tuachane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    Mungu ndiye aliyetulazimisha waafrika tuachane na majina yetu ya Asili?

    Hivi mtu hawezi kuwa Muislamu safi bila ya kuitwa Hassan, Abdallah au Amour? Hivi kuwa Mkristo kuna uhusiano gani na mtu kuitwa John, Julius au stephano? Au Mungu wa wakristo na waislamu hapendi majina ya kiafrika hivyo akalazimisha kuwa ni lazima tutumie majina ya mataifa mengine? Siku hizi...
  2. Sam pizzo

    Watanzania tuamke, tuachane na Katiba ya Ujamaa (Socialism)

    Katiba ya CCM ni ya kizamani (ujamaa) na ndio inatuchelewesha kuendelea kwa spidi kama nchi.Ukitembea nchi za wengine imekua ni aibu kwa mtanzania,achilia mbali kutawaliwa na mwanamke maana hata kwenye Imani zetu dini zinasema mwanamke ni msaidizi wa mwanaume.Rasilimali zinaliwa na...
  3. Zero IQ

    Mke wangu amekuwa na tabia ya kusema tuachane kila tukigombana kidogo leo nimeamua tuachane kweli

    Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha, Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu , Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta, Tatizo kubwa lipo kwa...
  4. A

    Oktoba 2025 ifike tuachane na no reforms no election

    Ni kheri Oktoba 2025 ifike ili tutiki na kuachana na huu upuuzinwa no reforms no election unaoandikwa kila sehemu na kuomekana kama uchafu.
  5. NDOTO KAVU

    Watanzania wenzangu tuachane na mambo ya Gwajima ni msanii katumwa na CCM kuzima moto

    Ndugu zangu taifa la Mungu!!! Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakutengeneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia. Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na...
  6. ZILLIONAIRE

    Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

    Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!! Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu...
  7. Metronidazole 400mg

    TUACHANE KUANZIA LEO

    Ikitokea mwanamke/mwanaume mlikuwa mna date kwa mda TU ukamchoka ila unamlia timing ya kuachana naye, ghafla siku Moja anakutumia sms "KUANZIA LEO TUACHANE " Utamjibu Nini, au kama iliwahi kukutokea ulimjibu nini?? Mimi jibu nitakalompa/nililowahi kujibu nikiliweka hapa Mods lazima wanipige Ban...
  8. K

    Twendeni na Tundu Lissu tuachane na viongozi wanaoendekeza rushwa ndani ya chama

    Uchaguzi wa CHADEMA unafanyika mapema mwaka ujao. Mimi nawasihi Wana CHADEMA twende na Tundu Lissu tuachane na Viongozi wanaoendekeza RUSHWA ndani ya Chama. Tundu Lissu atakijenga Chama chenye weledi pasipokuwa na harufu ya Rushwa. Kama mgombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti ametajwa hadharani...
  9. Its Pancho

    Yanga tuachane na wachezaji wa Ghana kwa sasa ligi yetu imekua sana ...

    Wakuu. Nikiwa kama mwanayanga mbobevu ambapo ndugu zangu wote humu wananifahamu akiwemo comrade wa muda sana Tate Mkuu Binafsi natoa ushauri wa rais wetu Hersi . Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa ligi yetu imekua sana ushindani na ubora kuliko ligi nyingi sana hasa za West Africa. ⛏️⛏️...
  10. Y

    SoC04 Tuachane na itikadi ya uchumi wa amri au "command economy" ili tuelekee uchumi wa masoko huru au "free market economy"

    Habari Wanajukwaa wote! Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa. Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
  11. D

    Nimeamini Arusha ni ngome ya CHADEMA. CCM tuachane nayo!

    Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana. Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi...
  12. Chizi Maarifa

    Alitaka leo tuachane nimemkatalia katakata

    Huyu demu toka nimeacha kumpa pesa ameanza ujinga. Jan ghafla tu anasema tuachane. Nimemwambia aache huo upuuzi kabisa. Alipaswa anipange siyo ghafla tu utadhani anadondosha glass au jiwe. Mimi sikujiandaa kwa jambo hilo. So ni bora angeanza taratibu kuniandaa siyo tu unaamka unasema tuachane...
  13. Brain Kingdom

    Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

    Habari wajameni, Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada. Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana. Tatizo lake limetokea hivi...
  14. E

    Bandari ya Dar tuachane na Dubai tuwape Wachina

    Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona. Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai. Dubai wamekamata bandari zote kwenye ukanda wa mashariki mwa Afrika, kuanzia embe ya Afrika huko Djibout maka kusini...
  15. Samia atosha tukutane2030

    Kwenye mahusiano lazima uwe na msimamo ili usiumizwe kihisia

    Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu. Unamtongoza mtu akisema hapana au subiri nitakupa jibu unamchana kabisa kuwa basi nimeghairi. Mtu anayekupenda tangu kitambo hana muda wa...
  16. Stephano Mgendanyi

    Tuachane na Utalii wa Mazoea Twende na Utalii wa Kimkakati

    MHE. ZAYTUN SWAI ASISITIZA KUACHANA NA UTALII WA KIMAZOEA, TWENDE NA UTALII WA KIMKAKATI "Sekta ya Maliasili na Utalii ni ya muhimu sana kwa kutuingizia fedha za kigeni, tumeona zaidi ya asilimia 25 ya fedha za kigeni inatokana na Sekta ya Maliasili na Utalii, pia asilimia 17 ya pato la Taifa...
  17. Kimbesa11

    Tutaendelea kuwakataa kwenye sanduku la kura

    Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa. Ndugu Watanzania tuwakatae...
  18. Chizi Maarifa

    Tuachane na yote. Hili suala ni la muhimu sana kujiuliza.

    Tuachane na issues nyingine nk. Nakuuliza mdada wa JF. Kama nawe umewahi tuliza makalio yako ukapata muda wa kutafakari jambo hili. Kwa mfano Usipoolewa. Umejipangaje?
  19. DR HAYA LAND

    Nyie ambao mmeacha kuzagamua wake za watu mmewezaje? Tupeni mbinu ili na sisi tuachane

    Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu? I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
  20. J

    Tuachane na matokeo, Camera za CAF Champions League mbona ni mbovu kiasi hiki?

    Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani. Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF. Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
Back
Top Bottom