treni ya sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Nawashangaa wenye mabasi kulalamikia Serikali kwa kukosa wateja kisa SGR wakati mikoani mabasi yanajaza hadi pomoni

    Ukisikiliza kelele na malalamiko ya Wafanyabiashara wa route za Dar-Moro-Dom-Singida Wanavyoilaani Sgr na kulaumu Serikali unapata picha jinsi watanzania hatuna ubunifu Wala aggressiveness kwenye biashara. Yaani route hiyo Moja tuu Kilio kana kwamba ni Nchi yote Ina Sgr,Sasa ikifika...
  2. Moto wa volcano

    SGR imetutoa ushamba Wabongo, kila mtu anajipiga picha Station

    Watanzania sisi washamba hilo nimeligundua nilivyopanda usafiri wa Treni ya SGR. Tulivyoruhusiwa kutoka ndani station kwenda kupanda mabehewa ya treni kila mtu alitoa simu akaanza kujipiga ma photo mpaka mimi ni mmojawapo niliyejipiga picha aisee ama kweli Serikali inatutoa ushamba kupitia...
  3. Roving Journalist

    TRC yaomba radhi kutokana na hitilafu ya umeme katika Treni ya SGR

    TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA TRENI YA KAWAIDA YA ABIRIA KUTOKA DODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM Dar es Salaam, Tarehe 2 Agosti 2024 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2.15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 1, 2024 kwa treni ya mwendo kasi...
  4. GENTAMYCINE

    Tafadhali naomba hili la Treni ya SGR kupatwa na Hitilafu za mara kwa mara za Bundi na Ngedere liwekwe katika Michezo ya Kubeti ili tuwe tunapiga Hela

    Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
  5. M

    Samia Great Railway (SGR): Kichocheo Kipya cha Maendeleo Tanzania

    Chini ya uongozi wa maono wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaingia katika enzi mpya ya maendeleo na ustawi kwa kuzindua huduma za treni za Reli ya Standard Gauge (SGR). Mafanikio haya makubwa yanaonyesha dhamira thabiti ya serikali kuboresha miundombinu ya taifa, kuongeza uunganishaji, na...
  6. and 998 others

    Bila mwekezaji binafsi, SGR haina muda itahujumiwa

    1. Wenzetu sijui huwaza nn? Yaan mradi wa SGR uendeshwe na TRC? Kutoboa Sana miezi 6 kila kitu kitakua Mochwari. 2. Tafuteni mwekezaji mwenye uzoefu wa hizo kazi. Gautrain South Africa zaidi miaka 14 inapeta. Hakuna siasa mule
  7. Jidu La Mabambasi

    Mizigo na SGR: Muda umefika kuondoa malori barabarani

    Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo. Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo. Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya kuyaondoa malori barabarani. Juhudi za kufufua Central Railway ziendane sambamba na kufufua reli...
  8. Cute Wife

    Treni ya SGR yazimika tena Morogoro!

    Rais Samia akiwasalimia wananchi katika uzinduzi wa treni Agosti 1, 2024 Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi amezindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na viongozi mbalimbali wa kiserikali kutokea...
  9. Mshana Jr

    Wameuziwa kesi kama wale mwewe

    Walilala kwa amani kabisa. Kukiwa hakuna shida yoyote.. Wakajua wakiamka wataendelea na mishe zao za maisha ya kila siku mpaka pale watakapokufa. Kwa vile wanajua wazi upendeleo uliopo kwenye mashauri mbali mbali wamekuwa makini sana kutojihusisha na jinai yoyote ile. Lakini bila kutegemea...
  10. Cute Wife

    TRC yatolea ufanunuzi kuzimika kwa treni ya SGR Julai 30, 2024 katikati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete

    TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA UMEME KATI YA KILOSA NA KIDETE Dar es Salaam, Tarehe 31 Julai 2024 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa...
  11. P

    Morogoro: Treni ya SGR (Dar-Dodoma) yakwama Kidete Kilosa kwa zaidi ya saa 4, sababu Hitilafu ya Umeme

    Wakuu, nasikia tren ya SGR Dar-Dodoma imezima katika kituo cha kidete. Pia soma: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa Serikali yasema treni ya SGR haitokuwa na tatizo la umeme Milango imefunguliwa ili wapate hewa wakisubiri...
  12. U

    Watani zangu Kigoma watamudu masharti treni ya SGR? Wataacha kweli kusafiri na mizigo mkubwa? Wataacha kubeba vyakula? Serikali itoe elimu kwao!

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu wa kigoma ni watani zetu sisi kanda ya ziwa hususani Mkoa wa Mara. Hivyo nahoji na kushauri watani zangu huku nikijiuliza kwa tabia zao watamudu masharti ya matumizi ya treni ya kisasa? Wamezoea kusafi na treni ya kizamani huku wakibeba vyakula mbalimbali...
  13. Lord Denning

    Treni ya SGR, Tukiamua kufanya Vitu vya Kisasa tuvifanye kwenye ukisasa wake

    Umasikini sio sifa, umasikini sio jambo la kujivunia. Siku zote tunapaswa kuwaongoza wananchi wetu ili wauchukie umasikini na wapende kuwa na maendeleo. Nimesikitishwa sana na maneno aliyosema Dr Hamis Kigwangala kule twitter kupinga vigezo vilivyowekwa na kampuni yetu ya TRC kukataza watu...
  14. Tlaatlaah

    Fursa kwa kila mtanzania kuonja utamu wa keki ya taifa letu kwa kusafiri na treni ya SGR kwa safari zake za kikazi, kitalii au kibiashara

    Ni usafiri tulivu, salama na wa uhakika sana, muonekano wa mandhari nzuri sana za misitu, milima na mabonde njiani ni burudani tosha, ukiachilia mbali huduma murua ndani ya treni, mazingira bora na ya kisasa sana ndani ya treni yenyewe. Tanzania imelamba dume kwa kukamilika na kuanza kazi kwa...
  15. figganigga

    Vichwa vya treni ya SGR kupewa jina la "Samia Express", Watanzania tumekwama wapi?

    Salaam Wakuu, Naishukuru Serikali kwa kupitia Shirika la reli Tanzania TRC kwa kuendelea na jitihada za kuboresha miundombinu yetu la reli. Ila kinachonisitikisha, ni uamuzi wa kupachika jina la Mwenyekiti wa chama cha Siasa(CCM) bla kuwashirikisha Wananchi Wanaotoa kodi zao. Hii ni haki...
  16. Cute Wife

    Mabegi ya 'shangazi kaja' marufuku kwenye kwenye treni ya SGR

    Upande wa wanyama naelewa, ila hapa kwenye shangazi kaja haijaingia akilini kabisa! Kwamba anayetumia begi/mfuko wa shangazi kaja, huo mfuko unahesabika kama silaha? Au mtu akibeba shangazi kaja anakuwa halipi nauli? Yeye siyo mlipa kodi ambaye pesa yake imechangia kwenye kukamilisha ujenzi wa...
  17. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile aongoza safari ya kwanza ya Treni ya Umeme (SGR) Dar - Morogoro Julai 14, 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kushereheka furaha ya kuanza kwa safari za treni ya mwendokasi (SGR) Dar es salaam - Morogoro leo June 14,2024, amewalipia tiketi abiria wote kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na wanaotoka Morogoro kuja Dar es salaam kwa safari ya kwanza...
  18. beth

    Serikali yasema treni ya SGR haitokuwa na tatizo la umeme

    Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa Treni ya Kisasa (SGR) haitakuwa na tatizo la umeme, kwa sababu mabehewa yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi umeme wa ziada kwa saa moja hadi mbili. Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani, alibainisha hayo mwishoni mwa wiki mjini Morogoro wakati akifungua kikao...
  19. A

    Responded Tanzania tupate High Speed Train, Wachina watajenga!

    Wachina juzi kule kwao wamesherehekea ufunguzi wa train yenye very high speed. high speed trains ni za muda mrefu china na zinasaidia sana nchini china, nilikuwa najiuliza, watz tunashindwa nini kuzielectrify train zetu zitumie umeme badala ya mafuta na ziende kwa kasi, ziongezwe njia pia...
Back
Top Bottom