treni ya sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile aongoza safari ya kwanza ya Treni ya Umeme (SGR) Dar - Morogoro Julai 14, 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kushereheka furaha ya kuanza kwa safari za treni ya mwendokasi (SGR) Dar es salaam - Morogoro leo June 14,2024, amewalipia tiketi abiria wote kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro na wanaotoka Morogoro kuja Dar es salaam kwa safari ya kwanza...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema treni ya SGR haitokuwa na tatizo la umeme

    Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa Treni ya Kisasa (SGR) haitakuwa na tatizo la umeme, kwa sababu mabehewa yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi umeme wa ziada kwa saa moja hadi mbili. Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani, alibainisha hayo mwishoni mwa wiki mjini Morogoro wakati akifungua kikao...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Responded Tanzania tupate High Speed Train, Wachina watajenga!

    Wachina juzi kule kwao wamesherehekea ufunguzi wa train yenye very high speed. high speed trains ni za muda mrefu china na zinasaidia sana nchini china, nilikuwa najiuliza, watz tunashindwa nini kuzielectrify train zetu zitumie umeme badala ya mafuta na ziende kwa kasi, ziongezwe njia pia...
Back
Top Bottom