu madai mapya ya uchafuzi wa mto huo, huku wakitaka shughuli za Kibos Sugar and Allied Industries zichunguzwe na sheria za mazingira zitekelezwe. Lakini ukifuatilia rekodi, swali linakuwa kubwa zaidi: Kwa nini...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Tuhuma za Bodaboda kumfanyia ukatili Mwanafunzi wa Darasa la 3, Jalada tayari lipo kwa Mwanasheria wa Serikali

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho zaidi kuhusu mtuhumiwa inayesemekaa ni Dereva Bodaboda anayedaiwa kumfanyia ukatili wa kijinsia mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kisha kuachiwa akiendelea...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna anayependa Jeshi lake lichafuke. Nimewalinda ndio maana nimewabadilisha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wakuu wa mikoa walioteuliwa na kubadilishwa vituo vya kazi kwenda kujirekebisha na kuwatumikia wananchi ipasavyo. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na...
  14. JamiiForums Tanzania Msigwa: Tuhuma za Tanzania kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Zambia sio za kweli ZIPUUZWE

    Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na imeanza kuyafuatilia kupitia njia za kidiplomasia. Tuhuma hizo zilitolewa na mgombea urais wa chama...
  15. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula aitaka Serikali ya Tanzania itoe maelezo kuhusu tuhuma dhidi yake kupeleka watu kusaidia kupora Zambia!

    Ndugu Watanzania! Nchi yetu imeingia katika dimbwi la matope na kinyesi. Tanzania inatuhumiwa kupeleka watu kwenda kusaidia kupora Uchaguzi wa Zambia kumsadia Hakainde Hichilema anayesadikika kuwa ameshindwa Uchaguzi ili aapishwewa kuwa Rais wa Zambia kwa muhula mwingine. Mgombea wa upinzani...
  16. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi zimepunguza kasi ya uropokaji wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa.

    Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Wanausalama wa Barabarani Mkata hizi tuhuma za rushwa mnazisawazishaje? Mnaonea sana madereva wa Lori

    Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale wanakuweka mahabusu wanakutoa wanakupeleka kwenye chumba chao kuna askari. Katika hicho kituo...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe hii nyumba ya John Heche ndio ushahidi wa tuhuma wanazotengeza? Looh!.. hawa watoa tuhuma ni vilaza kwelikweli, hawamjui Heche wa nje ya siasa!

    Eti hiki kijumba ambacho actually is very contemporary sawa na ramani ya choo cha Shule ya Msingi Temeke Wailes ndio ushahidi wa mabilioni ya shilingi ambayo wanadai John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameyatia mfukoni mwake na kuyatumia binafsi kujengea kama... Haya ndio madai ya chawa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Heche, dawa ya tuhuma sio wanawake kukufariji ni kujibu tuhuma na kupisha uchunguzi

    Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako. Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha...
  20. JamiiForums Tanzania Tuhuma za ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa, zazorotesha hali na mwenendo wa uchangiaji fedha kwaajili ya baraza kuu taifa Sept.15,2026.

    Wana chama wengi wa chadema, pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa. Na, kwa mvurugano wa chini kwa chini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…