Hapa Tanzania/Bongo kuna watu wanakuwa maarufu kwa kipindi fulani(trend) kutokana na harakati zao za maisha kama vile muziki,fulani,sasa, vichekesho na kadhalika. Mitano michache ni marehemu Dr Shika, comedian Chikumbalaga, Pierre Liquid kuwataja wachache.
Kwa sasa wanaontrend ni Mc Mboneke...