treni ya sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Jeshi la Polisi limewakamata na kuwahoji waliovunja vioo Treni ya SGR, ni watoto wa miaka 12 na 16

    Wakuu, Hii taarifa mbona kama ya kutuzuga hivi? Hayo mawe yalikuwa ya ukubwa kiasi gani mpaka yavunje hivyo vioo? Au ni sababu ya mwendo? Wazee wa physics mje mtueleze. Lakini pia kama walikuwa wanashindanisha kasi siyo kwamba yangerushwa kwenye uelekeo ule treni inakoenda kuona kipi kitawahi...
  2. S

    Nafsi yangu inagoma kusafiri na treni ya SGR, napata hisia sio salama na ni suala la muda yatatokea ya kutokea

    Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali. Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea...
  3. Hismastersvoice

    Hizi drama kwenye treni ya SGR nadhani zina lengo ovu

    Kwa muda sasa kumekuwa na shutuma kuhusu hujuma inayohusu treni ya SGR, tukumbuke huko nyuma kuliwahi kutolewa wazo la kuruhusu watu binafsi waweke vichwa na mabehewa yao kwenye huo mradi, Wazo ambalo lilikuja mapema sana hata kabla treni hazijaanza kufanya kazi! Nikiangalia tuhuma hizi za...
  4. The Sheriff

    Prof. Kitila Mkumbo: SGR imewaongezea Watanzania furaha

    Akizungumza kupitia jukwaa la KumekuchaClub la mtandao wa kijamii wa Clubhouse Novemba 03, 2024, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema haya: Muda wa kusafiri kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma umepungua sana, sasa hivi ni kwa saa tatu badala ya saa mpaka...
  5. Mtoa Taarifa

    Waziri Mbarawa: Treni ya SGR imeingiza mapato ya takriban Tsh. Bilioni 16 ndani ya miezi minne

    Serikali imetangaza kuwa uwekezaji katika Reli ya Standard Gauge (SGR) umeanza kulioa, huku takriban Sh15.7 bilioni zikizalishwa katika kipindi cha miezi minne tangu kuanzishwa kwa reli hiyo ya huduma za treni ya umeme. Akizungumza wakati wa mkutano wa 17 wa mwaka wa mapitio ya pamoja ya sekta...
  6. Mudawote

    Mrejesho: Asante JF! TRC wawasha viyoyozi SGR Magufuli (Dar) na kwenye train leo njia nzima

    Great Thinkers, Nipend kuchukua fursa hii kumshukutu Mkurugenzi wa TRC Kadogosa kwa kufuatilia na hatimaye kufanyia kazi kero ya viyoyozi jengo la abiria Kituo cha Magufuli, yaani mpaka tunaondoka hapo Dar kwenye jengo viyoyozi ndiyo vilikuwa vinaelekea kupata baridi, na kwenye train leo ni...
  7. Mparee2

    Treni ya SGR angalieni upya gharama za parking za magari

    Kwanza niwapongeze kwa huduma zetu nzuri za usafiri wa treni, hata hivyo kuna hii changamoto naileta kwenu; Kuna baadhi ya vituo vipo nje kabisa ya Mji, mfano; MOROGORO, Pugu nk na hakuna usafiri wa kueleweka zaidi ya bajaji; sasa mtu anakwenda na usafiri wake asubuhi ili jioni akirudi apate...
  8. N

    Usafiri wa treni ya SGR sio usafiri wa uhakika

    Tokea wiki iliyopita naangalia tiketi ya safari kwenda morogoro siku ya Alhamis sioni safari! Wanaweka safari ya siku moja moja. Unaweza ukasema usubirie waiweke safari ya siku unayotaka na wasiiweke, siku hiyo kukawa hakuna safari kwahiyo inakua kama umepoteza muda kusubiria. Huu usafiri si...
  9. Hismastersvoice

    TRA kusanyeni kodi toka kwa wafanyabiashara wa ndani ya treni ya SGR

    Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya pango, pia hawana Hati ya Mlipakodi TRA(TIN) kama ambavyo wenzao wa mitaani walivyonavyo ambavyo...
  10. A

    DOKEZO Treni ya SGR Dar-Moro inasafiri na nafasi wazi zaidi ya nusu wakati awali tiketi zilikuwa zinaisha siku 1 kabla; Tatizo ni nini? Ushahidi huu hapa

    Habari wanabodi Hapo awali treni ya SGR Morogoro - Dar inayochukua abiria takribani 900 ilikuwa inajaa siku 1 au 2 kabla ya safari. Ukiingia mtandaoni hupati tiketi. Utafiti wangu nilioufanya kwa siku kadhaa kupitia mfumo wa mauzo ya tiketi na kuuhitimisha tarehe 25 Sept 2024, dakika 25 kabla...
  11. Hismastersvoice

    Mkurugenzi TRC Kadogosa njoo JamiiForums ujibu tuhuma za kinachoendelea kwenye treni ya SGR

    Kinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni. Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na vitu vingine visivyokuwa na athari kwa abiria wengine. Tanzania Railways Corp
  12. version001

    Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunasubili mrejesho tuendelee na safari. Ni saa la pili sasa inasemekana Kuna marekebisho mbele huko. ===== UPDATES: 2200HRS ====== TRC: Hii Treni haijakwama bali ilikua ikisubiria kupishana na treni nyingine. Abiria walitangaziwa. UPDATES 2...
  13. J

    Bungeni Leo: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa maelekezo mapya uendeshaji wa treni ya SGR

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa. Pia, Majaliwa ameagiza miundombinu ya mradi huo inaimarishwa ili uweze kudumu kwa muda mrefu. Kauli ya Majaliwa inakuja...
  14. Twilumba

    Vioja vya abiria wa treni ya SGR

    Nipongeze awamu zote zilizojikita kwenye wazo na hatimaye kumamilika kwa train ya mwendo kasi ya SGR. Kiukweli ni mapinduzi hasa kwenye nyanja ya usafiri katika maeneo yanayopitiwa na kufukiwa na usafiri huo. sambamba na hilo vipo vioja ambavyo kwa kweli vipekuwa vikiwakumba baadhi ya abiria...
  15. newmzalendo

    Nauli ya treni ya SGR (Dar - Dodoma) kupanda kuwa TZS 40,000/-

    UFAFANUZI: NAULI TRENI YA SGR DAR- DODOMA KWA 40,000 NA 31,000 KWA KAWAIDA SIYO SAWA UFAFANUZI ; Nimepokea ufafanuzi kutoka kwa wadau ,NAULI YA TRENI SGR asubuhi ni shilingi 40000 na 31000 jioni. Portal ya tiketi haisemi kitu na website yao haisemi kitu kuhusu tofauti ya bei.
  16. Roving Journalist

    Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

    Abiria wanaotumia Treni ya SGR kutoka Dar es salaam - Morogoro hadi Dodoma wametuhumiwa kuhujumu shirika la reli Tanzania TRC kwa kutolipa nauli ambazo zianendana na sehemu wanazoelekea au vituo wanavyoshukia. Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro...
  17. A

    DOKEZO Responded Baadhi ya Wahudumu wa Treni ya SGR (Dar) wanalangua tiketi kisha wanaziuza kwa bei ya juu

    Ni siku chache zimepita tangu Huduma za Usafi wa Treni ya SGR uanze na juzi tulishuhudia Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza zoezi la uzinduzi. Usafiri huo umekuwa kimbilio kwa Watu wengi, sababu kuu ikiwa ni muda ni kutokana na kutumia muda mfupi kufika maeneo husika. Lakini nimefika pale mara...
  18. I

    KERO Responded Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

    Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana. Pia, Soma=> ~ Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje? ~ TRC: Tumewakamata...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Treni ya SGR sio mali ya CCM ni mali ya Watanganyika. WanaCCM acheni kutafuta sifa. Hayati Magufuli angekuwa amemaliza ujenzi

    Mnataka kufanya kama mali ya chama? Kila siku kupigia picha ndani ya treni? Mbona Kama angekuwepo Magufuli ingekuwa imefika Mwanza.
  20. Pdidy

    Serikali tunaomba treni ya SGR Dar - Moshi - Arusha tumechoka na mabasi

    Shikamoooo mama popotee ulipoo Tumewiwaaa kuwaombaaaa mtusaidie jaman watu wa arusha moshiii tupateee na sie sgr Mungu awabariki sanaaa sanaa kwa hili
Back
Top Bottom