Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
Kuna mahali nadhani tunaparuka! Kwa mamna ya kauli za baadhi ya wabunge jana inaonesha dhahili kuwa hawako upande wa wananchi zaidi ya kuwaza matumbo yao!
Nadhani hawa tunawamudu kiurahisi mnoo majimboni kwanini tusianzishe mchakato majimboni kwa namna yoyote ile ili mradi tu na wao waipate...
https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=S5Qr178OFL9BN_5w
Mzanzibari, Haji Omar Kheir swaiba na mshauri wa Samia kwenye masuala ya kisiasa aingie kwenye orodha ya wataowajibishwa kwenye mauaji ya maelfu ya watanzania yaliyofanywa na serikali.
Hakuna wa kusamehewa hakuna kusahau.
Lazima avae karoti!!
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, amejiapiza kumkamata Mwanaharaakati Mange Kimambi.
Ila kuna watu wepesi ambao angeanza nayo, ambayo hayaitaji Majadiliano na Serikali ya Marekani
Tunaomba Uwakamate waliomteka Mdude na Polepole. Pia wafikishwe mahakamani waliomuua Mzee Kibao.
Hapo kweli ndo...
Haina haja ya salamu wala maelezo Mengi
Milard Ayo
Diamond Platnumz
Hawa kwa kuanza nao, naagiza akaunt zao zibaki na follwers na subcribers chawa wenzao. Wengine wote tukawa-unfollow na tujiondoe kwenye accont zao za youtube.
Haiwezekani tunasema tunamachungu na hasira halafu bado...
Nchi ya Kolombia inajulikana kwa makundi mengi ya mauaji. Ukweli ni kwamba moja ya sababu ni kama haya yanayofanywa na CCM. Ni hii hali ya serikali kuendesha mauaji kwa wanaotetea haki za raia.
Hali iliyopo Tanzania Mahakama zinatumika vibaya, Polisi wanatumika vibaya, Tume ya uchaguzi...
Tusiwe wanafiki.. au kwa vile palestina ipo live aljazeerq basi ndio sisi akina baba+mama huruma tunajikuta tunawasikitikia wa Gaza ila wa hapa kwetu ndani ya bara la Afrika hatuwaoni sio? Tuacheni unafiki.. hata hapo Sudan kuna wa Afrika wenzetu wanakufa na njaa... yeah CHARITY BEGIN AT...
Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote .
Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye .
Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa .
Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani
Je...
Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha.
Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
Mipira imeisha
Pesa za Abdul zimeisha
Chauma imedoda
ACT imedoda
Tumezunguka uwanja wee Sasa tumerudi kwenye original starting point ya Chadema.
Ni Kama tulipoteza muda wetu bure na makusudi
Usanii wote na mamipila yenu kuwapumbaza Watanzania yameisha Sasa.
Tunahitaji reform sasa buddy...
Hii serikali ya inajipambanua kutumia mabavu kujibu hoja.
Baada ya kitima kushambuliwa pengine inafikiria kuifungia taasisi kongwe kwa kujihusisha na sisasa, wakatolik tupewe taarifa mapema ili tuhamie kwa mwamposa kama mnavyotaka.
Wakati wa Rais Magufuli alizoea sana kusema tumwombee. Tuliomba badala ya kumwombea. Bwana akajibu maombi.
Sasa kuna mtesi mpya. Tena huyu ni zaidi ya yule aliyetangulia. Serekali yake inauza kila kitu cha wananchi.
Kubebesha watanzani mizigo ya madeni kwa kukopa huko nje. Sasa anatesa...
Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6,
Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki.
Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba
Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
Vita ya Mungu na shetani ilianzia huko mbinguni, Mungu kashindwa kumuangamiza shetani akiwa nae huko huko mbinguni ila kamtupia huku duniani sisi binadamu viumbe dhaifu ndio tupambane nae.
imagine mfano upo Baba unaishi na familia yako, ndani ya chumba chako baba anatokea nyoka ambaye...
Tumekua tukishare ideas mbalimbali, ni muhimu kufahamiana japo kwa picha unashanga siku umeenda kijijini Mpwayungu unapokelewa vizuri na Faiza 🦊 Fox....... Tuanze sasa mm yakwangu ntapost mwishoni
Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali.
Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.