ttcl

  1. JamiiForums Tanzania TTCL FIBE wanachukua mda gani mpaka kuja kufunga?

    Na je kifurushi cha 70,000 unlimited unaweza connect watu wangapi?? Nataka kufanya MAOMBI. Maana hawa Savanna eneo nilipo huduma bado haijafika
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Janga zito toka TTCL kwa wafanyabishara wa Wi-Fi

    Niliwahi kuandika humu kuhusu biashara ya WIFI kwenye jukwaa la story of change lakini watu walipokea kitofauti kwenye jukwaa lakini kiuhalisia iligusa wengi na watu wanajipatia kipato. Biashara hiyo 1 imezalisha biashara au ajira zaidi ya wazo hilo. Sasa nasikitika sana kampuni ya serikali...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kuunganishiwa huduma ya TTCL Fiber Kigoma

    Wakazi wa Kigoma wanalalamikia kuchelewa kupatiwa huduma ya TTCL Fiber licha ya kulipia gharama za kuunganishiwa huduma hiyo zaidi ya miezi miwili iliyopita. Inadaiwa kuwa kila wanapowasiliana na ofisi za TTCL huambiwa kuwa kuna uhaba wa vifaa, huku wakipewa ahadi za mara kwa mara ambazo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania HOJA TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti

    TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti. Kwa sasa, hakuna taarifa zinapotokea hitilafu za huduma, huduma zinaporejea, au kunapokuwa na matengenezo yaliyopangwa (scheduled maintenance). Hii ni changamoto ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiwasababishia...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi TTCL mbona mnarukia mambo sana

    Fiber yenyewe sehemu za mijini mjakizi sasa mnataka kushindana na google.
  6. JamiiForums Tanzania Utapeli kupitia laini za TTCL umeporomosha imani ya wateja kwa TTCL

    TTCL wanapaswa kuchukua hatua madhubuti dhidi ya watu wanaotumia laini za mtandao wao kufanya utapeli. Tatizo si hasara za kifedha pekee, bali pia kupungua kwa imani ya wateja. Leo watu wengi wakiona simu kutoka kwenye laini za TTCL husita kupokea au hupuuza maelekezo muhimu wakidhani ni...
  7. C

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya faiba TTCL haitendi haki

    Wahusika wa huduma ya ttcl faiba hamtendi haki. Toka Jumapili Asubuhi hakuna huduma maeneo ya Chang'ombe maduka mawili. Inafikirisha sana. Labda mnataka wateja wahamie kwa kampuni zingine. Hili shirika linataka overhaul kubwa sana.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nilitegemea katika siku ya gawio rais apokee gawio kutoka TANESCO, TTCL, ATCL, TRC ambao hawakutoa gawio na sio yeye kupewa tuzo.

    Siku ya kutoa gawio kwa serikali ni siku ambayo rais alipaswa kuichukulia kama accountability day kwa mashirika yote ya Umma. Ni siku ambayo mbivu na mbichi zinapaswa kuanikwa na pengine watu kuchukuliwa hatua kwa kutotoa gawio lolote. Lakini katika siku hiyo mwaka huu TANESCO, TTCL, ATCL, TRC...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwenye suala ya huduma ya Fibre, TTCL ni wababaishaji sana

    Kuna namna Shirika haliwatendei haki wateja wake. Kwa mfano, mimi niliomba kuunganishiwa huduma ya TTCL Fiber tangu mwezi wa pili mwaka 2025. Baada ya maombi yangu kupokelewa, nilipigiwa simu na kuambiwa kuwa kungekuja mtu kufanya survey ya eneo langu kabla ya kuunganishiwa huduma. Hata hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya matapeli wa mtandaoni na kampuni ya TTCL?

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu binafsi unaonyesha taswira tofauti. Katika kipindi cha miezi mitatu tu iliyopita, nimepokea jumbe nyingi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya TTCL Fibre Arusha ni ubabaishaji mtupu, unalipia na kufungiwa hufungiwi huku kifurushi kikiendelea kuisha

    Huduma ya ttcl fibre Arusha ni mbovu, imejaa ubababishaji sana, mtu unalipia na unacheleweshewa kufungiwa na wakati huo kifurushi kinahesabika kinatumika. Hii tabia inakera, wahudumu hawana majibu Mazuri, ni Bora ningeendelea na watoa huduma wengine! Naomba hili ttcl wawajibike waache...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi TTCL walia na Mfumo wa PEPMIS, wadai Mameneja hawapitishi tathmini zao

    Sisi watumishi wa TTCL Corporation tunakabiliwa na changamoto kubwa licha ya kutekeleza majukumu yetu kwa bidii na kujaza taarifa za utendaji kazi kwenye mfumo wa ESS Utumishi (PEPMIS) kama inavyotakiwa. Tatizo linalotusumbua ni kwamba baadhi ya viongozi wetu, hususan Mameneja, hawapitishi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Mkurugenzi wa TTCL, Moremi Marwa, kwa juhudi kubwa za usambazaji wa fiber internet mitaani, yenye bei nafuu na kasi kubwa

    Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa. Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL Morogoro wanachelewesha sana kuunganisha wateja na huduma ya Fiber Internet

    Habari, Mimi ni mkazi wa Morogoro mjini. Changamoto niliyokutana nayo TTCL Morogoro ni kuwa nilituma maombi kwa ajili ya kuja kufungiwa fiber internet kwenye eneo langu la kazi lakini maombi hayo hayakujibiwa mpaka nilipoenda ofisini kwao kuwauliza. Wakaniambia subiri zamu yako ikifika...
  15. JamiiForums Tanzania Ombi: serikali tafuteni mtu wa kumuuzia TTCL

    Natoa ombi kwa serikali, kutafuta mtu awe mzawa au mgeni wamuuzie kampuni ya ttcl Sasa hivi wameanzisha huduma ya fible, leo ni siku ya pili no internet, hizo siku zingine ni internet ya kuvizia, Ukiona asubuh kuna internet basi usiku hakuna, internet inakuwa ya mgao kama maji kama umeme no...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka kusajili laini ya TTCL

    Kama heading inavyojieleza, nasikia hili shirika huko nyuma mtandao wake ni wa ovyo sana, labda mwaka 2026 wamebadilika, vipi niijaribu?
  17. M

    JamiiForums Tanzania TTCL: Mpaka sasa tumefikisha Mkongo wa mawasiliano wa Taifa katika wilaya 121 kati ya 139 Tanzania Bara

    Mkurugenzi Mtendaji wa TTCL, CPA Moremi Marwa, akizungumza leo Aprili 10, 2026, wakati wa uzinduzi wa minara 758 ya mawasiliano na uunganishaji wa mkongo katika wilaya 85, Marwa amebainisha kuwa hadi sasa mradi huo umeshafikia wilaya 121, ambayo ni sawa na asilimia 82 ya utekelezaji nchi nzima...
  18. JamiiForums Tanzania KERO TTCL wanatuma bills lakini mfuno wa kupokea kupokea malipo haufanyi kazi siku ya 3 leo

    Sisi kitu tunaweza ni kupambana na Upinzani tu na wapinzani. Tunakwama wapi ? TTCL wana juhudi kutuma Control number lakini Mfumo haufanyi kazi DAWASA wanafungua maji siku 1 wanatuma bills wanakata Maji TANESCO Mvua ikinyesha wanakata umeme kua inaharibu miundo mbinu maji yaki kauka...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL Corporation, Kum-block mteja Facebook kwa kuuliza swali si sawa

    Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi. Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi wananchi, ni watumishi wetu wananchi. Tatu mnatumia social networks zenu kutoa taarifa kwa umma kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania TTCL wazindua huduma ya fiber yenye kasi zaidi

    DAR ES SALAAM: IN efforts to strengthen Tanzania’s communications infrastructure and expand access to reliable internet services across the country, the Tanzania Telecommunications Corporation (TTCL) has officially launched a new high-speed internet service dubbed “Faiba Supersonic Experience...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…